ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
New hire unakunja 8m mkuu?Milioni 8
Hongera sana, ukitulia within 5yrs utakuwa mbali sana.
Sema shida itakuwa chupi na shairi tu najua🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
New hire unakunja 8m mkuu?Milioni 8
Peoples of opportunitie you are everywhere🤣Sasa sikia mwanangu nifanyie hata das mi michongo bado imekataa
Daah sasa mkuu au basi [emoji28]Kutokana na maisha ya kukosa wazazi wa kunisomesha ili nibidi ni hustle kwanza na kuanza bachelor nikiwa na miaka 25..!!!!
Hivyo kuwa chuo sio udogo.
#YNWA
Gotcha! Lakini huyu alivyoongea si kama ana situation kama yako! Seems like ni fresher huyu! Anyways,this is JFKutokana na maisha ya kukosa wazazi wa kunisomesha ili nibidi ni hustle kwanza na kuanza bachelor nikiwa na miaka 25..!!!!
Hivyo kuwa chuo sio udogo.
#YNWA
We pambania safari ya mbinguni ya duniani tuachie wenyeweSema tu kuwa demu mwenyewe ni wewe (wala si vibaya)!! Si umemwekea na avatar ya ke aanze ku-salivate kabisa!
Mimi sio kijana bwana mdogo. Loan na grants zinaeleweka sio utuambie net payment yako ni 8M. Kwa soko gani la ajira lililopo Tanzania..?Vitu vingine ni simple sana! Me nilianza kazi as a fresher nikavuta 21M mkopo baada ya miezi 6! Inategemea na ulipoajiriwa kijana! Tena sio miaka mingi kiivo ilikuwa 2015
Baada ya kumaliza Chuo mwaka jana life ikapiga vibaya mno, kila muda nilikuwa nawaza jinsi gani nitasaidia familia yangu (Ni mtoto wa kiume mkubwa) Ilikuwa inauma sana pale ambapo unaamka asubuhi huna cha kufanya hadi kuna muda unahisi kama kifua kinabana.
Kuna muda nakaa najitafakari naona kama ni mzigo home, but hakuna aliyewahi niambia, sister kuna muda mshahara ukitoka ananitoa laki basi maisha yanaenda.
Mwanzoni mwa mwaka huu kuna mchongo nikaupata katika harakati za kushughulikia ili utiki, nikawa naingia katika mzozo sana na mzee maana mara nyingi nilikuwa narudi usiku anamind, ananisema ila kwa upande wangu inaniuma lakini nakaza ili isionekane kama imeuma (akaanza kuona kama namdharau) sasa kuna muda huna nauli kuomba siwezi so nachukua bike kutoka home hadi kwenye michakato as usual narudi usiku.
Kwenye kuhangaika hivyo mchongo ukatiki nikatumiwa mkataba nikasign nikaenda kazini, nikaona afadhali nimetoka home, mchongo unalipa fresh tu, silipi kodi wala bills kama maji, umeme na utilities zingine, na ni apartment nzuri unyama ni mwingi.
Leo account imesoma kwa newhires wote mzigo umesoma almost M 8, nikatoa M2 nimewatumia home, bi mkubwa ameshukuru mnooo, kuna ile feeling ya kuwa Now na wewe ni wa muhimu, sijawahi jisikia vizuri kama leo, ameninenea maneno ya Baraka hadi nikahisi zinajaa physically. Leo na mimi nimehisi ni wa muhimu.
Sema nini watoto wa kiume wakati mwingine tunazingua sana, kwa nini usimtumie mzee hiyo pesa ukizingatia yeye ndiye kichwa cha familia
Watoto wetu watakuja kututendea hivyohivyo tukishazeeka. Hapo ndo ujue wanaume tumeumbwa mateso
amepika data vibaya au sio??Wakati mwing
Wakati mwingine hadithi kama hizi huwa zinamriwaza mtu!! unajitungia hadithi nzuri angalau ikutie moyo huku ukiomba siku moja iwe kweli!! Ila hata kama ni hadithi, ungejaribu kuipa uhalisia kidogo!! hapo kwenye M8 bongo hii umechapia sana!! Kama ni upigaji sawa!! lakini new hire??? jaribu kutunga kwa uhalisia wakati mwingine!!
AmeenAsante Mungu wewe huna choyo. Jina lako lipewe sifa, baba bariki na wengine ambao hawana kazi wapate hata kidogo.
Baba wakumbuke wote wasio na kazi wanaangaika bila msaada , kwa wakati huu ambapo hawawezi kuhudumia wazazi baba wewe simama walinde na maradhi na majanga ya aina yeyote.
Baba hata wale walio na kazi bariki hicho kidogo wanachokipata lakini pia wakumbuke kusaidia wazazi pia wengine.
Baba na nakuomba sala hii nakuomba uipokee kwa niaba ya wote tuliosoma hapa, najua kabisa sijui kuomba ipasavyo ila pokea pokea maombi haya hivyo hivyo.
Mungu baba kubwa kuliko yote, ninakuomba utulindie wazazi waone mafanikio yetu. Amina.
Pengine mama ndie kichwa cha familia yao. Usimlaumu.Mzee kahangaika sana kutafuta pesa za kuwasomesha na kuwalisha ila mtoto akipata anaekumbukwa ni Mama, DUH!!
Pesa ilibid umtumie aliekuwa na majukumu yakuwatafutia pesa (baba), mama nae akipewa anashukuru.
Hii na wewe inaweza kukurudia ukipata watoto.
Okay bwana mkubwa manake unapenda ukubwa bloo😀😀Mimi sio kijana bwana mdogo. Loan na grants zinaeleweka sio utuambie net payment yako ni 8M. Kwa soko gani la ajira lililopo Tanzania..?
Baada ya kumaliza Chuo mwaka jana life ikapiga vibaya mno, kila muda nilikuwa nawaza jinsi gani nitasaidia familia yangu (Ni mtoto wa kiume mkubwa) Ilikuwa inauma sana pale ambapo unaamka asubuhi huna cha kufanya hadi kuna muda unahisi kama kifua kinabana.
Kuna muda nakaa najitafakari naona kama ni mzigo home, but hakuna aliyewahi niambia, sister kuna muda mshahara ukitoka ananitoa laki basi maisha yanaenda.
Mwanzoni mwa mwaka huu kuna mchongo nikaupata katika harakati za kushughulikia ili utiki, nikawa naingia katika mzozo sana na mzee maana mara nyingi nilikuwa narudi usiku anamind, ananisema ila kwa upande wangu inaniuma lakini nakaza ili isionekane kama imeuma (akaanza kuona kama namdharau) sasa kuna muda huna nauli kuomba siwezi so nachukua bike kutoka home hadi kwenye michakato as usual narudi usiku.
Kwenye kuhangaika hivyo mchongo ukatiki nikatumiwa mkataba nikasign nikaenda kazini, nikaona afadhali nimetoka home, mchongo unalipa fresh tu, silipi kodi wala bills kama maji, umeme na utilities zingine, na ni apartment nzuri unyama ni mwingi.
Leo account imesoma kwa newhires wote mzigo umesoma almost M 8, nikatoa M2 nimewatumia home, bi mkubwa ameshukuru mnooo, kuna ile feeling ya kuwa Now na wewe ni wa muhimu, sijawahi jisikia vizuri kama leo, ameninenea maneno ya Baraka hadi nikahisi zinajaa physically. Leo na mimi nimehisi ni wa muhimu.
[emoji23][emoji23]Sasa sikia mwanangu nifanyie hata das mi michongo bado imekataa