Mkuu,Wewe mchague Lisu ili aendelee kuwaramba!
Sisi watanzania tutamchagua tena Magu ili tuendelee kujitegemea kama hivi, hatutaki kummuabudu mtu ili aje aingilie mambo yetu ya ndani ya nchi sisi.
Mnapomleta Dambisa Moyo kuhusu kupinga misaada, msisahau pia kuleta tathmini za madhara yanayosababishwa na taifa kuwepo na deni kubwa la nje. Kiulinzi msaada siyo hatari kama deni kubwa la nje: Sisi tumekataa misaada lakini tumeenda kukopa fedha nyingi kwao wenyewe. Unajua kwanini kipindi cha mzee Mkapa Uchumi wa nchi ulipaa sana?Mawazo tegemezi haya. Kwani huwa hawaleti pesa hata wanapoandikiwa "barua" kuacha kufanya hivo?
Asante lakini nasikitika kusema kuwa huu ndo mwaka wenu wa mwishoHii itakuwa ni mara ya kwanza kwa serikali ya Tanzania kulipa gharama zote za Uchaguzi Mkuu tokea tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
Ieleweke kuwa Mwaka 2015, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitumia jumla ya Shilingi 534,499,415,599/= katika zoezi zima la Uchaguzi Mkuu. Pesa kati ya hizo zilitolewa na Washirika wa Maendeleo ambao ni Umoja wa nchi za Ulaya, Uingereza na Marekani kupitia mradi wa DEP unaosimamiwa na UNDP ambapo pia walitoa vifaa kwa ajili ya uchaguzi na pia ukarabati wa Kituo cha Kuchakata taarifa za Wapiga Kura (Data Processing Center).
Kuanzia sasa mpaka Uchaguzi Mkuu, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania (NEC) inatarajia kutumia shilingi bilioni 331.7 kukamilisha zoezi la Uchaguzi Mkuu ambapo fedha hizo zitatolewa kupitia Mfuko Mkuu wa Hazina kwa kuzingatia kifungu cha 122 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi.
Hii itakuwa ni dhana ya kujitegemea ambayo faida yake ni kuwa na uhuru wa kuamua namna ya kuendesha uchaguzi bila kuingiliwa kimaamuzi na Wanaochangia gharama za Uchaguzi!
Mnapomleta Dambisa Moyo kuhusu kupinga misaada, msisahau pia kuleta tathmini za madhara yanayosababishwa na taifa kuwepo na deni kubwa la nje. Kiulinzi msaada siyo hatari kama deni kubwa la nje: Sisi tumekataa misaada lakini tumeenda kukopa fedha nyingi kwao wenyewe. Unajua kwanini kipindi cha mzee Mkapa Uchumi wa nchi ulipaa sana?
Nyoko eti tujitegemee umawashwa nn ww io simu unayotumia nan katengenezaWewe mchague Lisu ili aendelee kuwaramba!
Sisi watanzania tutamchagua tena Magu ili tuendelee kujitegemea kama hivi, hatutaki kummuabudu mtu ili aje aingilie mambo yetu ya ndani ya nchi sisi.
Sasa unataka tufanye uchaguzi kwa raha zetu wenyewe alafu mzigo wa gharama tuwape watu wengine hiyo ni akili au uchafu emu tumieni akili nyie wapuuziHamjatoa kule kwenye mifuko ya hifadhi za jamii?
Mnaiba haki za wazee wetu huku mkijitapa mnajitegemea, kujitegemea gani kwa kupora haki za wengine?
Msomi mzima unaacha kujibu hoja unaanza kuzungumza viroja, hili ni jambo la aibu mno kutoka kwako. Nimekuuliza swali rahisi sana naona umeishia kuzunguka mbuyu kwasababu mpaka sasa naamini huwezi kunijibu: Kuna utofauti gani pale ambapo umekataa msaada wa beberu lakini hapohapo unaenda kukopa pesa nyingi kwake huyohuyo beberu ???Unaikumbuka picha hii ni ya nani na ilipopigwa alikuwa anajibu nini? Kuna thread nzima humu JF inayoongea majibu yake unaweza kuitafuta; inawezekan sis tuna tuna span fupi sana na kumbukumbu na hivyo wepesi sana wa kulaumu.
Tatzio la wewe kutokujua jibu hilo ni la kwako; ndiyo maana mtihani ule ule huwa kuna wengine hushinda kwa maksi nyingi na wengine kushindwa kabisa. Ni afadhali ungejikita kwenye mada kuliko kuleta swala la usomi kwani mimi sikukujibu wewe kama msomi, na wala sikukuambia kuwa mimi ni msomi. Nilingia kwenye mada nikitegemea tutabadilishana mawazo na kuskilizana pande zote lakni wewe unaruka ukuta.Msomi mzima unaacha kujibu hoja unaanza kuzungumza viroja, hili ni jambo la aibu mno kutoka kwako. Nimekuuliza swali rahisi sana naona umeishia kuzunguka mbuyu kwasababu mpaka sasa naamini huwezi kunijibu: Kuna utofauti gani pale ambapo umekataa msaada wa beberu lakini hapohapo unaenda kukopa pesa nyingi kwake huyohuyo beberu ???
UNAFIKI WA NDEGE CHICHI-DODO: Hapendi kinyesi, lakini anakula wadudu wanaokaa kwenye kinyesi.Tatzio la wewe kutokujua jibu hilo ni la kwako; ndiyo maana mtihani ule ule huwa kuna wengine hushinda kwa maksi nyingi na wengine kushindwa kabisa. Ni afadhali ungejikita kwenye mada kuliko kuleta swala la usomi kwani mimi sikukujibu wewe kama msomi, na wala sikukuambia kuwa mimi ni msomi. Nilingia kwenye mada nikitegemea tutabadilishana mawazo na kuskilizana pande zote lakni wewe unaruka ukuta.
Hiki kikao hukiweziUNAFIKI WA NDEGE CHICHI-DODO: Hapendi kinyesi, lakini anakula wadudu wanaokaa kwenye kinyesi.
Mnakataa misaada ya mabeberu na kuwatukana lakini mnashangilia miradi inayotokana na mikopo ya mabeberu.
Kabisa, kwasababu ya CHICHI-DODO aina yako.Hiki kikao hukiwezi
Basi safari njema huko uendako! Wewe ni mmoja kati ya vijana wachache wa Tanzania ya leo na ninawatakia mafanikio.Kabisa, kwasababu ya CHICHI-DODO aina yako.
Sawa! Lakini ukweli wenyewe ndiyo huo!Basi safari njema huko uendako! Wewe ni mmoja kati ya vijana wachache wa Tanzania ya leo na ninawatakia mafanikio.
Usiseme usichojua✌️Kujitegemea kwa kuwaumiza watu kwa unyang'anyi ni upuuzi wa aina yake!
G SamKukataa kuwaita wazungu mabeberu ni sawasawa na kukataa ukweli mtu mweusi bado mtumwa au anakoloniwa through ukoloni mambo Leo....
Hoja ya msingi hapa ni kuwa kwa mara ya kwanza serikali ya Tanzania itagharamia uchaguzi wote kwa pesa zake.Ni kwasababu Magufuli kaharibu mahusiano ya nchi yetu na mataifa washirika. Kuwaita binadamu wenzako mabeberu huku ukirudiarudia kila mara ni uwendawazimu wa aina yake! Magufuli ni mbaguzi na hafai kamwe kuwa kiongozi! Havumiliki!
Huyo jamaa anafurahisha sana!Wewe mchague Lisu ili aendelee kuwaramba!
Sisi Watanzania tutamchagua tena Magu ili tuendelee kujitegemea kama hivi, hatutaki kummuabudu mtu ili aje aingilie mambo yetu ya ndani ya nchi sisi.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa serikali ya Tanzania kulipa gharama zote za Uchaguzi Mkuu tokea tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992...