Kwa mara ya kwanza natofautiana na Mange Kimambi juu ya msimamo wa Iran

Kwa mara ya kwanza natofautiana na Mange Kimambi juu ya msimamo wa Iran

Mangi kimambi naye anasimama na watu wengine katika kuushutumu utawala wa Kiisilamu wa Irani kusema ni mgumu afadhali ule wa Saudia arabia na baadhi ya inchi zingine za Kiisilamu

Nimeona ngoja niwajibu watu wote waujue Uisilamu wa kweli,Ukisoma historia ya kweli kabisa ya Uisilamu alioishi nao Mtume Muhammad (S.A.W) ndiyo haya maisha halisi wanayoishi wairani,inamaana hakuna kitu kipya walichoingiza kila wanachokifanya ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kwenda kwa Mtume wake Muhammad(S.A.W)na wao wanayafwata na haya yanayotokea leo yalishatokea miaka 1400 huko kabla
Saudia Arabia

Kuna Waisilamu lakini kama inchi haina sifa ya kuitwa inchi ya Kiisilamu sababu tayali imeshajitoa katika misingi ya kiisilamu,wameungana na Waisrael pamoja na inchi za Magharibi wamejikuta wao wanafwata tamaduni zao wakati Mungu anatukataza Waisilamu kukaa mbali na watu kama hao

Mfano leo hizo inchi zinazojiita za kiisilamu zimewakalibisha wazungu zimejikuta zinauza pombe,kuna clabu za malaya nazani hata nyama za nguruwe zinauzwa watu wanatembea uchi kama Dubai na viongozi wao wanaishi maishi ya anasa,

Katika Uisilamu hivyo vitu vimepigwa marufuku sasa mnamshutumu Irani anayefwata sunna ya Mtume Muhammad(S.A.W) na maisha aliyoisha swahaba immamu Ali bin twalibu au manataka muendeleza wa maisha ya makafiri wa Makka kina Muwaiya kabla hawajakubali kusilimu kinguvu
Dini ni njia kuu ya kutawala watu kifikra wawe mazuzu washindwe kuhoji.
 
Nyie ndio mnazungumzwa hapa. Ukitaka uelewe vizuri maisha ya Iran kaishi Iran kwanza au tafuta rafiki Mwiran.

Screenshot_20260313_161722_LinkedIn.jpg
 
Kama wao ni waislamu utasemaje hawakubali?

Hao wairan achana nao
Unawezaje kuzema nchi nzima ni Waislamu?

Uislamu ni nini?

Unapozema "Huyu ni Muislamu" maana yake nini?

Kwa nini Wairan niachane nao?

Kama Quran inasema dini hailazimishwi, ni kitu cha hiyari mtu anaamua mwenyewe, kwa nini ziwepo sheria za kidini za kumlazimisha mtu kufanya mambo ya dini?
 
Sijasema kuwa nchi nzima ni waislamu ila kwa kawaida watu wasio waislam huwa hawalazimishwi kufuata sheria za dini ya Kiislamu katika nchi zenye sharia'

Ni kitendo cha kujisalimisha kwa Allah kwa kufuata maamrisho na makatazo yake

Kwa sababu nchi yao haifuati utaratibu wa kiislam
Hawalazimishwi kufuata sheria za Kiislamu wakati hapo Zanzibar tu hata si nchi inayofuata sharia watu wanalazimishwa wasile kwa uhuru mfungo wa Ramadhani?

Huelewi wapi nakwambia katika Uislamu dhana nzima ya kuwa na sheria za kidini, kwa mtu yeyote, hata huyo unayemsema Muislamu, ni ujinga kwa sababu dini hailazimishwi kisheria ni kitu cha mtu kukubali mwenyewe.

Kwa sababu hata huyo unayemsema Muislamu kuna siku anaweza kuamua kuacha kuwa Muislamu.

Sasa utamnyima uhuru huo wakati Quran inasema dini ni suala la hiyari, si suala la kulazimishana?

Huelewi wapi hapo?
 
Hawalazimishwi kufuata sheria za Kiislamu wakati hapo Zanzibar tu hata si nchi inayofuata sharia watu wanalazimishwa wasile kwa uhuei mfungo wa Ramadhani.
Sasa hayo mambo yao binafsi wala sio mafundisho ya Uislamu
Huelewi wapi nakwambia dhana nzima ya kuwa na sheria za kidini, kwa ntu yeyote, hata huyo unayemsema Muislamu, ni ujinga kwa sababu dini hailazimishwi kisheria ni kitu cha mtu kukubali mwenyewe.

Kwa sababu hata huyo unayemsema Muislamu kuna siku anaweza kuamua kuacha juwa Muislamu.

Sasa utamnyima uhuru huo wakati Quran inasema dini ni suala la hiyari, si suala la kulazimishana?

Huelewi wapi hapo?
Kwani nani amelazimishwa kuwa muislam?
 
Sasa hayo mambo yao binafsi wala sio mafundisho ya Uislamu

Kwani nani amelazimishwa kuwa muislam?
Sijasema kuna mtu kalazimishwa kuwa Muislamu.

Nasema hivi.

1. Quran inasema dini ni suala la mtu binafsi kuamua, si suala la kulazimishwa.
2. Jambo la mtu kuamua mwenyewe, jambo ambalo si la kulazimishwa, halitungiwi sheria. Mtu anaachwa aamue.
3. Kuna nchi zinaweka sheria kwenye mambo ya kidini.
4. Kuweka sheria kwenye mambo ya kidini, mambo ambayo mtu anatakiwa aamue mwenyewe bila sharti, ni kuvunja kanuni ya Quran kwamba dini ni suala la mtu binafsi kuamua, si suala la kulazimisha.
5. Hivyo, sehemu yoyote ambayo pamewekwa sheria ya kidini kuifuata, ni sehemu ambayo imekiuka kanuni ya Quran ya kuacha mambo ya dini watu waamue wenyewe bila kulazimishwa.
 
Uislam umetoka Makkah na Madina na hiyo historia itabaki hivyo milele, waIrani sio Waislam na Mashia sio Waislam
Usikaze fuvu la kichwa kama hujui historia ya Uisilamu,unajua kama wewe ni mtu wa kuswali msikitini na kuondoka bila kujua historia ya dini yako
 
Labda uniambie wewe unamlazimishaje

Sharia law in the Middle East governs aspects of daily life, family, and criminal justice based on Islamic texts, varying significantly by country. Key examples include strict criminal penalties (hudud), specific inheritance laws, required modesty in dress, prohibition of alcohol, and regulating personal status issues like marriage and divorce.
Council on Foreign Relations
Council on Foreign Relations
+4

Key Examples of Sharia Law Application:

Criminal Penalties (Hudud): Some countries with strict interpretations, such as Saudi Arabia, may apply penalties like public flogging or amputation for theft.

Personal Status Law: Marriage, divorce, and inheritance are often governed by Sharia. For example, a man may marry up to four wives, while women may inherit half as much as men.
Public Behavior and Modesty: Strict rules often apply to public conduct, such as in Saudi Arabia where public religious police once enforced prayer times and modest dress, and the UAE where public displays of affection are restricted.

Social & Religious Restrictions: During Ramadan, eating, drinking, or smoking in public is prohibited in several countries, including for non-Muslims.

Banking and Finance: Islamic banking principles, which prohibit charging interest (riba), are enforced in many countries, influencing the banking sector in countries like Kuwait and Saudi Arabia.

Legal Systems: In Saudi Arabia, the entire legal system is based on an uncodified interpretation of Sharia. In Iran, the legal system is strictly aligned with the Ja'fari school of Shia law.
Council on Foreign Relations
Council on Foreign Relations
+6

Note: Sharia application varies widely, with nations like Saudi Arabia being very strict (Hanbali school), while others, like Turkey, are secular.
 
Anayelazimishwa nani na analazimishwa kufanya nini?
Yeyote anayelazinishwa kufanya chochote kwa msingi wa dini katika Uislamu ni contradiction.

Mfano, ukimlazimisha mtu asinywe pombe, kisheria, kwa sababu ya dini, ni ujinga.

Kwa sababu Quran inesema dini ni suala la hiyari, si la kukazinishwa.

Ukilazimisha benki zisitoze riba, kisheria, kwa sababu ya dini, ni ujinga.

Kaa sababu suala la dini ni suala la hiyari, si la kulazimishana.
 
Ninachojua mimi masuala ya dini uhukumiwa waislamu tu na wasio waislam uhukumiwa kwenye masuala kama vile wizi,mauaji n.k
 
Wanakatazwa kunywa pombe?
 
Wanakatazwa kunywa pombe?
Hujaelewa hoja.

Kuwa na sheria yoyote ya kidini, kwenye Uislamu, ni ujinga.

Kwa sababu Quran yenyewe imesema dini si suala la kulazimishana, ni suala la kufanya kwa hiyari.

Suala la jiyari halihitaji shwria.

Maana yake hapo sheria ya kidini haihitajiki, kwa jambo lolote, kwa mtu yeyote.

Huelewi wapi?
 
Ninachojua mimi masuala ya dini uhukumiwa waislamu tu na wasio waislam uhukumiwa kwenye masuala kama vile wizi,mauaji n.k
Sheria haihitajiki hata kwa huyo inayemuita Muislamu.

Muislamu wa kweli atafanya anachotakiwa kufanya bila sheria, na asiyefanya si Muislamu wa kweli. Atajuana yeye na Mungu kama Mungu yupo.

Sasa hapo sheria ya nini?

Kwa sababu dini hailazimishwi, ni jambo la hiyari.

Mbona wewe ngumu wa kuelewa hivi?
 
Sasa hapo wanacholazimishwa nini ungevitaja sasa
Chochote kile ambacho kitawekwa kwenye sheria ya kidini, Kiislamu, kinapingana na msingi wa Quran kwamba dini hailazimishwi.

Kwa sababu sheria maana yake ni kulazimisha kitu.

Huelewi wapi?
 
Kwani wanalazimishwa kufanya nini
Haijalishi wanalazinishwa kufanya nini, issue ni kwamba wanalazimishwa, chochote.

Ukikubali kuwa sheria ni kulazimisha kitu.

Ukikubali kuwa kuna sheria za kidini.

Umekubali kuwa kuna vitu vya kidini vinalazimishwa.

Wakati Quran imesema mambo ya dini ni ya hiyari, hayalazimishwi.

Huelewi wapi?
 
Na Qur’an inataka watu wahukumu kupitia yale aliyoteremsha Allah
Huyo Allah mwenyewe huwezi kuthibitisha kuwa yupo.

Hizi ni sarakasi za watu tu, mazingaombwe tu haya.

Huyo Allah huwezi kuthibitisha yupo.

Ukibisha, thibitisha yupo.
 
Back
Top Bottom