Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Usidanganywe na umati wa mikutanoni wale watu siku ya uchaguzi huwaoni wakienda kupiga kura.Mku usifananishe Mrema na Lisu hawa ni watu wawili tofauti na katika zama tofauti kisiasa na kimaisha
Nchi inaongozwa na Katiba Mkuu!Wengi washangaaji tu, Lissu uwezo wa kuongoza nchi hana, CHADEMA ni dhahifu sana na ikitokea siku wakaongoza watakuwa mafisadi wakubwa sana, walionesha madhaufu yao makubwa sana 2015
Ninachojua kura za Africa na especially Tanzania zimejaa hila na fitina. Si za kweli ,wazi wala haki. Kura zinazosimamiwa na WEO, DED na m/kiti wa NEC . Wote hao ni wateule na waajiriwa wa mmojawapo wa mgombea . KATIBA YETU INA KASORO KUBWA.Mkuu jibu lako haliwezi kubadili ukweli kwamba Kila anaempokea Lissu au Magufuli kwa shangwe ndo atampa kura Mkuu.
Mla kala leo mla jana kala nn?Mkuu kuwa mwelewa Basi me sijazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa.
Me nimezungumzia siyo Kila anaempokea Lissu ndo atampa kura.. wengine ni mamluki tu.
Mamluki wapo pande zote!Tatizo ninyi hamtaki kuambiwa ukweli siyo anayeenda kumsikiliza Lissu au Magufuli ndo atawapigia kura wengine ni mamluki tu.
We naye mbona umekazania San hawatapiga Kura? Umekuwa Malaika wao wewe😏Usidanganywe na umati wa mikutanoni wale watu siku ya uchaguzi huwaoni wakienda kupiga kura.
Vibaya mnoTundu Lissu anatosha sn
Alichokisema ndicho anachomaniisha mkuu. Watu wanataka kuishi kwa kufuata utaratibu kanuni na kuishi katika viapo vyao. Kufuata ya fulani mwisho uchaguzi hui. Eti "Si mnajua anayetulipa mishahara, kamchagueni"Umesema kweli mkuu ila Kuna jamaa yangu mjeda anakuambia vijana wengi walioko jeshini intake mpya mpya wanapenda haki na mabadiliko sasa sielewi anamaanisha nini.
I hope this is wrong comment huh!
Mbona mnakimbiliaga kwenye hiyo statemet? Ni justification ya nini? Kama kuna tofauti mbona mnahangaikaga kusomba watu kwa malori?
Point yangu ni kwamba siyo Kila anayemshangilia Magufuli au Lissu ndo atampa kura. This is my fucking point.Ninachojua kura za Africa na especially Tanzania zimejaa hila na fitina. Si za kweli ,wazi wala haki. Kura zinazosimamiwa na WEO, DED na m/kiti wa NEC . Wote hao ni wateule na waajiriwa wa mmojawapo wa mgombea . KATIBA YETU INA KASORO KUBWA.
ana maana ya kwamba ipo siku huko mbeleni wanaweza pindua serikaliUmesema kweli mkuu ila Kuna jamaa yangu mjeda anakuambia vijana wengi walioko jeshini intake mpya mpya wanapenda haki na mabadiliko sasa sielewi anamaanisha nini.
Yeah! point yangu ni mamluki hayo mengine ya haki sijazungumzia.Mamluki wapo pande zote!
Muhimu haki itendeke na ionekane!
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Hayo ni maneno apate uongozi, mbona hyo katiba ya Chama haijawaongoza wao wafanikiwe kukijenga chama kimaendeleo, mawazo ata maskini anayo ila utekelezaji ndo shidaNchi inaongozwa kwa katiba na sheria kupiti mifumo thabiti na vyombo tasii zilizojengwa imar. Nchi inayomtegemea mtu mmoja lazima shida iwepo. Lisu amezungumzia suala la katiba na mifimo imara. Hili ndilo muhimu. Hizi sio enzi za mitume
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
I have got neither of those, but still I do advice you join ccm, there is where you belongMpaka hapo nimegundua we ni mjinga kiasi gani.
Asa point yangu na kujiunga Ccm wapi na wapi hebu acha kujibu kwa mihemko basi.
You can have degree, PhD still you can be a fool.