Kwa mara ya kwanza niliijua maana halisi ya "Mtoto wa kishua" kupitia huyu dogo. Kuna watoto wamezikuta pesa aisee!

Kwaio watu wanawasomesha watoto wao nje huko ili waje wafanye kazi Tanzania hapa hapa? Duuh kweli kupata elimu na kuelimika ni vitu viwili tofauti...
 
Kwaio watu wanawasomesha watoto wao nje huko ili waje wafanye kazi Tanzania hapa hapa? Duuh kweli kupata elimu na kuelimika ni vitu viwili tofauti...
 
Sie pangu pakavu sasaaa weee
Ila watu ndio wanatakiwa waishi hayo maisha
Sasa unakuta maskin kwa kuzaa sasa eti kila mtoto na sahani watoto wanakuja hangaika tu
 
Kwaio watu wanawasomesha watoto wao nje huko ili waje wafanye kazi Tanzania hapa hapa? Duuh kweli kupata elimu na kuelimika ni vitu viwili tofauti...

Sio kila mtu anapenda kuishi nje
 
Shortcut ni nyingi we penyeza hela tu utaona jinsi mambo yalivyo mepesi. Kwa maisha ya duniani humu mpunga ndio kitu cha kwanza cha maana. Mungu atusaidie tu nasisi watoto wetu waje kuishi kishua.
Waaaaapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sie pangu pakavu sasaaa weee
Ila watu ndio wanatakiwa waishi hayo maisha
Sasa unakuta maskin kwa kuzaa sasa eti kila mtoto na sahani watoto wanakuja hangaika tu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kila mtoto na sahani yake!
 
hatari sana, nakumbuka maisha ya boarding O level mimi porcket money yangu ilikuwa elfu 20 ila mwamba mmoja alikuwa anapewa mshahara wa baba angu porcket money yake.
 
Sio kila mtu anapenda kuishi nje
Kwamba hawa wanasoma huko lakini hawapendi kukaa huko? Nafikiri labda wanasomaga vyuo vya kata vya huko duniani..maana haieleweki usomeshwe chuo cha kulipa 12m plus kwa mwaka, halafu uje uombe kazi za milioni 2m-3m kwa mwezi
 
Huyu balabuu sijui yupo wapi kwa sasa na sheli zake za tiot
Baada kuzinguliwa na JK akapotea kabisa Mjini.
Vijana wake walisumbua sana miaka ile..Drifting za kutosha wakiwa wanatoka school...
 
Haya ya Pili toka mwisho.

Inayosema “Nikamsindikiza hadi wanaposubiria gari za Airport “

Imedhihirisha hii ni Chai. Ambayo haina Tangawizi wala Mdalasini
Nini cha ajabu hapo mkuu gari za airport ndo aelekee kwenda airport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…