Kwa mara ya Kwanza Mwanamke anagombea URAISI hapa Tanzania

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi.

Na hii itatokana na ridhaa ya Chama chake kumruhusu kugombea tena.
 
Semu D. anagombea!!?
 
Sawa.
Je utaratibu wa kumpata kutoka chamachake ulifuatwa!? Alishindanishwa?
 
Ulifuatwa kwa mujibu wa kilivyokubaliana ndani ya chama chao na waliridhika, au uliwahi kumuona mlalamikaji kwenye vyombo vya habari akilalamika ?
.
 
Huyu sasa kama atashinda vipindi vyote viwili atakuwa ameiongoza Tanzania kwa muda wa miaka kumi na nne (14)
 
IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi.

Na hii itatokana na ridhaa ya Chama chake kumruhusu kugombea tena.
Wakati unaandika huu utumbo wako, ukumbuke pia kuna Izraeli mtoa roho. Na ukumbuke pia kuna watu wamekaa tu mkao wa kula wakisubiria kufanya sherehe (mimi si mmoja wa hao watu) iwapo tu huyo Izraeli atafanya jambo lake.
 
Huyu sasa kama atashinda vipindi vyote viwili atakuwa ameiongoza Tanzania kwa muda wa miaka kumi na nne (14)
Usitutafute la rohoni ndugu,huyo mliebakiwa na sero anawatosha
Wanangu bado wadogo.
 
SHockerton umepata sshock ya brain au

Nani amesema hii ni mara ya kwanza kwa mwanamke kugombea urais hapa Tanzania? Halafu jamhuri ya Tanzania ndio nchi gani hiyo?
 
Ulifuatwa kwa mujibu wa kilivyokubaliana ndani ya chama chao na waliridhika, au uliwahi kumuona mlalamikaji kwenye vyombo vya habari akilalamika ?
.
Mlalamikaji yupo,yule mzee mliyemfukuza chama
 
Haya wawepo mia ,pengine mpo mpo tu hamna the picture in the brain aka idea, kile kilichopo kuwa na RAISI atakaeongoza kwa miaka kumi na nne kama atakuwa hai na mzima wa afya,
 
Back
Top Bottom