Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

Ha ha. Mkuu si uweke tu namba ya simu, uchangiwe hapa na mabilionea wa JF, uwe Mbunge wa Kwanza kutokea kwa mchango wa wahudhuri wa mtandao huu?

Ukipata huo ubunge utakubali Viieti?
shukrani sana muungwana SYLLOGIST!

actually,
your idea sio tu ni appreciation on my spirit on achieving my target, but also this is very powerful empowering plan for ambitious youths πŸ’

But to me, I must say thanks to JF fraternity...
Ile jambo muhimu sana naomba kwa kwa hii familia kubwa sana na ya maana sana ya JF, ni maombi kwa Mungu πŸ’

Azidi na aendelee kunijaalia hii zawadi ya uhai na afya njema. For sure JF family mpaka hapa nilipo natambua mchango wake

The challenges and setbacks among members hr in forums, always boosts me higher, and strengthens me much πŸ’

Thank you very much gentleman, for a wonderful proposal πŸ‘ŠπŸ‘Š
 
halafu kumbe specialist wa kusawazisha mambo upo hapa na sijui ulichelewea wap πŸ’

na sasa huyu muungwana rafiki yangu Matrix19 ameng'ang'ana na upumbavu na ujinga katika makosa machache kwenye uandishi wangu ....

amesahau kwamba, akinikosoa na akirekebisha sarufi au grammar kwenye andiko langu na ujinga wangu unakoma pale pale, kwasabab nitakua nimejifunza na kuelewa niliko potoka πŸ’
 
Na wewe uchukue fomu sasa 🀣
 
that is the truth....

hakuna anaweza eleza namna hiyo humu ndani, zaidi ya ya mimi na waziri mwenye dhamana ya mifugo πŸ’

ukitaka kuamini haya fatilia bajeti ya mifugo kwenye mang'ombe utaona hii nimekuonjesha 🀣
kumbe tupo na waziri um na hatujuiπŸ˜‚πŸ˜‚,, salute sir
 
🀣🀣🀣 thubutuu!!
Tuendelee na story, nishaandaa popcorn 🍿 hapa
sure,
mimi naona mbali sana,
and I can see the gentleman emerging very well and strongly in a political scene πŸ’

stori lazma iishe na si ya kubakiza au kubaki nayo kwa pdf yangu...

hii ni ya wananchi,
ndio waone jinsi ambavyo mambo haya yanahitaji moyo wa dhati, bidii na kutokukata tamaa.

Lakini pia wajue jinsi ambavyo tunapambana kuwapambania πŸ’
 
Nimechoka kusubiri hamu yote imekata na hiyo story yako 😏
 
🀣🀣 Mh.anataka kuwa mujanja 🀣🀣
 
Nimechoka kusubiri hamu yote imekata na hiyo story yako 😏
usikate hamu tafaddhalli, hadhira imeshauri nizingatie sarufi na grammar za kizungu, na matumizi sahihi ya maneno, kwahiyo napata msasa kidogo hapa, ila tupo pamoja πŸ’
 
usikate hamu tafaddhalli, hadhira imeshauri nizingatie sarufi na grammar za kizungu, na matumizi sahihi ya maneno, kwahiyo napata msasa kidogo hapa, ila tupo pamoja πŸ’
Nilikwambia usiwajibu hao we endeleza story kwenye makosa atajiongeza msomaji, hauko kwenye stories of change useme unagombania tuzo ya uandishi na pesa..!!

Hii story ukitaka kuimaliza usitujibu wachangiaji tutakukera mpaka upoteane πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu mwamba unampenda ama?
Mbona unabembeleza sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…