Huyo rais wako chuki yake ya wazi kwa Lisu iko wazi, vinginevyo leo Lisu asingekuwa na ulemavu.
MsisahaJPM anadaiwa 40.bKujitegemea kwa kuwaumiza watu kwa unyang'anyi ni upuuzi wa aina yake!
Ngoja tu nikutukani roho yangu iridhike. Yaan sijui nyie watu mna uharo kichwani. Kwa hiyo mlitaka tuendelee kupangiwa kila kitu. Badala ya kufurahi sasa angalau tunaweza kuanza kujitegemea polepole unaanza kukandamiza na mawazo yako ya kimkunduguNi kwasababu Magufuli kaharibu mahusiano ya nchi yetu na mataifa washirika. Kuwaita binadamu wenzako mabeberu huku ukirudiarudia kila mara ni uwendawazimu wa aina yake! Magufuli ni mbaguzi na hafai kamwe kuwa kiongozi! Havumiliki!
Hayo uyasemayo siwezi kutoa kaluli yoyote kwa sababu sijayaona.
Ila nimemsikia Tundu Lissu mara kwa mara akitoa kauli za kejeli na kashfa na dharau kwa kiongozi wa nchi na taasisi ya uraisi.
Mkuu;Jitahidi vile vya kusifia uwe unatoa sifa, sio kupinga kila kitu mkuu...
Ni kweli!Hii nayo itasaidia kupunguza kitu chaitwa kwa kiingereza, "nosing about".
Kwamba tutaiba kura na kufanya rafu bila haya sio? basi sawaHii itakuwa ni mara ya kwanza kwa serikali ya Tanzania kulipa gharama zote za Uchaguzi Mkuu tokea tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992...
An hungry lion can not become a graceful giraffe..brotherNi kwa sababu Magufuli kaharibu mahusiano ya nchi yetu na mataifa washirika. Kuwaita binadamu wenzako mabeberu huku ukirudiarudia kila mara ni uwendawazimu wa aina yake! Magufuli ni mbaguzi na hafai kamwe kuwa kiongozi! Havumiliki!
Nilichogundua wewe hata shule hujamaliza ndo maana unaona beberu Ni tusi angali wenye Akili tunaona Ni jina la mfumo kama Mifumo ya kijima na n.kBeberu ni tusi na ni neno la kibaguzi. Hakuna lugha nyingine ya kulielezea. Watu weusi wakiitwa nyani unaona wanavyokuja juu? Vivyo hivyo kwa neno beberu
Kama ni mabeberu kweli ulitaka asemaje?Ni kwa sababu Magufuli kaharibu mahusiano ya nchi yetu na mataifa washirika. Kuwaita binadamu wenzako mabeberu huku ukirudiarudia kila mara ni uwendawazimu wa aina yake! Magufuli ni mbaguzi na hafai kamwe kuwa kiongozi! Havumiliki!
Mkuu kuna tofauti kati ya Beberu na Bepali. Mabeberu wawe nchi au mtu mmoja mmoja ni wakandamizaji na wezi wa aina fulani. Bepari ni capitalists (I stand to be corrected).Wewe hujielewi kuitwa beberu Ni tusi? Hujui beberu Ni mtu anaefuata mfomo wa kibepali.
Nisawa na Mchina umuite Mjima Napo utakuwa umekosea? Maana wanatumia mfumo wa kijima.
Nchi karbia zote za ulaya na America zinatumia mfumo wa kipebali hivyo kuitwa beberu Ni kawaida Sana.. rejea history documents mkuu.
Umenena yaliyo sahihi mkuu Bora wewe unauelewa na huu Mfumo.Mkuu kuna tofauti kati ya Beberu na Bepali. Mabeberu wawe nchi au mtu mmoja mmoja ni wakandamizaji na wezi wa aina fulani. Bepari ni capitalists (I stand to be corrected).
Ndiyo wajibu wa serikaliHii itakuwa ni mara ya kwanza kwa serikali ya Tanzania kulipa gharama zote za Uchaguzi Mkuu tokea tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
Ieleweke kuwa Mwaka 2015, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitumia jumla ya Shilingi 534,499,415,599/= katika zoezi zima la Uchaguzi Mkuu. Pesa kati ya hizo zilitolewa na Washirika wa Maendeleo ambao ni Umoja wa nchi za Ulaya, Uingereza na Marekani kupitia mradi wa DEP unaosimamiwa na UNDP ambapo pia walitoa vifaa kwa ajili ya uchaguzi na pia ukarabati wa Kituo cha Kuchakata taarifa za Wapiga Kura (Data Processing Center).
Kuanzia sasa mpaka Uchaguzi Mkuu, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania (NEC) inatarajia kutumia shilingi bilioni 331.7 kukamilisha zoezi la Uchaguzi Mkuu ambapo fedha hizo zitatolewa kupitia Mfuko Mkuu wa Hazina kwa kuzingatia kifungu cha 122 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi.
Hii itakuwa ni dhana ya kujitegemea ambayo faida yake ni kuwa na uhuru wa kuamua namna ya kuendesha uchaguzi bila kuingiliwa kimaamuzi na Wanaochangia gharama za Uchaguzi!
Unauliza swali halafu unatoa majibu wewe mwenyewe!Hamjatoa kule kwenye mifuko ya hifadhi za jamii?
Mnaiba haki za wazee wetu huku mkijitapa mnajitegemea, kujitegemea gani kwa kupora haki za wengine?
Kwa hiyo hizo pesa zinakusanywa na walipa kodi!Unamaanisha kutumia Kodi zetu; either through makusanyo au mikopo kutoka kwa mabeberu..., kwahio bora useme gharama kulipwa na walipa kodi au Mikopo itakayolipwa na walipa kodi...
Wewe mchague Lissu ili aendelee kuwaramba!
Sisi Watanzania tutamchagua tena Magu ili tuendelee kujitegemea kama hivi, hatutaki kummuabudu mtu ili aje aingilie mambo yetu ya ndani ya nchi sisi.