Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣🤣 Unauliza makofi polisi?? Namuelewa kinouma nouma na uzi wa mitongozo tushaandikiana 🤭🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️ (jokes)Huyu mwamba unampenda ama?
Mbona unabembeleza sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 Unauliza makofi polisi?? Namuelewa kinouma nouma na uzi wa mitongozo tushaandikiana 🤭🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️ (jokes)Huyu mwamba unampenda ama?
Mbona unabembeleza sana?
Nimechukua hii komenti yako ndugu , nimeikariri leo kila anayetaka maongezi n mimi sisiti kuingizia haya maneno yako .it is impossible for me to be trapped by these junior politicians in place. I am young, but at least senior than them, by experience political speaking...
and thus,
I can confirm to you, without fear of contradictions, I can not work out on the carpet trapped to me.
That one can never happen to me 🐒
Chief Mungu akutangulie ila ikikupendeza ukipita usinisahau katika kuitumikia nchi kwa viwango vingine .Mzee Usinikumbushe hii safari ya Majuto kwangu mwaka 2015 Niligombea Nikakosa nikawa Mshindi wa sita kura za maoni..
Mwaka 2020 Nilikuwa Mshindi wa Tatu ila bado Sijakata tamaa Ila hakuna Safari Ngumu kama Siasa utapoteza Pesa nyingi sana
Andika ndugu tumekusubiri sana... Tena sanausikate hamu tafaddhalli, hadhira imeshauri nizingatie sarufi na grammar za kizungu, na matumizi sahihi ya maneno, kwahiyo napata msasa kidogo hapa, ila tupo pamoja 🐒
Kuna vingi unavijua kwenye siasa nitakutafuta hasa mbeya vijijini mbozi na Tunduma🤣🤣🤣🤣 Unauliza makofi polisi?? Namuelewa kinouma nouma na uzi wa mitongozo tushaandikiana 🤭🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️ (jokes)
Sijui chochote na wala siishi huko!! Nipo kuchangamsha kijiwe hapa.! Mi nakaa gomz ulongoni huko 🤣🤣🤣Kuna vingi unavijua kwenye siasa nitakutafuta hasa mbeya vijijini mbozi na Tunduma
Sawa sawa Chief!Chief Mungu akutangulie ila ikikupendeza ukipita usinisahau katika kuitumikia nchi kwa viwango vingine .
Ila naomba kuuliza unaweza kuwa wewe ni au unao ukaribu na mtu alijiita mzee wao ni wao ?
pale iko shida ya grammar au muundo wa sentensi, unarekebisha na ile ambae imezidi au haistahili unatoa, na unaweka ile inafaa na tunasonga pamoja bila mbambamba yoyote 🐒Nimechukua hii komenti yako ndugu , nimeikariri leo kila anayetaka maongezi n mimi sisiti kuingizia haya maneno yako .
Watu wanasema sasa hivi umekuwa na ulimi laini wa ngeli kumbe mwenzao nimekopi huku na hata sijui ulimaanisha nini ila niliojitahidi kuyasoma nilijikuta npenda tu ulivyo tiririka mheshimiwa Mbunge A.K.A rafiki yake mzee wao ni wao baba yake na mwamba wa kuitwa intelligent bussinessman
inaendelea stay tuned....Nilikwambia usiwajibu hao we endeleza story kwenye makosa atajiongeza msomaji, hauko kwenye stories of change useme unagombania tuzo ya uandishi na pesa..!!
Hii story ukitaka kuimaliza usitujibu wachangiaji tutakukera mpaka upoteane 😂😂😂
JF ni Jukwaa kubwa. Ni Jukwaa lililo na heshima yake ya Kipekee-pamoja na mizengwe-pun Intended bado lina nafasi kubwa ya kuwa kichocheo cha mapinduzi chanya kwa maendeleo ya Nchi.shukrani sana muungwana SYLLOGIST!
actually,
your idea sio tu ni appreciation on my spirit on achieving my target, but also this is very powerful empowering plan for ambitious youths 🐒
But to me, I must say thanks to JF fraternity...
Ile jambo muhimu sana naomba kwa kwa hii familia kubwa sana na ya maana sana ya JF, ni maombi kwa Mungu 🐒
Azidi na aendelee kunijaalia hii zawadi ya uhai na afya njema. For sure JF family mpaka hapa nilipo natambua mchango wake
The challenges and setbacks among members hr in forums, always boosts me higher, and strengthens me much 🐒
Thank you very much gentleman, for a wonderful proposal 👊👊
Ndo wapi?? Umelewa mtumishi??kwan kule moshi bar umehama 🐒
Nitaisoma kesho saa hizi naingia kwenye maombiinaendelea stay tuned....
sehemu ya pili ni ndefu kidogo, na hawa jamaa wa kusaidia kufupisha naona hawamalizi, but soon tunaendelea🐒
Kabisa, mhitimu wa chuo pekee aliyefanikiwa kuupata ubunge akitokea chuoni ni SilindeStory ya David Silinde ndiyo wewe ?
kuna hawa vijana myika na zito,
kuna Taasisi moja iko sinza mori huko dar es salaama inaitwa CGG, ilikua inahusika na masuala ya utawala bora na uongozi kwa ujumla
sasa mwalimu si unarelax tu, ukiwa una fundisha na kurekebisha Grama za badiko langu muhimu sana la confidence building kwa ambitious youths🐒
mihemko sio issues sana ya kubabaika nayo, mimi, wanaonchi na hawa ambitious youths tunasonga pamoja vizuri sana bila mbambamba yoyote aise🐒
Alihenyeka kidogo pale cdmKabisa, mhitimu wa chuo pekee aliyefanikiwa kuupata ubunge akitokea chuoni ni Silinde
Hivi zito alipotoka chuo alienda wapiKabisa, mhitimu wa chuo pekee aliyefanikiwa kuupata ubunge akitokea chuoni ni Silinde
Hata Dubi kuna huo mradi?Wewe endelea kupiga blaa blaa tu wakati Rufiji imeshazama huko. Mnakurupuka kuanzisha miradi ambayo haijafanyiwa full EIA matokeo yake ndio hayo.