Kwa mara ya kwanza natofautiana na Mange Kimambi juu ya msimamo wa Iran

Kwa mara ya kwanza natofautiana na Mange Kimambi juu ya msimamo wa Iran

Pole sana ndugu yangu inaonekana umeingia kwenye dini bila kusoma na Uisilamu inabidi Usome kwelikweli usiingie kichwakichwa,
kwa hiyo unataka Uisilamu wa Saudia wanakouza pombe,kamari na madanguro kama Dubai?
Huko panapouzwa pombe na kamari ndio palipoanzia hiyo dini hata kaburi la muanzilishi wa hiyo dini lipo huko, Wairani wana tamaduni zao ila sio Waislamu, Mashia sio Waislamu
 
Pole sana tatizo huna elimu ya dini,hivi ungependa mama,dada,shangazi zako na wengine watembee na vichupu uchi kama wanavyofanya wazungu? Ndiyo uhuru mnaoutaka?hujisikii fahari kuyaona mavazi ya Kiisilamu yanavyomuheshimisha mwanamke?
Suala si mimi ninachotaka.

Niondoe mimi. Tuongelee hoja.

Suala ni contradiction ya dini kusema hailazimishi dini halafu nchi ikawa na sheria za kidini kulazimisha mavazi.

Sasa unataka kukazinisha mavazi ya Kiislamu unayoona yanamuheshimisha mwanamke kwa ntu ambaye anaona mavazi hayo si kumuheshinisha mwanamke, ni kumfanya mwanamke mtumwa?

Ushawahi kujiuliza kwa nini anafunikwa mwanamke na si mwanamme?

Kama hijab ni kumuheshimisha mtu, Kwa nini mwanamme haheshimishwi?

Halafu suala la msingi.

Dini inalazimishwa au hailazimishwi?

Quran inasema hailazimishwi.

Kama hailazinishwi, kwa nini kuwe na serikali ya kidini inayolazimisha watu jinsi ya kuvaa?
 
Sasa hijab si vazi la kike wewe unaweza kuvaa vazi la kike?

Hoja ninkwamba hijab ibamuheshinisha mtu.

Kama hilo ni kweli.

Kwa nini mwanamke afunikwe na kuheshinishwa na mwanamme asiheshimishwe?

Wewe unasema hijab ni vazi la kike.

Ushawahi kujiuliza kwa nini hijab ni vazi la mwanamke na si la mwanamme?

Nenda level moja deeper kuliko kukubali tu kuwa dunia iko hivi, jiulize kwa nini iko hivi.
 
Huyo mange ni mange kimavi tu , aka mkaa uchi domo chafu angesimama kwenye siasa TU ingetosha LAKINI kwenye dini na kuivamia nchi nyingine siungi mkono. Kama tunapinga kuivamia ukrein utaungaje mkono kuivamia Irani.
Pili suala la dini libaki Kwa wahusika wenyewe Irani viongozi wao wanaishi maisha ya kawaida kama wananchi wao hakuna kujilimbikizia mali. Kama ni shida ni za wote .
Wapo wazungu na wayahudi wanapinga vita hii LAKINI sisi waswahili kutwa kushobokea mara gaidi mara dikteta .harafu mnaleta ushabiki wadini kana kwamba hizo dini zimeleta maendeleo Kwa bara la Africa zaidi TU ya umasikini na kupeana matumaini ya kufikirika. Sisi tungesimama katika kweli na haki

Kuuondoa utawala wa kishetani wa Ayatollah ni sahihi kabisa, ila kuwaua wananchi wa kawaida wa Iran ni kosa kubwa. Ayatollah ameua maelfu ya Wairan wasio na hatia. Kamakuwaua wananchi wa Iran ni halali, kwa nini kumwua yeye Ayatollah iweni hatia. Kwa matendo ya mauaji ya Wairan aliyokuwa akiyafanya Ayatollah, kama ni maagizo ya mungu wake, basi huyo mungu wake atakuwa ni shetani, siyo Mungu Mkuu, Mungu wa upendo, Mungu wa msamaha.
Utawala wa Iran umejaa ufisadi mkubwa, na wanaofanya hivyo ni watawala, je,huyo mungu wa Ayatollah anabariki ufisadi?
 
Dah hii hatari kweli🤣🤣🤣
Kesho uje uniulize kwa nini sketi ni vazi la mwanamke na sio mwanaume
Dini ni jambo la kulazimisha na kumshurutisha mtu afuate au si jambo la kulazimisha wala kushurutisha, ni jambo la hiyari ya mtu kuchagua?
 
Pole sana ndugu yangu inaonekana umeingia kwenye dini bila kusoma na Uisilamu inabidi Usome kwelikweli usiingie kichwakichwa,
kwa hiyo unataka Uisilamu wa Saudia wanakouza pombe,kamari na madanguro kama Dubai?
We mtoto mwehu

Fildausi Kuna bikira 72 na mito ya pombe hivi huko dubai na peponi wapi Danguloni.!

Kobazi mna laana sana wapuuzi
 
Katika ulimwengu huo huo wa Waislamu, kuna wanazuoni wengi tu wanaoukosoa mfumo wa Iran.

Unalitambua hili?
 
Hiyari yake
Sasa kama hiyari yake kwa nini kuwe na nchi inayoendeshwa kidini?

Kwa nini kuwe na sheria za kulazimisha mambo kidini?

Kwa nini watu wasiachiwe waishi bila kushurutishwa kuishi kwa sheria za kidini, na makosa yao ya kidini wajuane wenyewe na Mungu kama yupo at all?

Kwa nini watu wanalazinishwa mpaka kuvaa kwa mtazamo wa dini fulani, dini ambayo pengine hata hawaiamini?
 
Hivi wapi na lini inchi ya Kiisilamu iliyowahi kuuwa watu kwa ajili ya kukataa au kuwalazimisha watu waingie kwenye Uisilamu? Lakini najua Roma imeshawahi kufanya hivyo
Kwa nini wanalazimisha wanawake kuvaa ushungi??
 
Mange si alishitaki kuwa waliouwawa mo29 ni wakristo 2 eti trampo aingilie kati. Dunia inawenyewe sisi ni wasindikizaji TU. Juzi kati mkristo Maduro kadakwa ,Leo muislam ayatollah kauwawa kesho Kim kafiri yatamkuta..
 
Kwa nini wanalazimisha wanawake kuvaa ushungi??
Siyo wao hiyo ni sheria ya Mwenyezi Mungu ambayo aliishusha yeye mwenyewe kumwambia Mtume Muhammad(S.A.W)waambie kila mwanamke ajistiri kichwa chake avae ushungi
 
Suala si mimi ninachotaka.

Niondoe mimi. Tuongelee hoja.

Suala ni contradiction ya dini kusema hailazimishi dini halafu nchi ikawa na sheria za kidini kulazimisha mavazi.

Sasa unataka kukazinisha mavazi ya Kiislamu unayoona yanamuheshimisha mwanamke kwa ntu ambaye anaona mavazi hayo si kumuheshinisha mwanamke, ni kumfanya mwanamke mtumwa?

Ushawahi kujiuliza kwa nini anafunikwa mwanamke na si mwanamme?

Kama hijab ni kumuheshimisha mtu, Kwa nini mwanamme haheshimishwi?

Halafu suala la msingi.

Dini inalazimishwa au hailazimishwi?

Quran inasema hailazimishwi.

Kama hailazinishwi, kwa nini kuwe na serikali ya kidini inayolazimisha watu jinsi ya kuvaa?
Tofautisha unapokuwa katika inchi ya kidini hawatakulazimisha kuswali ila utalazimishwa uvae mavazi ya kujistiri,chukulia mfano unaweza kwenda beach na mama yako hata kama kavaa vitenge halafu mkawa mnaona wanawake wengine wamevaa vichupi hivi mtatizamana vipi na mama yako au mwanao?
 
Back
Top Bottom