Kwa maoni ya Dkt. Slaa, inawezekana Ben Saanane na wengine walitekwa na kupotezwa na Chadema

Njaa ni mbaya mno ikitoka tumboni ikahamia kichwani mkuu
 
Mtu mkweli atasema ukweli wakati wowote bila kujali eti wengine watamfikiriaje. Mzee ameongelea kisa anachokijua yeye - ametujuza wengi kuwa hata hapa nchini wapinzani wanacheza mchezo mchafu. Wapinzani si malaika kama wewe unavyotaka kutuhabarisha .
 
Wewe ulisoma heading ukaenda ku comment, hukusoma maelezo yote, mbona jamaa ameeleza vizuri sana. Nilipoona comment yako nilikuonea huruma kwamba hukusoma na kuelewa.
Nilisoma ila nilichanganya madawa. Kuna thread nili-mix up. Nimemuomba msamaha mwenye thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…