Semu D. anagombea!!?IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi.
Na hii itatokana na ridhaa ya Chama chake kumruhusu kugombea tena.
Sawa.IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi.
Na hii itatokana na ridhaa ya Chama chake kumruhusu kugombea tena.
Alitumwa na chama cha CCM ,hakuwa mgombea alikuwa jasusi mwisho alirudi wapi ?😂😂😂 huna akili wewe
Yule Anna Mngwira alikua mwanaume si ndio?
Alitumwa na CCM kugombea nini?Alitumwa na chama cha CCM ,hakuwa mgombea alikuwa jasusi mwisho alirudi wapi ?
KaburiniAlitumwa na chama cha CCM ,hakuwa mgombea alikuwa jasusi mwisho alirudi wapi ?
Ulifuatwa kwa mujibu wa kilivyokubaliana ndani ya chama chao na waliridhika, au uliwahi kumuona mlalamikaji kwenye vyombo vya habari akilalamika ?Sawa.
Je utaratibu wa kumpata kutoka chamachake ulifuatwa!? Alishindanishwa?
Wakati unaandika huu utumbo wako, ukumbuke pia kuna Izraeli mtoa roho. Na ukumbuke pia kuna watu wamekaa tu mkao wa kula wakisubiria kufanya sherehe (mimi si mmoja wa hao watu) iwapo tu huyo Izraeli atafanya jambo lake.IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi.
Na hii itatokana na ridhaa ya Chama chake kumruhusu kugombea tena.
Usitutafute la rohoni ndugu,huyo mliebakiwa na sero anawatoshaHuyu sasa kama atashinda vipindi vyote viwili atakuwa ameiongoza Tanzania kwa muda wa miaka kumi na nne (14)
Kinyume na katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Huyu sasa kama atashinda vipindi vyote viwili atakuwa ameiongoza Tanzania kwa muda wa miaka kumi na nne (14)
Mlalamikaji yupo,yule mzee mliyemfukuza chamaUlifuatwa kwa mujibu wa kilivyokubaliana ndani ya chama chao na waliridhika, au uliwahi kumuona mlalamikaji kwenye vyombo vya habari akilalamika ?
.
Labda anamaanisha CCMSHockerton umepata sshock ya brain au
Nani amesema hii ni mara ya kwanza kwa mwanamke kugombea urais hapa Tanzania? Halafu jamhuri ya Tanzania ndio nchi gani hiyo?