Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #61
Nina Div 1 ya 14 kutoka Don Bosco Seminary. Una lingine?Yaani Vilaza wa kwenye matokeo darasani wamekaa wakachukuana Vilaza bungeni wakawapeleka Dubai. Hebu kila mtu anayeshabikia mkataba huu mkataba aje na cheti cha form chenye division one.
UjingaJirani anatapa tapa!!
Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi , huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili kuzimaliza kabisa bandari za Tanzania sasa amekosa raha baaada ya kusikia Tanzania ameamka na anaboresha bandari zake kwa kiwango cha kimataifa.
Ikumbukwe jirani huyu alikuwa akifadika sana na ukiritimba uliokuwepo katika bandari za Tanzania uliofanya mizigo ichelewe kutoka na meli kuchelewa kushusha bandari jambo lililopelekea wateja wengi kukimbilia katika Bandari yake ya Mombasa!!
Taarifa zaidi zinasema jirani huyu ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitumia mwanya wa siasa za Tanzania kupenyeza propaganda kii telejensia ili kufelisha mipango kabambe ya kiuchumi ya Tanzania ikiwemo ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Mji wa kisasa kigamboni, uwekezaji wa treni ya abiria katika jiji la Dar es Salaam ili aendelee kutawala Afrika Mashariki kiuchumi sasa anatapatapa baada ya majasusi wa Tanzania kufanikiwa kukwamisha jitihada zake za kukwamisha makubaliano baina ya Dubai na Tanzania kuhusu Bandari na mkataba husika kupitishwa na Bunge la Tanzania.
Taarifa zaidi zinadai kuwa, Jirani sasa amewekeza sana katika chama fulani cha siasa ambacho kwa muda amekuwa akikifadhili na kuwafadhili wanasiasa na wanachama wake ikiwemo kimatibabu na hata kuwatoroshea kwake pale walipokumbwa na shida nchini Tanzania katika kuhakikisha kinafanya maandamano nchini Tanzania na kuleta pressure kwa wananchi ili serikali ya Tanzania isitekeleze makubaliano na kuingia rasmi mkataba na kampuni ya Dp World ili kuendeleza Bandari zake kwa kuwa anajua endapo Tanzania itafanikiwa kuingia makubaliano na DP World basi ndo itakuwa mwisho wa Bandari zake za Mombasa na Lamu
Hongereni TISS kwa kufanikiwa kuzima hili jaribio la nchi jirani. Sasa mko vizuri katika ujasusi wa kiuchumi.
Polee sana hapo NairobiUjinga
Baada ya DP World kufanikiwa kuingia Makubaliano na Tanzania, Kenya amechanganyikiwa sana...DP World wanataka ku-operate bandari zote za Afrika Mashariki mpaka Congo Drc.
Inside UAE’s plan to control African ports business through DP World
From Djibouti on the Horn round the Cape to Egypt, UAE logistics giant curates a route for goods to Africa in an intricate power game.www.theeastafrican.co.ke Inside UAE’s plan to control African ports business through DP World
Ufisadi gani umetetewa hapa?Kama huna la maana la kusema si ufunge bakuli lako mwanangu. Kumbaff kabisa. Unatetea ufisadi na ukumbaff au umetumwa au ni mnufaikaji na dili hili la kimalaya kisiasa?
Hiyo ndo imekuwa mipango ya huyu jirani kwa miaka mingi. Ku sabotage jitihada zozote za Tanzania katik kujikwamua kiuchumi ili aendelee kuwa juu yake!HUYO JIRANI YUPO KARIBU SANA NA CHAMA FULANI NA WAMEAPIZANA KAZI YAO IWE MOJA TU, SABOTAGE BY ANY MEAN, NINA MASHAKA HATA HUTO TO MAANDAMANO TUNARATIBIWA NA WAO KISIRISIRI.
Wafikishie salamuUlichoandika ni utopolo mtupu,watz hawana uwezo wa kucompet na wakenya ktk nyanja zote.
Wale ni full capitalist kitambo tu,Kama tu sisi tunalima parachichi wao ndo exporter,sisi tunalima mahindi na vitunguu wao ndio wajanja wa masoko ya sudani na nje
Kama sio kweli kwa nini umereply sasa?sio kweli unataka tureply tu post yako basi
Hata sijaelewaSuch a grotesque display of Intellectual Myopia by a Moth-Eaten Second Class Spin-Doctor.
Kwa sababu tumelalaHiyo ndo imekuwa mipango ya huyu jirani kwa miaka mingi. Ku sabotage jitihada zozote za Tanzania katik kujikwamua kiuchumi ili aendelee kuwa juu yake!
Sasa tumeamka na hatulali tenaKwa sababu tumelala
Baada ya DP World kufanikiwa kuingia Makubaliano na Tanzania, Kenya amechanganyikiwa sana.
Hamna kitu hapo, ni robot hilo.Hivi una akili kweli?
Uwe unawahi kwenda nyumbani ufanye masahihisho na kazi za nyumbani na watoto wako kuliko kukaa bar muda wote.Jirani anatapa tapa!!
Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili kuzimaliza kabisa bandari za Tanzania sasa amekosa raha baaada ya kusikia Tanzania ameamka na anaboresha bandari zake kwa kiwango cha kimataifa.