Nani mwenye uhakika Mtume au Yesu waliwahi kuishi hapa duniani?
Tusichoshane.
Muanzilishi wa serikali ya kidini au iliyokuwa na uhusiona na mbinguni alikuwa Mtume Muhammad (S.A.W)na hiyo serikali ilihasisiwa kwenye mji wa Madina ambapo aliishi na baadhi ya wayahudi lakini hakuwalazimisha kuingia kwenye Uisilamu ila walikubaliana katika swala la ulinzi endapo atavamiwa na madui,na hata Irani kuna baadhi ya watu wa madhehebu tofauti umeshawahi kusikia wanalazimishwa?Nimeuandika hapo, ngoja nirudie.
Kwa mfano katika Uislanu Quran inasema dini si kitu cha kulazimishana. There is no compulsion in religion.
"There is no compulsion in religion" (Arabic: لَا إِكْرَاهَ فِي الدِّينِ) is a fundamental Quranic principle (Surah Al-Baqarah 2:256) stating that no one should be forced to accept Islam, as true faith must be chosen freely. It emphasizes that the path of guidance is distinct from error, making coercion unnecessary and contrary to the spirit of the faith. "
Hapo hapo, sheria za kidini zinalazimisha watu wasiotaka kufuata sheria za kidini wafuate sheria za kidini.
Huoni ujinga na contradiction hapo?
Quran inasema dini haitakiwi kulazimishwa, ni suala la mtu kuamua mwenyewe.
Halafu mnaweka nchi yenye sheria ya kidini inawalazimisha watu kufuata dini mpaka kwenye mavazi.
Huoni ujinga hapo?
Wamefadhili ugaidi gani na wapi?Mungu ndiyo aliwaambia wafanye sponsorship ya terrorism? Acha kuingiza Mungu mambo kama haya
Hivi wapi na lini inchi ya Kiisilamu iliyowahi kuuwa watu kwa ajili ya kukataa au kuwalazimisha watu waingie kwenye Uisilamu? Lakini najua Roma imeshawahi kufanya hivyoNchi ni dude kubwa haliwezi kuwa la dini moja, kila mtu anayo haki ya kuamua njia anayotaka kwenda, huwezi kuuwa watu kwa imani yako.
Wale siyo magaidi bali wanabatizwa jina la ugaidi sababu hawataki kutawaliwa na Mmarekani pamoja na IsraeliDini ndo iliwaambia Waimbe Death to israel na USA? Dini ndo iliwaambia wafadhili magaidi wa HAMAS,HEZBOLAR na HOUTH?
Hao sio magaidi ni vikundi vya kijeshi. Hata Israel ilizaliwa kwa kutumia vikundi vya kijeshi kuua wapalestina na kuwafukuza hapo Jerusalem!!Dini ndo iliwaambia Waimbe Death to israel na USA? Dini ndo iliwaambia wafadhili magaidi wa HAMAS,HEZBOLAR na HOUTH?
Mangi kimambi naye anasimama na watu wengine katika kuushutumu utawala wa Kiisilamu wa Irani kusema ni mgumu afadhali ule wa Saudia arabia na baadhi ya inchi zingine za Kiisilamu
Nimeona ngoja niwajibu watu wote waujue Uisilamu wa kweli,Ukisoma historia ya kweli kabisa ya Uisilamu alioishi nao Mtume Muhammad (S.A.W) ndiyo haya maisha halisi wanayoishi wairani,inamaana hakuna kitu kipya walichoingiza kila wanachokifanya ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kwenda kwa Mtume wake Muhammad(S.A.W)na wao wanayafwata na haya yanayotokea leo yalishatokea miaka 1400 huko kabla
Saudia Arabia
Kuna Waisilamu lakini kama inchi haina sifa ya kuitwa inchi ya Kiisilamu sababu tayali imeshajitoa katika misingi ya kiisilamu,wameungana na Waisrael pamoja na inchi za Magharibi wamejikuta wao wanafwata tamaduni zao wakati Mungu anatukataza Waisilamu kukaa mbali na watu kama hao
Mfano leo hizo inchi zinazojiita za kiisilamu zimewakalibisha wazungu zimejikuta zinauza pombe,kuna clabu za malaya nazani hata nyama za nguruwe zinauzwa watu wanatembea uchi kama Dubai na viongozi wao wanaishi maishi ya anasa,
Katika Uisilamu hivyo vitu vimepigwa marufuku sasa mnamshutumu Irani anayefwata sunna ya Mtume Muhammad(S.A.W) na maisha aliyoisha swahaba immamu Ali bin twalibu au manataka muendeleza wa maisha ya makafiri wa Makka kina Muwaiya kabla
Hii comment ni ya leo ama wiki2 nyuma??Kama wairan wenyewe ndani ya Iran wanashangalia viongozi wa juu kuuwawa jiulize sana kama ni kweli Kuna dini inafuatwa huko Iran au ni maslahi binafsi tu ya watu ndani ya kivuli Cha dini. Haina tofauti na ccm wanaosisitiza "uzalendo" wakati wengi wao ni wezi wakubwa.
Fikiria Tena ni kwanini mataifa mengi yanayomzunguka Iran wameruhusu marekani aweke kambi za kijeshi.
Mtume alikuwa hatweet,alikuwa anapanda farasi, kwanini hao kiongozi wanafanya vitu ambavyo mtume hajafanya?Mangi kimambi naye anasimama na watu wengine katika kuushutumu utawala wa Kiisilamu wa Irani kusema ni mgumu afadhali ule wa Saudia arabia na baadhi ya inchi zingine za Kiisilamu
Nimeona ngoja niwajibu watu wote waujue Uisilamu wa kweli,Ukisoma historia ya kweli kabisa ya Uisilamu alioishi nao Mtume Muhammad (S.A.W) ndiyo haya maisha halisi wanayoishi wairani,inamaana hakuna kitu kipya walichoingiza kila wanachokifanya ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kwenda kwa Mtume wake Muhammad(S.A.W)na wao wanayafwata na haya yanayotokea leo yalishatokea miaka 1400 huko kabla
Saudia Arabia
Kuna Waisilamu lakini kama inchi haina sifa ya kuitwa inchi ya Kiisilamu sababu tayali imeshajitoa katika misingi ya kiisilamu,wameungana na Waisrael pamoja na inchi za Magharibi wamejikuta wao wanafwata tamaduni zao wakati Mungu anatukataza Waisilamu kukaa mbali na watu kama hao
Mfano leo hizo inchi zinazojiita za kiisilamu zimewakalibisha wazungu zimejikuta zinauza pombe,kuna clabu za malaya nazani hata nyama za nguruwe zinauzwa watu wanatembea uchi kama Dubai na viongozi wao wanaishi maishi ya anasa,
Katika Uisilamu hivyo vitu vimepigwa marufuku sasa mnamshutumu Irani anayefwata sunna ya Mtume Muhammad(S.A.W) na maisha aliyoisha swahaba immamu Ali bin twalibu au manataka muendeleza wa maisha ya makafiri wa Makka kina Muwaiya kabla hawajakubali kusilimu kinguvu
Wairani sio Waislam ni Mashia na Mashia sio Waislam, period.Mangi kimambi naye anasimama na watu wengine katika kuushutumu utawala wa Kiisilamu wa Irani kusema ni mgumu afadhali ule wa Saudia arabia na baadhi ya inchi zingine za Kiisilamu
Nimeona ngoja niwajibu watu wote waujue Uisilamu wa kweli,Ukisoma historia ya kweli kabisa ya Uisilamu alioishi nao Mtume Muhammad (S.A.W) ndiyo haya maisha halisi wanayoishi wairani,inamaana hakuna kitu kipya walichoingiza kila wanachokifanya ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kwenda kwa Mtume wake Muhammad(S.A.W)na wao wanayafwata na haya yanayotokea leo yalishatokea miaka 1400 huko kabla
Saudia Arabia
Kuna Waisilamu lakini kama inchi haina sifa ya kuitwa inchi ya Kiisilamu sababu tayali imeshajitoa katika misingi ya kiisilamu,wameungana na Waisrael pamoja na inchi za Magharibi wamejikuta wao wanafwata tamaduni zao wakati Mungu anatukataza Waisilamu kukaa mbali na watu kama hao
Mfano leo hizo inchi zinazojiita za kiisilamu zimewakalibisha wazungu zimejikuta zinauza pombe,kuna clabu za malaya nazani hata nyama za nguruwe zinauzwa watu wanatembea uchi kama Dubai na viongozi wao wanaishi maishi ya anasa,
Katika Uisilamu hivyo vitu vimepigwa marufuku sasa mnamshutumu Irani anayefwata sunna ya Mtume Muhammad(S.A.W) na maisha aliyoisha swahaba immamu Ali bin twalibu au manataka muendeleza wa maisha ya makafiri wa Makka kina Muwaiya kabla hawajakubali kusilimu kinguvu
Dini ina ujinga mwingi wa kuji contradict.Muanzilishi wa serikali ya kidini au iliyokuwa na uhusiona na mbinguni alikuwa Mtume Muhammad (S.A.W)na hiyo serikali ilihasisiwa kwenye mji wa Madina ambapo aliishi na baadhi ya wayahudi lakini hakuwalazimisha kuingia kwenye Uisilamu ila walikubaliana katika swala la ulinzi endapo atavamiwa na madui,na hata Irani kuna baadhi ya watu wa madhehebu tofauti umeshawahi kusikia wanalazimishwa?
Lakini Israeli imepitisha sheria ya mtu yoyote yule atakayeabudu kwa jina la Yesu kwenda gerezani,umeshawahi kusikia Uisilamu umefanya hivyo
😂😂😂😂Nani mwenye uhakika Mtume au Yesu waliwahi kuishi hapa duniani?
Tusichoshane.
Yaani Saudia Arabia isiwe nchi ya Kiislamu halafu Iran ndio iwe ya Kiislamu kweli? 🤔Saudia Arabia
Kuna Waisilamu lakini kama inchi haina sifa ya kuitwa inchi ya Kiisilamu sababu tayali imeshajitoa katika misingi ya kiisilamu,wameungana na Waisrael pamoja na inchi za Magharibi wamejikuta wao wanafwata tamaduni zao wakati Mungu anatukataza Waisilamu kukaa mbali na watu kama hao
Hujaelewa kabisa Saudia arabia siyo inchi ya kiisilamu ila imebaki na kumbukumbu za Kiisilamu kama Makka na Madina na ni sehemu inayofanyiwa hija kabla hata Mtume Muhammad (S.A.W)hajazaliwaYaani Saudia Arabia isiwe nchi ya Kiislamu halafu Iran ndio iwe ya Kiislamu kweli? 🤔
Au mimi ndo sijakuelewa?
Pole sana tatizo huna elimu ya dini,hivi ungependa mama,dada,shangazi zako na wengine watembee na vichupu uchi kama wanavyofanya wazungu? Ndiyo uhuru mnaoutaka?hujisikii fahari kuyaona mavazi ya Kiisilamu yanavyomuheshimisha mwanamke?Dini ina ujinga mwingi wa kuji contradict.
Ndiyo maana hapo hapo unaambiwa dini hailazimishwi, halafu hapo hapo unalazimishwa kuifuata.
Iran watu wanalazimishwa mpaka kuvaa hijab, what are you talking about?
Pole sana ndugu yangu inaonekana umeingia kwenye dini bila kusoma na Uisilamu inabidi Usome kwelikweli usiingie kichwakichwa,Wairani sio Waislam ni Mashia na Mashia sio Waislam, period.
Kama vitu gani wanavyofanya ambavyo mtume hakufanya?Mtume alikuwa hatweet,alikuwa anapanda farasi, kwanini hao kiongozi wanafanya vitu ambavyo mtume hajafanya?
Kwa hiyo Iran ndio nchi ya Kiislamu au sio?Hujaelewa kabisa Saudia arabia siyo inchi ya kiisilamu ila imebaki na kumbukumbu za Kiisilamu kama Makka na Madina na ni sehemu inayofanyiwa hija kabla hata Mtume Muhammad (S.A.W)hajazaliwa
Sasa kwa kuwakaribisha makafiri mafano wamarekani wakauza pombe,kuwepo madanguro,kamali na mambo chungu nzima wameiondoa hadhi ya Sifa ya Uisilamu imebaki kuwa inchi ya waisilamu wengi,sawa na kusema watu wakiacha kwenda kuswali msikitini,pakageuka msikitini sehemu ya kuuza pombe hapataitwa msikitini tena bali bar