Kwa mara ya kwanza Sayansi inaweza kumgundu mtu mchawi

Mimi nabase hapa kwenye technology:
1. Mambo ya kidini (Kikiristo).
2. Artificial Intelligence (AI) Technology
3. Brain Computer Interface Technology (BCI)
Samahani BINTI YANGU kwa kukutukana. NISAMEHE Bure tumetapeliwa SANA. Samahani eti
 
VITU VYOTE NI ROHO HIVYO MWILI NA NAFSI NI ROHO PIA ...HATA MUNGU NI ROHO NA UFALME WAKE WOTE NI ROHO ...MAANA YAKE NINI UKISEMA UFALME WA MUNGU MAANA YAKE YOTE YALIYO YA MUNGU MAANA YAKE VITU VYOTE NI ROHO ....NENO ROHO KISAYANSI NO ENERGY
 
Ni kweli japo wengi watakaojibu watakupinga.Hata hizi CCTV zinaona mengi sema wengine hawa fatilii
 
Uzi makini sana sema walaji sasa.
Kizazi cha kupenda vitu rahisi rabisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…