Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Hayo matukio yanatokea sana mkuu.Hatuja muhukumu ila ni jinsi alivyoelezea stori yake, yaan mtu una baja isiyo na leseni, mkuika sheria plus kile kitendo cha kumpta traffic kama jambaz 🤣🤣 kwenye movie huyu jamaa anafikiri sisi wa kuja?
Kuna Dereva daladala alikuwa anaitwa Awilo alisimamishwa na traffic ubongo enzi za traffic lights 2000's Askari akataka kuchukua funguo kibabe Awilo akamshika mkono akaondoa chuma kamburuza kwenye lami parefu kamwachia.
Alisota Segerea siku kibao karudi kitaa anaanza kumnusa mkewe K akaanza kumpiga anamwabia imetumika sana alipokuwa ngome ..🤣🤣
Chizi sana yule mangi.