Ndugu watanzania wenzangu, Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.
Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, CHADEMA imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mhe. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa beberu. Kwenye uchaguzi huu, naona mbengu nyingine kabisa, ambayo imepandwa kwenye udogo wa beberu, inatiliwa mbolea na beberu, na inamwagiliwa maji na beberu. Aidha, tangu Mhe. Tundu Lissu arejee kutoka ughaibuni, nyendo zake zimekuwa za jeuri jeuri, kutoatoa vitisho kwa serikali, kumbe jeuri hii ilikuwa na mkono wa beberu nyuma yake. Na hii medhihirika baada ya kusambaa kwa barua ya wale mabeberu (Amsterdam et al,). Kwa kitendo hiki, nidhahiri Mh. Tundu Lissu ni 100% kibaraka.
Kwa ninavyoona, Mhe. Tundu Lissu anajua kabisa hatashinda kwenye uchaguzi, na haitakuja kutokea kuwa raisi wa nchi hii kwa sababu ya mazingira ambayo amejitengenezea mwenyewe. Kwenye uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu, ataleta amsha amsha tu na hawezi kufikia hata nusu ya Mh. Lowasa.
Kwa msiojua, Tanzania ni moja ya nchi pendwa sana na Mungu, tuna rekodi ya kuvushwa katika changamoto nyingi sana: tulishuhudia kelele za kukamatwa kwa ndege, klele za makinikia, kelele za Korona n.k., katika yote haya Mungu alitusaidia tukavuka. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi, hakuna cha kibaraka, mtoto wake na kibaraka, beberu au mtoto wake na beberu ambaye atafanikiwa kuingia kwenye Ikulu ya Magogoni na Chamwino. Tunataka Ikulu yetu ikaliwe na raisi ambaye ataweka mbele mslahi ya taifa hili, na tutaomba kwa Mungu mchana na usiku ili jambo hili litimie. Mimi nina imani kubwa sana Mh. Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi huu, na ataongoza tena kwa miaka 5.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu