Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

Ha ha. Mkuu si uweke tu namba ya simu, uchangiwe hapa na mabilionea wa JF, uwe Mbunge wa Kwanza kutokea kwa mchango wa wahudhuri wa mtandao huu?

Ukipata huo ubunge utakubali Viieti?
shukrani sana muungwana SYLLOGIST!

actually,
your idea sio tu ni appreciation on my spirit on achieving my target, but also this is very powerful empowering plan for ambitious youths 🐒

But to me, I must say thanks to JF fraternity...
Ile jambo muhimu sana naomba kwa kwa hii familia kubwa sana na ya maana sana ya JF, ni maombi kwa Mungu 🐒

Azidi na aendelee kunijaalia hii zawadi ya uhai na afya njema. For sure JF family mpaka hapa nilipo natambua mchango wake

The challenges and setbacks among members hr in forums, always boosts me higher, and strengthens me much 🐒

Thank you very much gentleman, for a wonderful proposal 👊👊
 
Kwani elimu ni nini!!?

Ni uandishi ulionyooka hapa jukwaani!!?

Kwanza elimu Gani unayoitumia kumpima mwandishi!!?hii ya kikoloni tulioirithi ya kuchora panzi ubaoni!!?au hii ya kabudi alioitumikia akajiona yupo jalalani!!?

Tanzania hatuna elimu mkuu,tuna kujua kusoma na kuandika katika level tofauti tofauti hasa wengi wetu tumejifunza TU kiingereza Cha kunywea maji lakini sio elimu!!

"Elimu ni kutumia nature kutatua matatizo yaliyopo"sio hii ya utumwa was kusaka ajira Kwa graduates,mtaala wa elimu ya ukweli nitauleta Mimi nitakaposhika stronghold, Jackson makweta angeileta lakini nguvu za Giza zilimzuia kugombea urais,Anga linaenda kutulia ndipo nitatimiza kiu ya Mungu aliyokuwa nayo Jackson Makweta Kwa Tanzania!!

Ndipo pale professional zitakapolipa kuliko siasa zilivyo sasa coz hatuwezi PATA maendeleo kama ualimu unadharaulika,uweledi unakimbiwa na wasomi kuona siasa ni ya maana kuliko professional zao walizosoma Kwa miaka 17 na hekima ya usomi kudharaulika!!

Iliopo sio elim hata hiyo unayojivunia siyo elimu,elim ya kweli ataisoma mjukuu wako nitaileta mkuu!!!
halafu kumbe specialist wa kusawazisha mambo upo hapa na sijui ulichelewea wap 🐒

na sasa huyu muungwana rafiki yangu Matrix19 ameng'ang'ana na upumbavu na ujinga katika makosa machache kwenye uandishi wangu ....

amesahau kwamba, akinikosoa na akirekebisha sarufi au grammar kwenye andiko langu na ujinga wangu unakoma pale pale, kwasabab nitakua nimejifunza na kuelewa niliko potoka 🐒
 
Kwani elimu ni nini!!?

Ni uandishi ulionyooka hapa jukwaani!!?

Kwanza elimu Gani unayoitumia kumpima mwandishi!!?hii ya kikoloni tulioirithi ya kuchora panzi ubaoni!!?au hii ya kabudi alioitumikia akajiona yupo jalalani!!?

Tanzania hatuna elimu mkuu,tuna kujua kusoma na kuandika katika level tofauti tofauti hasa wengi wetu tumejifunza TU kiingereza Cha kunywea maji lakini sio elimu!!

"Elimu ni kutumia nature kutatua matatizo yaliyopo"sio hii ya utumwa was kusaka ajira Kwa graduates,mtaala wa elimu ya ukweli nitauleta Mimi nitakaposhika stronghold, Jackson makweta angeileta lakini nguvu za Giza zilimzuia kugombea urais,Anga linaenda kutulia ndipo nitatimiza kiu ya Mungu aliyokuwa nayo Jackson Makweta Kwa Tanzania!!

Ndipo pale professional zitakapolipa kuliko siasa zilivyo sasa coz hatuwezi PATA maendeleo kama ualimu unadharaulika,uweledi unakimbiwa na wasomi kuona siasa ni ya maana kuliko professional zao walizosoma Kwa miaka 17 na hekima ya usomi kudharaulika!!

Iliopo sio elim hata hiyo unayojivunia siyo elimu,elim ya kweli ataisoma mjukuu wako nitaileta mkuu!!!
Na wewe uchukue fomu sasa 🤣
 
that is the truth....

hakuna anaweza eleza namna hiyo humu ndani, zaidi ya ya mimi na waziri mwenye dhamana ya mifugo 🐒

ukitaka kuamini haya fatilia bajeti ya mifugo kwenye mang'ombe utaona hii nimekuonjesha 🤣
kumbe tupo na waziri um na hatujui😂😂,, salute sir
 
🤣🤣🤣 thubutuu!!
Tuendelee na story, nishaandaa popcorn 🍿 hapa
sure,
mimi naona mbali sana,
and I can see the gentleman emerging very well and strongly in a political scene 🐒

stori lazma iishe na si ya kubakiza au kubaki nayo kwa pdf yangu...

hii ni ya wananchi,
ndio waone jinsi ambavyo mambo haya yanahitaji moyo wa dhati, bidii na kutokukata tamaa.

Lakini pia wajue jinsi ambavyo tunapambana kuwapambania 🐒
 
Nimechoka kusubiri hamu yote imekata na hiyo story yako 😏
 
wakaati nawashukuru na kuwaaga ndrungu zangu wana Dar es Salaam last month kulikua na jotro si mchezo,

muungwana moja alinihoji, Je nimewahi kufika river side katika kipindi ulichoishi dar?
nikamjibu hapana, akanambia bas bado siijui dar....

sasa napoona nawe unaipamba na kuniunganisha nami as if tunakutana sana apo, next time nikija dar breki ya kwanza ni apo river side ili nami nikajiridhishe na kushuhudia yaliyomo mtaa huo 🐒
🤣🤣 Mh.anataka kuwa mujanja 🤣🤣
 
Nimechoka kusubiri hamu yote imekata na hiyo story yako 😏
usikate hamu tafaddhalli, hadhira imeshauri nizingatie sarufi na grammar za kizungu, na matumizi sahihi ya maneno, kwahiyo napata msasa kidogo hapa, ila tupo pamoja 🐒
 
Nilikwambia usiwajibu hao we endeleza story kwenye makosa atajiongeza msomaji, hauko kwenye stories of change useme unagombania tuzo ya uandishi na pesa..!!

Hii story ukitaka kuimaliza usitujibu wachangiaji tutakukera mpaka upoteane 😂😂😂
 
Huyu mwamba unampenda ama?
Mbona unabembeleza sana?
 
Back
Top Bottom