Kwa mara ya kwanza natofautiana na Mange Kimambi juu ya msimamo wa Iran

Kwa mara ya kwanza natofautiana na Mange Kimambi juu ya msimamo wa Iran

Kumbe mwanaume anatembea uchi!
Ndiyo mwanaume naye ameambiwa afunike kuanzia juu ya kitovu kwenda chini na chini ya magoti, ndiyo maana Muisilamu haruhusiwi kuvaa vikaptura vinavyoonyesha mapaja
Na vitu vingine mtumie akili tu hivi mnawaonaje wanaume wanaovaa vikaptura vimewacha mapaja yao inje?
 
Mwanamme anafunikwa hijab kwa lazima?
Huo uongo, ila mwanamme inabidi ufuge ndevu kujitofautisha na mwanamke ndiyo mapambo aliyotuumbia Mwenyezi Mungu na usinyoe nywele kwa kuchonga wala usifuge mustachi
 
Hoja ninkwamba hijab ibamuheshinisha mtu.

Kama hilo ni kweli.

Kwa nini mwanamke afunikwe na kuheshinishwa na mwanamme asiheshimishwe?

Wewe unasema hijab ni vazi la kike.

Ushawahi kujiuliza kwa nini hijab ni vazi la mwanamke na si la mwanamme?

Nenda level moja deeper kuliko kukubali tu kuwa dunia iko hivi, jiulize kwa nini iko hivi.
Uisilamu kwa kila unachokifanya ni Mwenyezi Mungu ndiye aliyeamrisha siyo binadamu
 
Huko panapouzwa pombe na kamari ndio palipoanzia hiyo dini hata kaburi la muanzilishi wa hiyo dini lipo huko, Wairani wana tamaduni zao ila sio Waislamu, Mashia sio Waislamu
Toka siku alipokufa Mtume Muhammad(S.A.W)ndipo unayoyaona ya Saudia arabia yalipoanza kujitokeza lakini wakati mtume yupo hai hayakuwepo hayo,Madina ilikuwa serikali ya Munganiko Mbingu na ndiyo ya mwisho kuwepo duniani ni historia ndefu sana ukitaka soma hiki kitabu kilichoandikwa Historia ya kweli ya Uisilaamu Isram org
 
Siyo wao hiyo ni sheria ya Mwenyezi Mungu ambayo aliishusha yeye mwenyewe kumwambia Mtume Muhammad(S.A.W)waambie kila mwanamke ajistiri kichwa chake avae ushungi
Kama mtu hataki kufuata sheria ya Mwenyenzi Mungu au haamini uwepo wa Allah kwa nini alazimishwe?!
 
Tofautisha unapokuwa katika inchi ya kidini hawatakulazimisha kuswali ila utalazimishwa uvae mavazi ya kujistiri,chukulia mfano unaweza kwenda beach na mama yako hata kama kavaa vitenge halafu mkawa mnaona wanawake wengine wamevaa vichupi hivi mtatizamana vipi na mama yako au mwanao?
Dhana nzima ya nchi ya kidini kwenye Uislamu ni ujinga.

Kwa sababu dini yenyewe imesema dini hailazimishwi.

Sasa kama dini hailazimishwi, kwa nini kuwe na nchi ya kidini?

Kwa nini kila mtu asiachwe aamue afuate masharti ya dini au asifuate?

Kama mimi sikubaliani na masharti ya dini, utanilazimishaje niyafuate wakati hata dini yenyewe inasema dini hailazimishwi?

Huoni ujinga hapo?
 
Huo uongo, ila mwanamme inabidi ufuge ndevu kujitofautisha na mwanamke ndiyo mapambo aliyotuumbia Mwenyezi Mungu na usinyoe nywele kwa kuchonga wala usifuge mustachi
Kwa nini mtu alazimishwe mambo ya dini wakati dini inasema mambo ya dini hayalazimishwi, mtu anafanya kwa hiyari yake mwenyewe?

Huoni kulazimisha mambo ya dini hapo ni kwenda kinyume na maagizo ya dini yanayotaka mambo ya dini yasilazimishwe, watu wafanye kwa hiyari yao?
 
Nakuelewa sana siku hizi baada ya mimi kuwa mwehu kwenye mambo ya dini.
 
Israel Marekani na Irani nani anayefanya ugaidi?
Hapa siyo suala la nani anafanya ugaidi. Suala hapo lazima uwe unatumia ubongo wako unaongea na nani. Wewe unaongea na Marekani na Israel. Hawa wanaeleweka kwa ukatili wao. Wewe unasimama unasema nitafutilia mbali kizazi cha kiyahudi. Ahmenadinajad amewahi kusema kuwa Unyama waliwanjiwa wayahudi Ulaya (Germany) ulikua ni myth (yaani kufikirika tu haipo). Irani wazi kabisa imeongea kwa hisia kuwa wao wana uwezo wa kufanya chochote kile na hawakuficha kuwasaidia terrorists kufanya ujangili, na kuuzia silaha waasi duniani kama wala waYemeni. Mambo mengine hata wale ambao wana taka kukusaidia wanashindwa. Angalia China na Urusi wako kimyaa kwa sababu hata wao maneno anayosema Irani hawawezi kusema.

Kama Saddam Hussein masikini. Alijidai ana nuclear kumbe mtupuuuu, siku 23 vita ikaishi akakosa nchi.

Mdomo!!!!!!!!!! Idiots
 
Mangi kimambi naye anasimama na watu wengine katika kuushutumu utawala wa Kiisilamu wa Irani kusema ni mgumu afadhali ule wa Saudia arabia na baadhi ya inchi zingine za Kiisilamu

Nimeona ngoja niwajibu watu wote waujue Uisilamu wa kweli,Ukisoma historia ya kweli kabisa ya Uisilamu alioishi nao Mtume Muhammad (S.A.W) ndiyo haya maisha halisi wanayoishi wairani,inamaana hakuna kitu kipya walichoingiza kila wanachokifanya ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kwenda kwa Mtume wake Muhammad(S.A.W)na wao wanayafwata na haya yanayotokea leo yalishatokea miaka 1400 huko kabla
Saudia Arabia

Kuna Waisilamu lakini kama inchi haina sifa ya kuitwa inchi ya Kiisilamu sababu tayali imeshajitoa katika misingi ya kiisilamu,wameungana na Waisrael pamoja na inchi za Magharibi wamejikuta wao wanafwata tamaduni zao wakati Mungu anatukataza Waisilamu kukaa mbali na watu kama hao

Mfano leo hizo inchi zinazojiita za kiisilamu zimewakalibisha wazungu zimejikuta zinauza pombe,kuna clabu za malaya nazani hata nyama za nguruwe zinauzwa watu wanatembea uchi kama Dubai na viongozi wao wanaishi maishi ya anasa,

Katika Uisilamu hivyo vitu vimepigwa marufuku sasa mnamshutumu Irani anayefwata sunna ya Mtume Muhammad(S.A.W) na maisha aliyoisha swahaba immamu Ali bin twalibu au manataka muendeleza wa maisha ya makafiri wa Makka kina Muwaiya kabla hawajakubali kusilimu kinguvu
Waislam katika nchi ya Iran ni kama asimilia 40%, Kumbuka hao sio Waarabu wana utanadunia wao wa kale na kale kama Persian culture. Hao unaowaona wanatawala kwa kivuli cha dini ni jamii tu kama BAKWATA kwa hapa bongo ipate madaraka. Kwa hiyo maelezo yako yote ni ya uongo na yamejaa ujinga na kukosa taarifa sahihi.
 
Wamefadhili ugaidi gani na wapi?
Hiyo Israel mbona ilimfadhili Al Jolani ambaye ni Mwenyekiti wa Al Qaed huko Syria kumpindua Al Assad je huko pia ni kusponsor terrorism?

Pia Israel ili support ISIS, RSF, SDF, YPG, PKK n.k je nayo inafadhili ugaidi?
Wale waasi wa Yemeni nani anawafandhili?
 
Toka siku alipokufa Mtume Muhammad(S.A.W)ndipo unayoyaona ya Saudia arabia yalipoanza kujitokeza lakini wakati mtume yupo hai hayakuwepo hayo,Madina ilikuwa serikali ya Munganiko Mbingu na ndiyo ya mwisho kuwepo duniani ni historia ndefu sana ukitaka soma hiki kitabu kilichoandikwa Historia ya kweli ya Uisilaamu Isram org
Uislam umetoka Makkah na Madina na hiyo historia itabaki hivyo milele, waIrani sio Waislam na Mashia sio Waislam
 
Mangi kimambi naye anasimama na watu wengine katika kuushutumu utawala wa Kiisilamu wa Irani kusema ni mgumu afadhali ule wa Saudia arabia na baadhi ya inchi zingine za Kiisilamu

Nimeona ngoja niwajibu watu wote waujue Uisilamu wa kweli,Ukisoma historia ya kweli kabisa ya Uisilamu alioishi nao Mtume Muhammad (S.A.W) ndiyo haya maisha halisi wanayoishi wairani,inamaana hakuna kitu kipya walichoingiza kila wanachokifanya ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kwenda kwa Mtume wake Muhammad(S.A.W)na wao wanayafwata na haya yanayotokea leo yalishatokea miaka 1400 huko kabla
Saudia Arabia

Kuna Waisilamu lakini kama inchi haina sifa ya kuitwa inchi ya Kiisilamu sababu tayali imeshajitoa katika misingi ya kiisilamu,wameungana na Waisrael pamoja na inchi za Magharibi wamejikuta wao wanafwata tamaduni zao wakati Mungu anatukataza Waisilamu kukaa mbali na watu kama hao

Mfano leo hizo inchi zinazojiita za kiisilamu zimewakalibisha wazungu zimejikuta zinauza pombe,kuna clabu za malaya nazani hata nyama za nguruwe zinauzwa watu wanatembea uchi kama Dubai na viongozi wao wanaishi maishi ya anasa,

Katika Uisilamu hivyo vitu vimepigwa marufuku sasa mnamshutumu Irani anayefwata sunna ya Mtume Muhammad(S.A.W) na maisha aliyoisha swahaba immamu Ali bin twalibu au manataka muendeleza wa maisha ya makafiri wa Makka kina Muwaiya kabla hawajakubali kusilimu kinguvu
Mange uislam haujui. Haiwezekani mwanamke wa kiislam kutembea kichwa wazi kama mkiristo
 
Wale waasi wa Yemeni nani anawafandhili?
Iran ila ni sawa tu na Israel anafadhili kurds wanaopigana na serikali ya Iran ila mbona hakuna siku wameitwa Israel ni wafadhili ugaidi?

Na seriously PKK, SDF, HTS, na Al Nussra zipo listed kama makundi ya kigaidi na CIA/MOSSAD. lakini cha ajabu huyo Rais wa Syria ni HTS/Al nussra ambao ni tawi la Al qaeda hapo Syria.

Je unaweza kukiri hapa kwamba Israel ina support ugaidi? Kama kwao ni halali basi na kwa Iran ni halali hakuna haja ya unafiki.
 
Sasa kama hiyari yake kwa nini kuwe na nchi inayoendeshwa kidini?

Kwa nini kuwe na sheria za kulazimisha mambo kidini?

Kwa nini watu wasiachiwe waishi bila kushurutishwa kuishi kwa sheria za kidini, na makosa yao ya kidini wajuane wenyewe na Mungu kama yupo at all?
Hao hawalazimishwi si wamekubali wenyewe kuwa Waislamu?
Kwa nini watu wanalazinishwa mpaka kuvaa kwa mtazamo wa dini fulani, dini ambayo pengine hata hawaiamini?
Hii ipo nchi gani?
 
Hao hawalazimishwi si wamekubali wenyewe kuwa Waislamu?

Hii ipo nchi gani?
Iran wanawake wanalazimishwa kuvaa hijab.

Hufahamu hili?

Ukishaweka sheria za kidini unewalazimisha watu wafuate mambo ya dini bila wao kukubali.

Huelewi wapi?
 
Back
Top Bottom