Iko hivi mr new culture, amechangamka kidogo! Tuseme nayeye ni born town anayechipukia kwenye upande wa kampuni yake!! Ame kuwa CEO Kwa miaka kadha wa kadha! Kuna kipindi alipaswa kuachia ngazi kwa mujibu wa utaratibu wa kampuni yao but haikuwa ivyo. Aliweza kufanya umafia wake na kubaki as CEO ndani ya kampuni yake!
Wapo vijana walimchallenge mr new culture as a CEO at the end of the Day they ended up dead or fired from the company!! Kuna kijna wake mmoja alie mtrain vya kutosha na kujizolea umaarufu wa kutosha! Kijana alitamani awe CEO amtoe mr new culture, nia yake ilishia kwenye grave yard!