- Thread starter
- #21
Niandikie KATIBA ya JAMHURI ya Muungano inasemaje ? Nilijua wapo wenye maonoKinyume na katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Niandikie KATIBA ya JAMHURI ya Muungano inasemaje ? Nilijua wapo wenye maonoKinyume na katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Hiki ni kipindi chake cha mwisho Katiba haimruhusu tena kugombea labda aamue kuikanyaga Katiba ili kujiongezea muda.IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi.
Na hii itatokana na ridhaa ya Chama chake kumruhusu kugombea tena.
Inawezekana ukatuandikia kabla hajaikanyaga ,ili isije ikabakia mwezi wapinzani wakaanza kutaka kukiwasha ,maana itakuwa sio kukinukisha nikukiwasha kabisa, ikiwa umetueleza kama atataka kuikanyaga Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hiki ni kipindi chake cha mwisho Katiba haimruhusu tena kugombea labda aamue kuikanyaga Katiba ili kujiongezea muda.
Usimshushue sasa, muelekeze😂😂😂 huna akili wewe
Yule Anna Mngwira alikua mwanaume si ndio?
TakatakaIKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi.
Na hii itatokana na ridhaa ya Chama chake kumruhusu kugombea tena.
Ibara ya 37(5) ; Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia,kujiuzulu,kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobakia katika kipindi cha miaka mitano na kwa masharti yaliyoelezwa katika Ibara ya 40 (4).Inawezekana ukatuandikia kabla hajaikanyaga ,ili isije ikabakia mwezi wapinzani wakaanza kutaka kukiwasha ,maana itakuwa sio kukinukisha nikukiwasha kabisa, ikiwa umetueleza kama atataka kuikanyaga Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nijuavyo hii ndio mara yake ya kwanza kugombea yeye kama yeye kuwania kiti cha Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Hashindi. Na aondoke kwa fedhehaIKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi.
Na hii itatokana na ridhaa ya Chama chake kumruhusu kugombea tena.
IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi.
Na hii itatokana na ridhaa ya Chama chake kumruhusu kugombea tena.
[/QUOTE
Utakuwa mtoto wa juzi aisee,ana senkolo aliwahi kugombea urais mwaka 2005 je ulikuww bado haujazaliwa? Au ulikuwa unanyonya exclusive breastfeeding
Gentleman,IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi.
Na hii itatokana na ridhaa ya Chama chake kumruhusu kugombea tena.

Unakalia nanilihiuIKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi.
Na hii itatokana na ridhaa ya Chama chake kumruhusu kugombea tena.
Ur so foolishIKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi.
Na hii itatokana na ridhaa ya Chama chake kumruhusu kugombea tena.
Katrina inasema Awamu mbili (2) hii anayoongoza NI Awamu ya Kwanza .Huyu sasa kama atashinda vipindi vyote viwili atakuwa ameiongoza Tanzania kwa muda wa miaka kumi na nne (14)