Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

David Silinde alifanya hivyo 2010 kupitia CHADEMA na alishinda.
Huenda huyu ndiye yeye.
Vijana msiwe wepesi kujihukumu hamuwezi kufanikiwa jambo fulani.
Msiwakatishe tamaa na wengine wenye ndoto kubwa za jambo lolote.
πŸ‘Š Thank you very much kuwapa moyo vijana 🌹

but mie sio silinde, mwacheni naibu waziri yuko bize na majukumu mazito sana kwa sasa...
Nadhani hana muda na chochote ispokua hoja zilizopo mbele yake mjengoni πŸ’
 
David Silinde alifanya hivyo 2010 kupitia CHADEMA na alishinda.
Huenda huyu ndiye yeye.
Vijana msiwe wepesi kujihukumu hamuwezi kufanikiwa jambo fulani.
Msiwakatishe tamaa na wengine wenye ndoto kubwa za jambo lolote.
Tena Silinde walimpitisha makusudi sababu watu wa Tunduma waliichoka CCM na maujinga yao.!!

Hata 2015 walimrudisha jimboni kwao kwa wanyamwanga wenzake agombee walitaka kumdhulumu, wee walikiwasha mpk wakamtangaza..!!

2020 aligombea kwa tiketi ya CCM wajumbe wakamla kichwa, akapita Aden. Ila Magu akawaambia wampe Silinde ili kuwakomesha CDM. Ndio hivyo analisongesha na unaibu juu.

Ila ile Tunduma ina raia wajeuri sana wako radhi wapitishe hata jiwe ila sio CCM
 
Na kukimbia jimbo akahamia Tunduma napo wajumbe wakamla kichwa ikabidi abebwe na JPM kwa lazima.

Kwenye box la kura akala za uso wakaamua kupora mabox ya kura.
Neema na Baraka za Mungu zinaweza kukufuata au zikakukimbia 🌹

kuna cha kujifunza kwenye kasimulizi kako.
Usikate Tamaa πŸ’
 
concerning tunduma politics, I will comment on the other day πŸ’
 
concerning tunduma politics, I will comment on the other day πŸ’
Siasa za tunduma mi nazipenda sana zina mikimikiki na wakiamua jambo lao lazima litimie, tuachane na hayo malizia story basi kuna page naisubiria nicheke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahiyo unajibizana nao?? Hebu endeleza story km bado mi nikaoshe vyombo 🀣🀣🀣
yaan vyombo ni chafu na bado vipo mezani mpaka muda huu tangu mmemaliza kula saa7 mchana?πŸ’

that's not fair embu kaoshe vyombo umalize nakusubiria πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…