π€£π€£π€£π€£ hiko anamaanisha anatetemeka had anajikunyata bana.!!
Message sent, jamaa anataka kuchukua kijiji na keyboard yakeπ€£Unasemaje? hiyo a ni ya nini badala ya e!
Kuna mtu aliniambia ukiona ID ya join 2023.Rudisha ss hivi ndio utaenjoy utakutana na vizazi vya Lilith hivyo vinafunguka balaa.!! Show itabamba kinouma nakwambia πππ
π€£π€£π€£π€£ Tulia basi story iendelee, utajua mwisho wa story yakeNdio aliyeunga juhudi?
π€£π€£π€£ si anajua anapokoj....mahali pazuri ππ€£π€£π€£π€£ hiko anamaanisha anatetemeka had anajikunyata bana.!!
Achana nao waongo haoKuna mtu aliniambia ukiona ID ya join 2023.
ni kwa ajili ya matusi.
Anyway nishakuwa babu, na muda ni mchache sana!
Muda mwingi nakuwa kwenye Ndege.
ππππ sina uhakikaπ€£π€£π€£ si anajua anapokoj....mahali pazuri π
Naweza nisione muendelezo hapa nasubiria tu ku change flight hapa Bole.π€£π€£π€£π€£ Tulia basi story iendelee, utajua mwisho wa story yake
Kama ni hiyo Story ni ya David Silinde wakati anaenda kugombea 2010.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wahala mshaanza
Baadae akasaliti chamaKama ni hiyo Story ni ya David Silinde wakati anaenda kugombea 2010.
Uchaguzi wa 2010 harakati zilikuwa kali sana Mbozi akamwangusha mbunge wa huko alikuwa Dr Something sikumbuki vizuri jina.
Kwenye hiyo flight hushuki?? Utaukuta muendelezo πππNaweza nisione muendelezo hapa nasubiria tu ku change flight hapa Bole.
Ukini mention nitaona baadae.
Na kukimbia jimbo akahamia Tunduma napo wajumbe wakamla kichwa ikabidi abebwe na JPM kwa lazima.Baadae akasaliti chama
ππππ Siyo yeye khaaaa!!!Kama ni hiyo Story ni ya David Silinde wakati anaenda kugombea 2010.
Uchaguzi wa 2010 harakati zilikuwa kali sana Mbozi akamwangusha mbunge wa huko alikuwa Dr Something sikumbuki vizuri jina.
Labda nianze na wewe.Achana nao waongo hao
Ww njoo tufanye kipindi, na mdhamini wetu wa kwanza mh Tlaatlaah baba mbunge πππ
π€£π€£π€£Na kukimbia jimbo akahamia Tunduma napo wajumbe wakamla kichwa ikabidi abebwe na JPM kwa lazima.
Kwenye box la kura akala za uso wakaamua kupora mabox ya kura.
Ila naona kama code haziendani hivi!!!ππππ Siyo yeye khaaaa!!!
Mtafanya baba mtumishi asirudi kuendeleza story sasa!!
kwahiyo unadharau akina mh shigongo na Dr. Kasheku msukuma?Hivi na nyie mnaamini kweli kuwa collage graduate anaweza pata ujasiri wa kugombea ubunge? Stop playing with keyboard mkuuπ€£π€£π€£π€£