Kwa mara ya kwanza niliijua maana halisi ya "Mtoto wa kishua" kupitia huyu dogo. Kuna watoto wamezikuta pesa aisee!

Shida njiani Halafu hajui
 
Shida mjuaji Halafu hajui,mi nakumbuka ilikuwa mbeya 2015 hizo shuttle kutokea Songwe mpaka Iwambi au mjini basi bei yake sh 10,000 sijajua kwa sasa imeshashuka au
 
Poketi money nilikuwa napewa nikifungua shule tu mpka nikifunga shule ila kuna wana walikuwa kila mwezi wanapewa
 
Life is not fair
 
ila hii huwa ni chai
 
Haya ya Pili toka mwisho.

Inayosema “Nikamsindikiza hadi wanaposubiria gari za Airport “

Imedhihirisha hii ni Chai. Ambayo haina Tangawizi wala Mdalasini
Kabisa mkuu, tajiri atembee kwa miguu kupanda daladala za airport????
 
Sasa mbona watu huwa wanadaka boda kuwahi ndege tena unakuta ni klm kabisa hizo gari zinakuwaga wapi??ninavyojua labda gari ya hotel ikuwahishe airport sio gari zitole airport kufuata abiria. Nilichokiona kwako wewe ni mshamba na ulikuja dar kutokea kijijini ndanindani maana sijaona ukishua wowote hapo sema unafuu wa maisha.
 
Ungekaa vibaya huyo dogo angekupakua maana mwanaume unakasirika nn dem akipewa hela. Watoto wa kishua wapona hawana mambo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…