Kwa mara ya kwanza Sayansi inaweza kumgundu mtu mchawi

Kwa mara ya kwanza Sayansi inaweza kumgundu mtu mchawi

wakigundua na ya kurekodi ndoto tukiwa tumelala tuletee...
Hii teknolojia tayari ipo katika majaribio wanasayansi duniani kote (hasa nchini Japani na Marekani) tayari wapo kwenye hatua za maabara kujaribu kufanya jambo hili liwezekane kwa kutumia mifumo ya AI (Artificial Intelligence) na mashine za kusoma ubongo (fMRI na EEG).

Hivi ndivyo wanavyofanya majaribio hayo sasa hivi:
Kusoma Mawimbi ya Ubongo: Mtu anapolala, mashine inasoma sehemu ya ubongo inayoshughulika na picha (visual cortex).

Kutafsiri kwa AI: AI inachukua yale mawimbi na kuyatafsiri kuwa picha zilizoungana.

Kwa sasa, picha zinazotoka zinakuwa za ukungu sana na hazieleweki vizuri, lakini teknolojia inazidi kukua kwa kasi sana.
 
Back
Top Bottom