Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

kwahiyo unadharau akina mh shigongo na Dr. Kasheku msukuma?

kwan huyu mchapakazi sana kwenye sekta ya maji aliingiaje mjengoni, alitoka wapi 🐒

halafu,
Let me tell you,
huko kwa hiyo chama ambayo niligombea tulikua zaidi ya wa gombeaji 10, wa2 wlikua graduates, moja alikua ni Dr, mimi nilikua nimemaliza masomo nilikua graduate in waiting....

the rest walikua walimu, ila sio graduates, makada wa chama na business mens and womens...

Na kuna very powerful taycoon moja nae alikua mgombea, he was very clear kwamba mbele za wanachama, kwamba yeye ni std7 na anataka kusaidia maendeleo ya jimbo, anaomba kura na ridhaa ya wanachama.full stop 🐒

this senear tycoon nilimuogopa kidogo 🐒
But wasio na shule wapo na wanaujasiri kabisaaaa wa kushinda Uchaguzi 🐒
Kwa uandishi huu eti huyu ndio msomi wa chuo kikuu!??

Ndio maana nasema kila siku elimu ya Tanzania iliharibiwa ili izalishe wajinga wengi na nchi ikiwa na wajinga wengi ni rahisi kwa watawala kuongoza.

Eti taycoon, senear ,mens womens

SMH!!

Upuuzi mtupu , yaani wewe kama kweli ni mbunge kweli na waziri pia basi nawasikitikia wananchi wa jimbo lako na watanzania kwa ujumla na hapa naamini kuanzia kule juu kuna perennial failure hadi bandari mkataba ukashindwa kusomwa na vilaza mwarabu akajishindia lotto!

Watu kama nyie ndio mnafanya hata tulioondoka nyumbani miaka kenda tukasitisha kurudi maana unaona matatizo ya zama zile na sasa hali ni mbaya kuliko zamani.
 
David Silinde alifanya hivyo 2010 kupitia CHADEMA na alishinda.
Huenda huyu ndiye yeye.
Vijana msiwe wepesi kujihukumu hamuwezi kufanikiwa jambo fulani.
Msiwakatishe tamaa na wengine wenye ndoto kubwa za jambo lolote.
Hatuja muhukumu ila ni jinsi alivyoelezea stori yake, yaan mtu una baja isiyo na leseni, mkuika sheria plus kile kitendo cha kumpta traffic kama jambaz 🤣🤣 kwenye movie huyu jamaa anafikiri sisi wa kuja?
 
Kwa uandishi huu eti huyu ndio msomi wa chuo kikuu!??

Ndio maana nasema kila siku elimu ya Tanzania iliharibiwa ili izalishe wajinga wengi na nchi ikiwa na wajinga wengi ni rahisi kwa watawala kuongoza.

Eti taycoon, senear ,mens womens

SMH!!

Upuuzi mtupu , yaani wewe kama kweli ni mbunge kweli na waziri pia basi nawasikitikia wananchi wa jimbo lako na watanzania kwa ujumla na hapa naamini kuanzia kule juu kuna perennial failure hadi bandari mkataba ukashindwa kusomwa na vilaza mwarabu akajishindia lotto!

Watu kama nyie ndio mnafanya hata tulioondoka nyumbani miaka kenda tukasitisha kurudi maana unaona matatizo ya zama zile na sasa hali ni mbaya kuliko zamani.
Maisha hayaitaji userious namna iyo mkuu
 
Yule kaja chadema hata kuchana nywele hajuwi...chini kutwa kuvaa
Sandles
Anapita mitaani na gari anapiga PA ya mikutano
Sema chama kiliwapa nafasi na kuwatumia,wakati wa nyuma vijana wa chuo
Ndiyo hivyo kaonekana na wengine wakamuona zaidi

Ova
kuna hawa vijana myika na zito,
kuna Taasisi moja iko sinza mori huko dar es salaama inaitwa CGG, ilikua inahusika na masuala ya utawala bora na uongozi kwa ujumla
Kwa uandishi huu eti huyu ndio msomi wa chuo kikuu!??

Ndio maana nasema kila siku elimu ya Tanzania iliharibiwa ili izalishe wajinga wengi na nchi ikiwa na wajinga wengi ni rahisi kwa watawala kuongoza.

Eti taycoon, senear ,mens womens

SMH!!

Upuuzi mtupu , yaani wewe kama kweli ni mbunge kweli na waziri pia basi nawasikitikia wananchi wa jimbo lako na watanzania kwa ujumla na hapa naamini kuanzia kule juu kuna perennial failure hadi bandari mkataba ukashindwa kusomwa na vilaza mwarabu akajishindia lotto!

Watu kama nyie ndio mnafanya hata tulioondoka nyumbani miaka kenda tukasitisha kurudi maana unaona matatizo ya zama zile na sasa hali ni mbaya kuliko zamani.

Kwa uandishi huu eti huyu ndio msomi wa chuo kikuu!??

Ndio maana nasema kila siku elimu ya Tanzania iliharibiwa ili izalishe wajinga wengi na nchi ikiwa na wajinga wengi ni rahisi kwa watawala kuongoza.

Eti taycoon, senear ,mens womens

SMH!!

Upuuzi mtupu , yaani wewe kama kweli ni mbunge kweli na waziri pia basi nawasikitikia wananchi wa jimbo lako na watanzania kwa ujumla na hapa naamini kuanzia kule juu kuna perennial failure hadi bandari mkataba ukashindwa kusomwa na vilaza mwarabu akajishindia lotto!

Watu kama nyie ndio mnafanya hata tulioondoka nyumbani miaka kenda tukasitisha kurudi maana unaona matatizo ya zama zile na sasa hali ni mbaya kuliko zamani.
sasa mwalimu si unarelax tu, ukiwa una fundisha na kurekebisha Grama za badiko langu muhimu sana la confidence building kwa ambitious youths🐒

mihemko sio issues sana ya kubabaika nayo, mimi, wanaonchi na hawa ambitious youths tunasonga pamoja vizuri sana bila mbambamba yoyote aise🐒
 
kuna hawa vijana myika na zito,
kuna Taasisi moja iko sinza mori huko dar es salaama inaitwa CGG, ilikua inahusika na masuala ya utawala bora na uongozi kwa ujumla
A lengthy and nutty article full of lullabies.

GTFOH.
sasa mwalimu si unarelax tu, ukiwa una fundisha na kurekebisha Grama za badiko langu muhimu sana la confidence building kwa ambitious youths🐒

mihemko sio issues sana ya kubabaika nayo, mimi, wanaonchi na hawa ambitious youths tunasonga pamoja vizuri sana bila mbambamba yoyote aise🐒
.
 
Hatuja muhukumu ila ni jinsi alivyoelezea stori yake, yaan mtu una baja isiyo na leseni, mkuika sheria plus kile kitendo cha kumpta traffic kama jambaz 🤣🤣 kwenye movie huyu jamaa anafikiri sisi wa kuja?
ndicho nilichokua nacho kukitumia kutimiza dhamira, nia na ndoto yangu ya kuwatumikia wanainchi 🐒

sikua na namna wala nyenzo nyingine kuniwezesha kutimiza malengo na ndoto yangu 🐒

Baja ilinisaidia sana halafu bado lipo tu home store, I don't know kama ni zima na vijana wa skuizi hatakagi vitu vigumu gumu, sijui kama kuna mtu atalitumia tena ila kusema ukweli baja lilinisaidia nikafika hapa nilipo saivi 🐒

kwa baja nilikua vile, na kwa sasa na ndinga ya maana na nina experience, na wanainchi nyuma, itakuje unadhani 🐒
 
kuna hawa vijana myika na zito,
kuna Taasisi moja iko sinza mori huko dar es salaama inaitwa CGG, ilikua inahusika na masuala ya utawala bora na uongozi kwa ujumla

sasa mwalimu si unarelax tu, ukiwa una fundisha na kurekebisha Grama za badiko langu muhimu sana la confidence building kwa ambitious youths🐒

mihemko sio issues sana ya kubabaika nayo, mimi, wanaonchi na hawa ambitious youths tunasonga pamoja vizuri sana bila mbambamba yoyote aise🐒
Ok kila heri na kugombea ubunge

Ova
 
Back
Top Bottom