Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

Huyu mwamba unampenda ama?
Mbona unabembeleza sana?
🀣🀣🀣🀣 Unauliza makofi polisi?? Namuelewa kinouma nouma na uzi wa mitongozo tushaandikiana πŸ€­πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ (jokes)
 
Nimechukua hii komenti yako ndugu , nimeikariri leo kila anayetaka maongezi n mimi sisiti kuingizia haya maneno yako .
Watu wanasema sasa hivi umekuwa na ulimi laini wa ngeli kumbe mwenzao nimekopi huku na hata sijui ulimaanisha nini ila niliojitahidi kuyasoma nilijikuta npenda tu ulivyo tiririka mheshimiwa Mbunge A.K.A rafiki yake mzee wao ni wao baba yake na mwamba wa kuitwa intelligent bussinessman
 
Mzee Usinikumbushe hii safari ya Majuto kwangu mwaka 2015 Niligombea Nikakosa nikawa Mshindi wa sita kura za maoni..

Mwaka 2020 Nilikuwa Mshindi wa Tatu ila bado Sijakata tamaa Ila hakuna Safari Ngumu kama Siasa utapoteza Pesa nyingi sana
Chief Mungu akutangulie ila ikikupendeza ukipita usinisahau katika kuitumikia nchi kwa viwango vingine .
Ila naomba kuuliza unaweza kuwa wewe ni au unao ukaribu na mtu alijiita mzee wao ni wao ?
 
usikate hamu tafaddhalli, hadhira imeshauri nizingatie sarufi na grammar za kizungu, na matumizi sahihi ya maneno, kwahiyo napata msasa kidogo hapa, ila tupo pamoja πŸ’
Andika ndugu tumekusubiri sana... Tena sana
 
Kuna vingi unavijua kwenye siasa nitakutafuta hasa mbeya vijijini mbozi na Tunduma
 
pale iko shida ya grammar au muundo wa sentensi, unarekebisha na ile ambae imezidi au haistahili unatoa, na unaweka ile inafaa na tunasonga pamoja bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Sijui chochote na wala siishi huko!! Nipo kuchangamsha kijiwe hapa.! Mi nakaa gomz ulongoni huko 🀣🀣🀣
kwan kule moshi bar umehama (jokes)πŸ’
 
inaendelea stay tuned....
sehemu ya pili ni ndefu kidogo, na hawa jamaa wa kusaidia kufupisha naona hawamalizi, but soon tunaendeleaπŸ’
 
JF ni Jukwaa kubwa. Ni Jukwaa lililo na heshima yake ya Kipekee-pamoja na mizengwe-pun Intended bado lina nafasi kubwa ya kuwa kichocheo cha mapinduzi chanya kwa maendeleo ya Nchi.

Thank you for your kind words.

Muumba akulinde na akuongoze, Utafika.
 

Kabisa, mhitimu wa chuo pekee aliyefanikiwa kuupata ubunge akitokea chuoni ni Silinde
Alihenyeka kidogo pale cdm

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…