Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Hasahasa maeneo ya Arusha Mjini, usipokua makini unaweza gongwa na bajaji kwa kushangaa wanawake.

Wanawake wengi huku Arusha wana makalio makubwa yenye shepu nzuri balaaa, miguu ya bia ilionona daah, huwa saa nyingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa!
 
kwa sura na rangi wako vizur na shape wachache ila sio wote
 
Picha tafadhali!
 
Mkuu bado unahishi kwa shemeJi yako
 
Arusha inaharibiwa na wale matom boys ila ni wazuri sema mazingira....Interaction ya watu wa Babati ,karatu ,singida na kondoa(Dodoma ) imeleta afueni ya wadada ..Tatizo lao wanafanya kazi kweny bars basi wanakuwa hovyo kabisa.


Kukuta demu mweupe halafu ana mdogo mweusi kama kunguru ni kawaida .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…