Kwa Mara ya Kwanza nimeona Mafanikio ya Serikali kwenye suala la Machinga, Hongera Serikali ya Awamu ya Sita

Wameshindwa kuwatoa machangudoa na wala shisha ambao ni wahalifu wataweza kuwatoa machinga ambao hawamwibii mtu yoyote?

Tatizo viongozi wetu huwa hawajifunzi kutokana na historia ni suala la muda tu ngoja hela ziwaishie.
Wacha ujinga mwamba!
 
Mimi Ni mgumu Sana kupongeza.Lakini kwa Hili la Wamachinga, nampongeza Sana Rais wetu Mama SAMIA.Ubarikiwe Mama yetu Rais Samia.BAAADA YA HILI LA WAMACHINGA,Naomba ufanye marekebisho kwenye baadhi ya vipengele vya Katiba ya JMuungano,e.g. Tume huru ya uchaguzi,na baadhi ya vipengele vya Muungano wenyewe.Ruhusu pia Uhuru wa kisiasa.Usikubali uchaguzi wa kusimamiwa na Wakurugenzi wa Majiji na Manispaa.Police wasipendelee chama chochote wakati wa campaigns na wakati wa uchaguzi.Nakuhakikishia ukifanya Haya na Mengine ya nyongeza, kwa kadiri utakavyoona inafaa,Mungu atakubariki,Hiyo 2025,hata upambanishwe na YEYOTE Ndani ya chama chako CCM,Lazima utaibuka mshindi.Pia nje ya chama,Hata upambanishwe na Tindu Lisu,Lazima UTASHINDAA TU,Maana Mungu na Wa-Tanzania wanataka Rais(Kiongozi)Mtenda Haki.Ubarikiwe Rais wangu Mama Samia.
 
Nchi ya kijamaa haipaswi kuweka mbele fahari za miji na kupuuza maisha ya watu

Huo ni ubepari
Umeona wapi ujamaa hapa Tz ya leo? Hata kwenye familia yenu tu hakuna ujamaa sembuse nchi?
 
Mkuu kuna mijitu mijinga mijinga humu JF, cant think beyond their noses.
JF ni kama kokoro, wamejaa watu wa kila aina kuanzia walioishia darasa la pili B shule ya msingi mpaka wenye phd, welevu na wajinga, wavumilivu na wakurupukaji, wenye exposure na wasio na exposure, wenye milengo ya kisiasa na wasiokuwa na milengo ya kisiasa n,k n.k n.k n.k. Hivyo usiwe na pressure sana humu.
 
Hatutaona aibu kukiri kuwa JPM aliwatendea mema wamachinga, na wenyewe wataendelea kumshukuru na kumkumbuka daima!

Huo muonekano unaoufurahia hauwapi shibe watu maskini watanzania
Kama wewe ni machinga ujue kuna ustaarabu wa jinsi ya kuishi mijini.
Si Tanzania tu, bali duniani pote.
Ukiwa na kiongozi mshamba ambaye hana hata kizazi kimoja kuishi mjini haya ndiyo matokeo yake.
Madhara atayaona mwishoni mwa kizazi chake, then its too late.
 

Hivi nyumbani kwako unanunua makochi kwanza halafu unawaambia watoto subirini mtakula siku nyingine laleni njaa, nyumbani lazima kupendeze kwanza

Chekelea usafi tu mkianza kubomolewa vioo vya gari sijui utamlaumu mkuu wa mkoa, Raisi, IGP ama wazazi walio wazaa..ni swala la muda tu…

Unamtoa mtu masaki alikuwa anawauzia wazungu tikiti elfu 5 unampeleka ubungo external akauze kwa buku..atakuelewa huyu mtu….

Kwahio mnatangeneza matabaka wenye visu ndio wafanye biashara masaki au?!
 
Unazidi kujionesha kwa Jinsi gani ulivyo mjinga

Mbona anaeuza tikiti ubungo havunji vioo vya gari?

Huo ushamba wenu ndo mlitaka kuigeuza hii nchi jalala! Tembeeni duniani mjifunze ustaarabu na kuishi kwa kufuata taratibu vilaza wakubwa nyie!
 
Ni kwel mkuu namponeza sana SSH but hofu yangu kunauwezekano mkubwa huko baadae hapa Dar kutatokea wimbi la Wizi kila siku watu wanaibiwa maana baadhi ya machinga wamepiteza mali zao/mitaj yao vibanda vimevunjwa wamepoteza Asset zao..
Ni sulla la muda tuh but naomba isitokee hivyo
 
Unazidi kujionesha kwa Jinsi gani ulivyo mjinga

Mbona anaeuza tikiti ubungo havunji vioo vya gari?

Huo ushamba wenu ndo mlitaka kuigeuza hii nchi jalala! Tembeeni duniani mjifunze ustaarabu na kuishi kwa kufuata taratibu vilaza wakubwa nyie!

Ushasema anaeuza ubungo…

Mimi au wewe na wenzako ndio washamba malimbukeni wa ulaya, eti exposure…Nyie ndio mnaompotosha Raisi mnaiga mambo ya ulaya kwenye third world countries sio kila kitu cha kuiga..hizo exposure zenu zitawacost..ni swala la muda tu..
 
Wapeleke hao machinga lango la Ikulu na lango la Bunge na BOT, wateja wengi pale, pesa yote inapangiwa milango hiyo.
 
Samahani umeishia darasa la ngapi?

Kwa iyo kwa akili yako anayefanya biashara masaki akipelekwa kariakoo au Ubungo anatakiwa akaibe? Nani kakufundisha Hilo jambo? Au umeshawai liona wapi?

Kwa akili yako unaaamini kufanya biashara kwa uchafu, bila kulipa kodi na kuharibu miundombinu ndo maana ya third world countries?

Samahani sana! Nadhani unastahili kuitwa wasted sperm!
 

La nne… wewe?!

Wee kula kiyoyozi tu…huku ukihesabu arobaini yako…utajua hujui km vyeti vyako havina maana
 
Huyo anayefanya masaki unadhani huko Ubungo hakukuona!? Kila mtu anafanya biashara kuendana na eneo alilopo. Si ajabu mamalishe mliowarundika pale kisutu wengi tayari mitaji imekata na wengine wamekimbia pale. Wapi uliwahi ona mamalishe wote wanakusanywa sehemu moja!? Ili wamuuzie nani!?

Hivyo vijishule vyenu vinawafanya mjione kuwa mnajua kila kitu. Upuuzi.
 
Ukiniambia bodaboda na bajaji zimepigwa marufuku kufanya kazi nitakuelewa maana ni kundi kubwa mno ambalo likiachishwa hizo kazi bila alternative basi jamii lazima itikisike. Waliokuwa vibaka, wezi, wadokozi, na hata majambazi wengi wamemezwa na kazi ya bodaboda na bajaji. Hawa wafanyabiashara ndogo ndogo (mnawaita Machinga) hawajaambiwa wasifanye kazi bali wamehamishwa tu kupelekwa maeneo muafaka kwa kazi yao sasa sijui hofu yako ni nini hapo? Au ndio yale mambo ya Fear of the unknown? MAISHA YANAENDELEA KAMA KAWA PONGEZI KWA SERIKALI YA MAMA SAMIA KWA KUTUONDOLEA UCHAFU WA MABANDA NA MOSHI WA KUNI MJINI.
 
Kumbe unaongelea nadharia na sio uhalisia?

Kwa akili yako mtu kuwa kisutu unadhani anauza kisutu tu? Kwani hawezi kupikia chakula kisutu na kukipack kwenda kuwauzia wateja wake sehemu nyingine?

Nimekwenda Ofisi nyingi hapa Tanzania nimeona mama lishe wanawauzia watumishi chakula ambacho kinapikwa mbali na ofisi zao na usafi upo maintained.

Shule niliyokwenda na exposure niliyonayo inaniwezesha kuwa na upeo mkubwa wa kufikiri kuliko kilaza wewe!
 
La nne… wewe?!

Wee kula kiyoyozi tu…huku ukihesabu arobaini yako…utajua hujui km vyeti vyako havina maana
Niko shambani nalima na kupata kipato changu huku!

Wewe endelea kuonesha ujinga wako tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…