Kwa mara ya Kwanza Mwanamke anagombea URAISI hapa Tanzania

Hiki ni kipindi chake cha mwisho Katiba haimruhusu tena kugombea labda aamue kuikanyaga Katiba ili kujiongezea muda.
 
Hiki ni kipindi chake cha mwisho Katiba haimruhusu tena kugombea labda aamue kuikanyaga Katiba ili kujiongezea muda.
Inawezekana ukatuandikia kabla hajaikanyaga ,ili isije ikabakia mwezi wapinzani wakaanza kutaka kukiwasha ,maana itakuwa sio kukinukisha nikukiwasha kabisa, ikiwa umetueleza kama atataka kuikanyaga Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nijuavyo hii ndio mara yake ya kwanza kugombea yeye kama yeye kuwania kiti cha Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Takataka
 
Ibara ya 37(5) ; Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia,kujiuzulu,kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobakia katika kipindi cha miaka mitano na kwa masharti yaliyoelezwa katika Ibara ya 40 (4).

Ibara ya 40(4) :
Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya Ibara ya 37(5) kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu.
 
Hashindi. Na aondoke kwa fedheha
 
Labda wewe uya
 
Utakuwa mtoto wa juzi wewe au ulikuww kwenye ziwa la mama yako ukinyonya Anna senkolo aliwahi kugombea mwaka 2005
 
Gentleman,
huenda huna uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya historia za wangombea urais katika chaguzi za Tanzania kulingana na jinsia
 
Unakalia nanilihiu
 
Tatizo tulilo nalo hivi Sasa hatujui namna ya kulitokomeza halafu tuanzieshe Tena changamoto inayofanana na hiyo?
 
Ur so foolish
 
Huyu sasa kama atashinda vipindi vyote viwili atakuwa ameiongoza Tanzania kwa muda wa miaka kumi na nne (14)
Katrina inasema Awamu mbili (2) hii anayoongoza NI Awamu ya Kwanza .

Akishinda October inakuwa ya pili .anarudi kizimkazi au Seoul kuchukua degree za nyongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…