Kwa mara ya kwanza nimehisi kuwa na umuhimu

Sasa ukotaka kupata pesa zaidi hebu kuwa muumini wa pale kidimbwi au kc alafu tunamalizia na wavuvi mzee huko ndipo watu wanapeana madili ww chomoka na 500k kila siku kale maisha kabla hazijaisha hizo 6m unakua u.eshapata mchongo wa over 120m 😂😂😂
 
Kutokana na maisha ya kukosa wazazi wa kunisomesha ili nibidi ni hustle kwanza na kuanza bachelor nikiwa na miaka 25..!!!!

Hivyo kuwa chuo sio udogo.

#YNWA
Gotcha! Lakini huyu alivyoongea si kama ana situation kama yako! Seems like ni fresher huyu! Anyways,this is JF
 
Vitu vingine ni simple sana! Me nilianza kazi as a fresher nikavuta 21M mkopo baada ya miezi 6! Inategemea na ulipoajiriwa kijana! Tena sio miaka mingi kiivo ilikuwa 2015
Mimi sio kijana bwana mdogo. Loan na grants zinaeleweka sio utuambie net payment yako ni 8M. Kwa soko gani la ajira lililopo Tanzania..?
 

Umuhimu wako haupo kwenye Pesa.
Na mzazi au MTU anayeomba umuhimu wako Kwa sababu umempa Pesa huyo ni Tapeli, sio MTU sahihi.
 
Sema nini watoto wa kiume wakati mwingine tunazingua sana, kwa nini usimtumie mzee hiyo pesa ukizingatia yeye ndiye kichwa cha familia

Watoto wetu watakuja kututendea hivyohivyo tukishazeeka. Hapo ndo ujue wanaume tumeumbwa mateso

Wasure wanazingua wakishazeeka unatuma ela wapambanie msosi siku ukikatiza home anakuvuta chemba anakuchana usimwambie mama yako Kama ulituma ile ela nilirekebishia mlango au kitu gani sijui nje ya kununua misosi inabidi uue so kwa kutoa ela ya chakula so unaingia gharama Mara mbili kwa kitu kile kile, true story!
 
amepika data vibaya au sio??
 
Ameen
 
Pengine mama ndie kichwa cha familia yao. Usimlaumu.
 
Mimi sio kijana bwana mdogo. Loan na grants zinaeleweka sio utuambie net payment yako ni 8M. Kwa soko gani la ajira lililopo Tanzania..?
Okay bwana mkubwa manake unapenda ukubwa bloo😀😀
Huyu mleta mada hajasema hiyo ni salary,labda ni mkopo au nini! Sio payment
 

I love payin' rent when the rent's due
I hope you got the diamond necklace that I sent to you
'Cause when I was low you was there for me
And never left me alone, because you cared for me
And I could see you comin' home after work late
You're in the kitchen, tryin' to fix us a hot plate

-2Pac "Dear Mama".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…