Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

Kabisa, mhitimu wa chuo pekee aliyefanikiwa kuupata ubunge akitokea chuoni ni Silinde
gentleman πŸ’

mbona wapo wengi tu, mathalani huyu minister kijana sana, na mchapakazi waziri kutoka huko pangani, akina nasari, akina mkosamali, myika, zito n.k. I think they are many including myself πŸ’
 
Uwahi kurudi
 
Kiufupi Vijana buni miradi sio kukimbilia siasa kuwa ndo mradi.
Mtu huna hela na hujui utazipataje unataka ukatunge sera za nchi mxiiii!!
Hii stori haifundishi lamaana kaiweke FB huku tungependa big ideas...
 
Wewe utakuwa ulipokuwa chuo ulikuwa unahudhuria vipindi unakula kona kwenda mabibo kuangaika na mashangazi

Lkn nikuambie watu wametoka chuo na kwenda kushinda ubunge wengine wakiwa hawajamaliza semister ya mwisho
Hivi na nyie mnaamini kweli kuwa collage graduate anaweza pata ujasiri wa kugombea ubunge? Stop playing with keyboard mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kiufupi Vijana buni miradi sio kukimbilia siasa kuwa ndo mradi.
Mtu huna hela na hujui utazipataje unataka ukatunge sera za nchi mxiiii!!
Hii stori haifundishi lamaana kaiweke FB huku tungependa big ideas...
si unapita kando tu kwa kurilax kabisa bila kubabaika πŸ’
 
Mmh utatukumbuka πŸ˜„
(Joke)
Kila la heri mwanangu

Ova
siwezi sahau wananchi wa aina tofauti tofauti wa jimbo hili muhimu sana, lakini shule na darasa tosha la JF fraternity πŸ’
 
Hashim Rungwe aliulizwa kwanini unasema umeibiwa kura? Akajibu kwasababu pole alizopewa ni nyingi kuliko kura alizopata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…