Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

Kwa kutukana tu unaonesha umesha panick polee sana
 
Watu km wewe ndio wanatakiwa, ila kidogo kidogo watanzania wenye nia njema na nchi yao wataelewa. DP world imewekeza kwenye bandati nyingi duniani ikiwemo nchi zilizoendelea zinazotusaidia ktk bajeti yetu km baba wa uchumi duniani yaani Marekani, Uingereza, Australia na nchi kubwa kubwa zenye uchumi mkubwa sana kuliko sisi. Kwanini akiwekeza kwetu iwe ni amenunua nchi? Hao mashetani waliozoea kununuliwa washindwa na walegee kabisa. Ila watanzania wazelendo tumaoipenda nchi yetu maana hatuna nchi nyingine ya kwenda tuiunge mkono serikali yetu. Viva Samia viva.
 
Siamini km kuna mtu ankuzidi wewe kwa udogo wa akili. Una akili ndogo sana we mbwa km K ya mjusi. Umeshawahi ona K ya mjusi we kenge?
 
Epa ni mkataba kwani? Na ilipitishwa wapi? Na Bunge gani? Unajua hata maana ya Epa?

Iptl ilipitishwa na Bunge gani? Richmond ilipitishwa na Bunge gani?
Duh!!!
Haya endelea na kampeni yako..wewe ndio mweupe. Unafikiri walipewa bila mikataba,!!!
 
Siamini km kuna mtu ankuzidi wewe kwa udogo wa akili. Una akili ndogo sana we mbwa km K ya mjusi. Umeshawahi ona K ya mjusi we kenge?
Nimeiona kwako wakati nakubaka.

Kwani wewe si ndio mjusi mwenyewe.
 
kwa umbea huu, bila shaka wewe ni she wa kizaramo
 
Sina tatizo na uwekezaji kwenye Bandari yetu, ila watu wana maswali mengi,

1. Je huu mkataba wa DP World ni mkataba kwa miaka migapi?
2. Hali ya ulinzi wa nchi yetu kupitia lango la Bandari utakuwaje?
3. Kwa nini uwekezaji huu ni kwa bandari zote za Tanzania bara na isiwe bandari moja?
 
MKATABA....
KELELE IKO KWENYE MKATABA, SIO UWEKEZAJI.
 
Madalali wa Bandari yetu mmekuwa wengi sana kiasi cha kuanza kuingiza Propaganda za kipuuzi sana
 
Hilo. Sahihi
Swali ni hili.
Jirani naye ameuza bandari kwa Waarabu au anaiendesha mwenyewe kwa tija?
 
we umeusoma mkataba wenyewe? Au ni wale manyumbu wanaofuata mkumbo wasioujua. Mikataba muda wake bado. Umeambiwa kuna IGA na HGA, Kilicokubaliwa ni makubaliano ya nchi mbiili kuingia ktk mikataba. Makubaliano yenyewe yatadumu kwa miezi 12 ni muda upi unataka kuujua. Shida ya watanzania wengi ni uelewa, tulia soma jambo ulielewe usitumike na wasaliti wa maendeleo yetu bila kujua. Wakati mikataba itakapoanza kusainiwa kati ya TPA na DP World ndio utafute hiyo mikataba kujua itakuwa ya muda gani. Wabunge wetu ni wawakilishi wetu tuwaamini, na tuelewe maana ya uwakilishi. Tuwe na positive attitude km tunataka kufanikiwa. Nchi yetu ipo pazuri sana jisikie fahari kuwa mtanzania, ni ya 6 kuwa na GDP per capita kubwa africa.
 
Madalali wa Bandari yetu mmekuwa wengi sana kiasi cha kuanza kuingiza Propaganda za kipuuzi sana
we kinacchokusumbua ujinga na uvivu, ungejishughulisha kidogo ungeshaelewa mpaka leo, shida uvivu. Utaendelea kulalamika na kulaumu kwa uvivu huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…