Uchaguzi 2020 Kwa mara ya kwanza gharama zote za Uchaguzi Mkuu kulipwa na Serikali

Hii imfikie Mh Rais Mstaafu Kikwete, kuwa Tanzania kufikia uchumi wa kati ni pamoja na uwezo wakujigharamia uchaguzi mkuu.

Siasa za nchi hii ni ngumu sana.

JK ni mtu wa pekee kuwahi kutokea.

Nangojea uchaguzi huu upite na utatoa mwongozo.
 
Àtakuwa alitumbuliwa huyu na JPM

Jamaa hata siku moja hajawahi kutoa angalau nusu chanya.

Kila siku posts zake ni za chuki tu mwanzo mwisho.

Tujaribu kuwa waangalifu kwenye kuangalia chanya na hasi.
 
Hii itakuwa ni neema kwa taifa maana wangetuchangia fedha za uchaguzi mkuu sharti la kukubali ushoga lisingekosekana kwa kuwa tayari kibara wao wa ushoga ni mmoja wa wagombea.
 
Ni kwasababu Magufuli kaharibu mahusiano ya nchi yetu na mataifa washirika. Kuwaita binadamu wenzako mabeberu huku ukirudiarudia kila mara ni uwendawazimu wa aina yake! Magufuli ni mbaguzi na hafai kamwe kuwa kiongozi! Havumiliki!
Kwani Marekani au Germany akitaka kufanya uchaguzi nchini mwao wanaomba fedha za uchaguzi nchi nyingine?
Ukiweza kujilipia gharama ndio dalili za kujitegemea na kupeperusha bendera ya Tanzania 🇹🇿 Vile vile huwekewi vikwazo au masharti ya uchaguzi na mataifa mengine.
 
Mbona deni la taifa linazidi kupaa sasa

Jr[emoji769]
 
Wewe mchague Lisu ili aendelee kuwaramba!

Sisi watanzania tutamchagua tena Magu ili tuendelee kujitegemea kama hivi, hatutaki kummuabudu mtu ili aje aingilie mambo yetu ya ndani ya nchi sisi.

Naunga mkono kujitegemea ila nakiri pia ufahamu sana mambo yetu mengi yanavoingiliwa kwa kuwa wewe hauko serikalini. Hawa tunaowaita mabeberu kisiasa, ndio hao hao tunawaita wahisani kiuchumi!!

Ni akili aina yako tu inaweza kuchezewa na wanasiasa. Kukuaminisha kuna mabeberu. Hakuna mabereru, kuna wahisani (kutoa misaada bure) na wafanya biashara (wakopeshaji kupitia mifuko na mabenki ya kimataifa). Ukiwa hutaki kuhusiana nao - usipokee misaada wala kukopa na ukweli ni kuwa hatuwezi kufanya vyote viwili.

Kichwa panzi unabaki kuangalia jambo hili kisiasa!
 
Ni kwasababu Magufuli kaharibu mahusiano ya nchi yetu na mataifa washirika. Kuwaita binadamu wenzako mabeberu huku ukirudiarudia kila mara ni uwendawazimu wa aina yake! Magufuli ni mbaguzi na hafai kamwe kuwa kiongozi! Havumiliki!
Mawazo tegemezi haya. Kwani huwa hawaleti pesa hata wanapoandikiwa "barua" kuacha kufanya hivo?
 
Ni kwasababu Magufuli kaharibu mahusiano ya nchi yetu na mataifa washirika. Kuwaita binadamu wenzako mabeberu huku ukirudiarudia kila mara ni uwendawazimu wa aina yake! Magufuli ni mbaguzi na hafai kamwe kuwa kiongozi! Havumiliki!
We bhana daaa
 
Slave mind,ulitaka tukaombe pesa ya uchaguzi?
 
Hivi wakulima Wa Korosho wamelipwa Pesa zao? on time? Wanafunzi vyuo vikuu wamepata mikopo wote? on time?
Kupanga ni kumchagua bwashee
Umeweka neno on time ili iweje?
 
Ni kwasababu Magufuli kaharibu mahusiano ya nchi yetu na mataifa washirika. Kuwaita binadamu wenzako mabeberu huku ukirudiarudia kila mara ni uwendawazimu wa aina yake! Magufuli ni mbaguzi na hafai kamwe kuwa kiongozi! Havumiliki!
Kwa hiyo mlitaka akope huko kwenu nje mnakokimbilia?
 
Ukomo wa bajeti kwa gharama za kampeni Udiwani na Ubunge ni kiasi gani? .
 
Bila shaka yo yote fedha hizi zimechukuliwa mifuko ya jamii na kudhulumu haki za wastaafu. Wastaafu wanateseka kwa ujinga wa serikali ya Magufuli?
 
Wewe mchague Lisu ili aendelee kuwaramba!

Sisi watanzania tutamchagua tena Magu ili tuendelee kujitegemea kama hivi, hatutaki kummuabudu mtu ili aje aingilie mambo yetu ya ndani ya nchi sisi.
toka lini ukawa msemaji wa wtz wote? jisemee mwenyewe mie huniwakilishi na wala sitampigia kura huyo uchwara!.
 
Wewe mchague Lisu ili aendelee kuwaramba!

Sisi watanzania tutamchagua tena Magu ili tuendelee kujitegemea kama hivi, hatutaki kummuabudu mtu ili aje aingilie mambo yetu ya ndani ya nchi sisi.
Eti sisi watanzania..!!
Zungumzia nafsi yako sio una-comprise watanzania wote huyo Mdgu wako vijana hatumuhitaji hats kwa sekunde
 
Wewe mchague Lisu ili aendelee kuwaramba!

Sisi watanzania tutamchagua tena Magu ili tuendelee kujitegemea kama hivi, hatutaki kummuabudu mtu ili aje aingilie mambo yetu ya ndani ya nchi sisi.

Hata hela zikiwa ni zetu, bado kukiwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria wataingilia tu. Kutumia pesa zako hakukupi nafasi ya kunajisi uchaguzi. Kwani Libya walikuwa wanafanya uchaguzi kwa fedha za wahisani, mbona waliingia na kuungwa mkono? Hata hapa mkichezea box la kura wakija kuingilia tutawaunga mkono.
 
Back
Top Bottom