Hayo matukio yanatokea sana mkuu.Hatuja muhukumu ila ni jinsi alivyoelezea stori yake, yaan mtu una baja isiyo na leseni, mkuika sheria plus kile kitendo cha kumpta traffic kama jambaz π€£π€£ kwenye movie huyu jamaa anafikiri sisi wa kuja?
Ila hapa kwa huyu MP tumepigwa aiseejitahidi bana,
uwe siriazi na kuobsave table manners tafadhali π
Unapanga kutudanganya sasa na kukwepa mishale π€£π€£π€£nasoma imotions, facial expressions, body language, rhythm na tone za hadhira kidogo zinauelekeo gani.....
but Lazima iishe kwasabb imeanza tayari π π
ππ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈKaribu sana
@Lamomy mnagaiana kimyakimya ehhBff nimeahirisha ww mchukue yule tyuuu!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ishi! Bonge la stori hili bhana, wee lisongeshe tu.nasoma imotions, facial expressions, body language, rhythm na tone za hadhira kidogo zinauelekeo gani.....
but Lazima iishe kwasabb imeanza tayari π π
Mhmm.!! Ww ni muongo sema ngoja tuone mwisho utakuwaje π€£π€£π€£kudanganya siwezi kabisaa, na nikijaribu tu, kudanganya ntashikwa maramoja hata hatua 2 sifiki.....
I'm always straight forward man π
π€£π€£π€£ Kwa raha zetu@Lamomy mnagaiana kimyakimya ehh
Na hiyo page nayo usichane ya kalumanzila πππmbona unawahi kuweka wazi sehemu za story na haijaisha π€£
πππππ Me ni mganga wa kisasa njoo nikupe miujizambona unawahi kuweka wazi sehemu za story na haijaisha π€£
actually,Hayo matukio yanatokea sana mkuu.
Kuna Dereva daladala alikuwa anaitwa Awilo alisimamishwa na traffic ubongo enzi za traffic lights 2000's Askari akataka kuchukua funguo kibabe Awilo akamshika mkono akaondoa chuma kamburuza kwenye lami parefu kamwachia.
Alisota Segerea siku kibao karudi kitaa anaanza kumnusa mkewe K akaanza kumpiga anamwabia imetumika sana alipokuwa ngome ..π€£π€£
Chizi sana yule mangi.