Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

Kwa uandishi huu eti huyu ndio msomi wa chuo kikuu!??

Ndio maana nasema kila siku elimu ya Tanzania iliharibiwa ili izalishe wajinga wengi na nchi ikiwa na wajinga wengi ni rahisi kwa watawala kuongoza.

Eti taycoon, senear ,mens womens

SMH!!

Upuuzi mtupu , yaani wewe kama kweli ni mbunge kweli na waziri pia basi nawasikitikia wananchi wa jimbo lako na watanzania kwa ujumla na hapa naamini kuanzia kule juu kuna perennial failure hadi bandari mkataba ukashindwa kusomwa na vilaza mwarabu akajishindia lotto!

Watu kama nyie ndio mnafanya hata tulioondoka nyumbani miaka kenda tukasitisha kurudi maana unaona matatizo ya zama zile na sasa hali ni mbaya kuliko zamani.
 
David Silinde alifanya hivyo 2010 kupitia CHADEMA na alishinda.
Huenda huyu ndiye yeye.
Vijana msiwe wepesi kujihukumu hamuwezi kufanikiwa jambo fulani.
Msiwakatishe tamaa na wengine wenye ndoto kubwa za jambo lolote.
Hatuja muhukumu ila ni jinsi alivyoelezea stori yake, yaan mtu una baja isiyo na leseni, mkuika sheria plus kile kitendo cha kumpta traffic kama jambaz 🀣🀣 kwenye movie huyu jamaa anafikiri sisi wa kuja?
 
Maisha hayaitaji userious namna iyo mkuu
 
Yule kaja chadema hata kuchana nywele hajuwi...chini kutwa kuvaa
Sandles
Anapita mitaani na gari anapiga PA ya mikutano
Sema chama kiliwapa nafasi na kuwatumia,wakati wa nyuma vijana wa chuo
Ndiyo hivyo kaonekana na wengine wakamuona zaidi

Ova
kuna hawa vijana myika na zito,
kuna Taasisi moja iko sinza mori huko dar es salaama inaitwa CGG, ilikua inahusika na masuala ya utawala bora na uongozi kwa ujumla

sasa mwalimu si unarelax tu, ukiwa una fundisha na kurekebisha Grama za badiko langu muhimu sana la confidence building kwa ambitious youthsπŸ’

mihemko sio issues sana ya kubabaika nayo, mimi, wanaonchi na hawa ambitious youths tunasonga pamoja vizuri sana bila mbambamba yoyote aiseπŸ’
 
kuna hawa vijana myika na zito,
kuna Taasisi moja iko sinza mori huko dar es salaama inaitwa CGG, ilikua inahusika na masuala ya utawala bora na uongozi kwa ujumla
A lengthy and nutty article full of lullabies.

GTFOH.
.
 
Hatuja muhukumu ila ni jinsi alivyoelezea stori yake, yaan mtu una baja isiyo na leseni, mkuika sheria plus kile kitendo cha kumpta traffic kama jambaz 🀣🀣 kwenye movie huyu jamaa anafikiri sisi wa kuja?
ndicho nilichokua nacho kukitumia kutimiza dhamira, nia na ndoto yangu ya kuwatumikia wanainchi πŸ’

sikua na namna wala nyenzo nyingine kuniwezesha kutimiza malengo na ndoto yangu πŸ’


Baja ilinisaidia sana halafu bado lipo tu home store, I don't know kama ni zima na vijana wa skuizi hatakagi vitu vigumu gumu, sijui kama kuna mtu atalitumia tena ila kusema ukweli baja lilinisaidia nikafika hapa nilipo saivi πŸ’

kwa baja nilikua vile, na kwa sasa na ndinga ya maana na nina experience, na wanainchi nyuma, itakuje unadhani πŸ’
 
Ok kila heri na kugombea ubunge

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…