Kwa Maoni yangu hizi ndio top 5 Degree Programs kwa Tanzania

Kwa Maoni yangu hizi ndio top 5 Degree Programs kwa Tanzania

Nchi yoyote duniani haiwezi kusonga mbele bila yakua na sheria! Wanasheria wako wapi hapa brother??

Una akili sana.
Muulize pia mikataba ya kufungua kampuni au kupata kandarasi ataandikiwa na nani?
Halafu akipata kesi ya ajira atakimbilia kwa wataalam wa sheria.
Hence.Kila course ni viable circumstancial.
Itakuwa hamjaelewa lengo la Thread
Nimeeka top five kwa mchanganuo mbalimbali wa masomo sasa kama masomo ya Arts sijayagusa wewe kinakuuma nini...Ungeleta hiyo Argument kama Course zote ningezigroup kwenye kundi moja au ningeeka Course za Arts alafu nisingeeka Unazoona wewe ni best kwa Arts
apa anatakiwa aje ku argue mtu wa Bussiness au Science ambae kuna Course anaona ni best then sijaiekea ila sijasema Arts hamna best course ila sijaigusa Arts
 
Kuna mtengeneza barabara mmoja, anatengeneza barabara kutoka bigwa kuelekea kisaki hapa Morogoro, sijui na yeye yupo hapo kwenye hizo topu'kozi!!! Maana ni bora wananchi tungeambiwa tuingie na majembe tuichonge kuliko hiki anachofanya!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kuajiriwa sikatai ipo poa ila imekosa sifa ya pili ya Kujiajiri

Kujiajir n uamzi na uthubutu binafsi wa mtu hv nambie matumizi ya sabuni tu kwa maisha ya kawaida kuanzia dish wash,hand wash,windows wash,antiseptic and detergent ambavyo mtaji wake n sufuria tu la kupikia yalivyopamba moto na watu wasio na knowledge ya hv vtu wanavyotesa mjini,,,mkemia anahitaj lak 8 tu kuanzisha kiwanda,,engineer anahitaj huge capital kuwa na kampuni nan hapo n rahis kujiajir
 
I wonder how can medicine appear on top of the pharmacy... But I don't know what criteria u used may be number of years unless otherwise pharmacy is the best among health professions
After pharmacy dental itafuatia ndio ije general medicine
 
Tuweni wa kweli ni top five kwa kigexo kipi ajira ,, mishahara mikubwa,, mazingira mazuri ya kazii au zenye mkopo ???!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Tuweni wa kweli ni top five kwa kigexo kipi ajira ,, mishahara mikubwa,, mazingira mazuri ya kazii au zenye mkopo ???!

Post sent using JamiiForums mobile app
Zinazoendana na mahitaji ya nchi kwa sasa
 
Hizo courses zngekuwa bora

1. miradi mikubwa mikubwa ya ujenzi isingekuwa inapelekwa kwa wageni

2. Maghorofa yasingekuwa yanadondoka yenyewe

3. Barabara zetu zinazojengwa na wazawa zingekuwa bora sana.

4. Madaktari wasingekuwa wanakosea kupasua kichwa badala ya goti

5. Tungekuwa na mipango miji mizuri sana.

6. Tungekuwa na kilimo cha umwagiliaji kuliko Egypt.

7. Walijifunza wenyewe bila mwalimu.

8. Na mwisho kwa leo, wote waliosoma hayo, wanaajiriwa na aliyesoma Kiswahili na civics.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

brain is the beautiful part of the body.
 
Top 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo

Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Chemical and Processing Engineering
5.Software Engineering

Waliosoma Chemistry na Biology(PCB,CBM,CBG)
1.Medicine
2.Pharmacy
3.Medical Laboratory Sciences
4.Veterinary Medicine
5.Optometry

Waliosoma Mathematics(PCM,PGM,EGM,CBM)
1.Architecture
2. Geomatics
3.Actuarial sciences
4.Building Economics
5.Land Management and Valuation

Waliosoma Economics(EGM,HGE,ECA)
1.Business Information Technology
2.Agricultural Economics and Agribusiness
3.Accountacy and Finance
4.Agricultural and Natural Resources Economics and Business
5.Maritime Transportation
Uko sahihi Mkuu

Naona chama langu hapo
 
Nyie nyote hampajui mtaaaaniii vizuriiii..... Hizo degree hamna lolote...... Maisha ni bahati unaweza kuwa umesoma unajifariji atii best coarse rudi mtani uonee....... Bora uwe na bahati tuu unaweza kufika mbali kuliko kujifanya mjuaji sana
Sipingi hoja yako mkuu.

Lakini hapa tunazungumzia ubora wa hizi kozi kwenye ushindani kwenye soko la ajiri.

Ukiwa umesoma miongoni mwa hizi kozi sio kwamba umewin life, la hasha. Akili yako binafsi ndio kitu cha muhimu ambacho kila mtu anayo bila kuzingatia hii akili ya darasani.
 
Back
Top Bottom