MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Jitahidi vile vya kusifia uwe unatoa sifa, sio kupinga kila kitu mkuu...Ni kwa sababu Magufuli kaharibu mahusiano ya nchi yetu na mataifa washirika. Kuwaita binadamu wenzako mabeberu huku ukirudiarudia kila mara ni uwendawazimu wa aina yake! Magufuli ni mbaguzi na hafai kamwe kuwa kiongozi! Havumiliki!
Kujitegemea kwa kuwaumiza watu kwa unyang'anyi ni upuuzi wa aina yake!Wewe mchague Lisu ili aendelee kuwaramba!
Sisi watanzania tutamchagua tena Magu ili tuendelee kujitegemea kama hivi, hatutaki kummuabudu mtu ili aje aingilie mambo yetu ya ndani ya nchi sisi
Wewe hujielewi kuitwa beberu Ni tusi? Hujui beberu Ni mtu anaefuata mfomo wa kibepali.Ni kwasababu Magufuli kaharibu mahusiano ya nchi yetu na mataifa washirika. Kuwaita binadamu wenzako mabeberu huku ukirudiarudia kila mara ni uwendawazimu wa aina yake! Magufuli ni mbaguzi na hafai kamwe kuwa kiongozi! Havumiliki!
Ni kwasababu Magufuli kaharibu mahusiano ya nchi yetu na mataifa washirika. Kuwaita binadamu wenzako mabeberu huku ukirudiarudia kila mara ni uwendawazimu wa aina yake! Magufuli ni mbaguzi na hafai kamwe kuwa kiongozi! Havumiliki!
Hapo hakuna cha kusifia na laiti ungejua madhara yake!Jitahidi vile vya kusifia uwe unatoa sifa,sio kupinga kila kitu mkuu...
Kujitegemea kwa kuwaumiza watu kwa unyang'anyi ni upuuzi wa aina yake!
Beberu ni tusi na ni neno la kibaguzi. Hakuna lugha nyingine ya kulielezea. Watu weusi wakiitwa nyani unaona wanavyokuja juu? Vivyo hivyo kwa neno beberuWewe hujielewi kuitwa beberu Ni tusi? Hujui beberu Ni mtu anaefuata mfomo wa kibepali.
Nisawa na Mchina umuite Mjima Napo utakuwa umekosea? Maana wanatumia mfumo wa kijima.
Nchi karbia zote za ulaya na America zinatumia mfumo wa kipebali hivyo kuitwa beberu Ni kawaida Sana.. rejea history documents mkuu.
Nitatoa habari hapa very soonHivi ni watu gani hawa unaodai kila siku wanaumizwa.
na ni unyang'anyi upi huo ambao umetokea na wafanywa na serikali hii?
Fafanua mkuu ukiwa na bilauri la maj pembeni.
Kukataa kuwaita wazungu mabeberu ni sawasawa na kukataa ukweli mtu mweusi bado mtumwa au anakoloniwa through ukoloni mambo Leo. Wazungu ni waliwahi kuwa mabeberu na bado wanaendekeza ubeberu kwa mtindo mwengine...
Unajitegemea wewe? Uliambiwa na mzazi wako au mwanasiasa?Wewe mchague Lisu ili aendelee kuwaramba!
Sisi watanzania tutamchagua tena Magu ili tuendelee kujitegemea kama hivi, hatutaki kummuabudu mtu ili aje aingilie mambo yetu ya ndani ya nchi sisi
Nitatoa habari hapa very soon
faida yake ni kuwa na uhuru wa kuamua namna ya kuendesha uchaguzi bila kuingiliwa kimaamuzi na Wanaochangia gharama za Uchaguzi!
Àtakuwa alitumbuliwa huyu na JPMJamaa ana hasira na chuki ya dhati kabisa kutoka moyoni dhidi ya raisi wetu JPM