Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

Labda nianze na wewe.

Nitaanza kukufuatilia ili nijue falsafa zako.

Nitengeneze mada itakayoendana na wewe.

Ukimwona financial services mwambie nimemmiss sana na ninampenda. ❀️
Mimi nitakuwa nakazia na kukuletea member wa kuchamgansha show 🀣🀣🀣

financial services dada unamisiwa na kupendwa huku, unipe na namba za mganga wako sio kwa kupendwa huku 🀣🀣🀣
 
VinyΓ ni vya nini mheshimiwa?
 
Unafungua code sasa mtumishi, huyo achana naye atakufanya utaje jina kabisaa.!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mkosamali was my friend,
and he was very popular and loved kule jimbo kwake before hajaanza kuzubaa na siasa za kitaifa na kulegalega kule jimboni kwake, na wala haukuzingatia alama za nyakati politically speaking πŸ’
Hawa wanakujaza uingie kwenye mfumo ujitaje shauri yako 🀣🀣🀣
 
Huwezi kumshirikisha Mungu kwenye Chama cha Shetani
 
Hivi na nyie mnaamini kweli kuwa collage graduate anaweza pata ujasiri wa kugombea ubunge? Stop playing with keyboard mkuu🀣🀣🀣🀣
David Silinde alifanya hivyo 2010 kupitia CHADEMA na alishinda.
Huenda huyu ndiye yeye.
Vijana msiwe wepesi kujihukumu hamuwezi kufanikiwa jambo fulani.
Msiwakatishe tamaa na wengine wenye ndoto kubwa za jambo lolote.
Update:
Wanasema Mkosamali naye alifanya vivyo hivyo.
 
Hawa wanakujaza uingie kwenye mfumo ujitaje shauri yako 🀣🀣🀣
it is impossible for me to be trapped by these junior politicians in place. I am young, but at least senior than them, by experience political speaking...

and thus,
I can confirm to you, without fear of contradictions, I can not work on the carpet trapped to me.
That one can never happen to me πŸ’
 
Okay, tuendelee na story yetu mpk umetimba mjengoni..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…