peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Watu wabiharamulo na chato nchi wanayotokea mungu ndiye anayejua.Na bado hamjanena kwa lugha, Lisu atawatoa makamasi kama yote.
Vipi asili ya jiwe unaifahamu vizuri atokako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wabiharamulo na chato nchi wanayotokea mungu ndiye anayejua.Na bado hamjanena kwa lugha, Lisu atawatoa makamasi kama yote.
Vipi asili ya jiwe unaifahamu vizuri atokako?
Tutavuka salama, Na Beberu ataaibika Kwa kichapo cha wananchi Watanzania watakavyomkataa Beberu na mtoto waoKwa msiojua, Tanzania ni moja ya nchi pendwa sana na Mungu,
Tundu lisu amewakosesha usingizi ccm mda mwingi wanamuwaza mpaka wameshindwa kufanya kazi zao, mungu amlinde Tundu lisu angalau chadema ije kuirejesha heshima ya Tanzania iliyopotezwa na ccm kimataifaEndelea kujinyea mkuu ...si mlisema akija atakamatiwa airport?? Vp alikamatwa?? Mkasema akigombea chama chake hakiwezi kumteua, vp hakuteuliwa na chama chake?? Mkasema akipitishwa na chama chake Tume haiwezi kumpitisha , vp hajateuliwa?? Bado tu mnaendelea kujifanya hamnazo?? Lissu anashinda Kama ambavyo ameshinda toka huko ...achaneni na lissu, jaribu Sasa kumpigia magoti kuomba maridhiano na lissu ..mwaka huu ccm jaribuni kuwa wapole maana mpk muda huu chadema tumechukua nchi bado tu kutangazwa ...jiandaeni kisaikolojia kwa hilo na jiwe tumemtwisha gogo tuone atajitua vp
Ushuzi mtupu.....Ndugu watanzania wenzangu,
Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.
Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, Chadema imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mh. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa beberu. Kwenye uchaguzi huu, naona mbengu nyingine kabisa, ambayo imepandwa kwenye udogo wa beberu, inatiliwa mbolea na beberu, na inamwagiliwa maji na beberu. Aidha, tangu Mh. Tundu Lissu arejee kutoka ughaibuni, nyendo zake zimekuwa za jeuri jeuri, kutoatoa vitisho kwa serikali, kumbe jeuri hii ilikuwa na mkono wa beberu nyuma yake. Na hii medhihirika baada ya kusambaa kwa barua ya wale mabeberu (Amsterdam et al,). Kwa kitendo hiki, nidhahiri Mh. Tundu Lissu ni 100% kibaraka.
Kwa ninavyoona, Mh. Tundu Lissu anajua kabisa hatashinda kwenye uchaguzi, na haitakuja kutokea kuwa raisi wa nchi hii kwa sababu ya mazingira ambayo amejitengenezea mwenyewe. Kwenye uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu, ataleta amsha amsha tu na hawezi kufikia hata nusu ya Mh. Lowasa.
Kwa msiojua, Tanzania ni moja ya nchi pendwa sana na Mungu, tuna rekodi ya kuvushwa katika changamoto nyingi sana: tulishuhudia kelele za kukamatwa kwa ndege, klele za makinikia, kelele za Korona n.k., katika yote haya Mungu alitusaidia tukavuka. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi, hakuna cha kibaraka, mtoto wake na kibaraka, beberu au mtoto wake na beberu ambaye atafanikiwa kuingia kwenye Ikulu ya Magogoni na Chamwino. Tunataka Ikulu yetu ikaliwe na raisi ambaye ataweka mbele mslahi ya taifa hili, na tutaomba kwa Mungu mchana na usiku ili jambo hili litimie. Mimi nina imani kubwa sana Mh. Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi huu, na ataongoza tena kwa miaka 5.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu
TL hawezi kuwa rais,utake usitake.Kwa taarifa yako tu ni kwamba, huyo umuitae kibaraka ni among the Top Patriots ws nchi hii. Katafute kazi aliyoifanyia Lissu nchi hii tena zile kazi zinazogusa raia moja kwa moja.
Hizo habari za kusimuliwa uwe unashirikiana na kichwa chako kuzichuja, inaelekea umeanza kumjua Lissu kupitia propaganda akiwa amelazwa ubelgiji.
Siyo kibaraka tu ni psychiatric case!Ndugu watanzania wenzangu,
Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.
Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, Chadema imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mh. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa beberu. Kwenye uchaguzi huu, naona mbengu nyingine kabisa, ambayo imepandwa kwenye udogo wa beberu, inatiliwa mbolea na beberu, na inamwagiliwa maji na beberu. Aidha, tangu Mh. Tundu Lissu arejee kutoka ughaibuni, nyendo zake zimekuwa za jeuri jeuri, kutoatoa vitisho kwa serikali, kumbe jeuri hii ilikuwa na mkono wa beberu nyuma yake. Na hii medhihirika baada ya kusambaa kwa barua ya wale mabeberu (Amsterdam et al,). Kwa kitendo hiki, nidhahiri Mh. Tundu Lissu ni 100% kibaraka.
Kwa ninavyoona, Mh. Tundu Lissu anajua kabisa hatashinda kwenye uchaguzi, na haitakuja kutokea kuwa raisi wa nchi hii kwa sababu ya mazingira ambayo amejitengenezea mwenyewe. Kwenye uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu, ataleta amsha amsha tu na hawezi kufikia hata nusu ya Mh. Lowasa.
Kwa msiojua, Tanzania ni moja ya nchi pendwa sana na Mungu, tuna rekodi ya kuvushwa katika changamoto nyingi sana: tulishuhudia kelele za kukamatwa kwa ndege, klele za makinikia, kelele za Korona n.k., katika yote haya Mungu alitusaidia tukavuka. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi, hakuna cha kibaraka, mtoto wake na kibaraka, beberu au mtoto wake na beberu ambaye atafanikiwa kuingia kwenye Ikulu ya Magogoni na Chamwino. Tunataka Ikulu yetu ikaliwe na raisi ambaye ataweka mbele mslahi ya taifa hili, na tutaomba kwa Mungu mchana na usiku ili jambo hili litimie. Mimi nina imani kubwa sana Mh. Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi huu, na ataongoza tena kwa miaka 5.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu
Kama angegombea ubunge hapo sawa ila urais!!! Yeye na wanzake wanamsindikiza Ngosha Ikulu.Endelea kujinyea mkuu ...si mlisema akija atakamatiwa airport?? Vp alikamatwa?? Mkasema akigombea chama chake hakiwezi kumteua, vp hakuteuliwa na chama chake?? Mkasema akipitishwa na chama chake Tume haiwezi kumpitisha , vp hajateuliwa?? Bado tu mnaendelea kujifanya hamnazo??
Lissu anashinda Kama ambavyo ameshinda toka huko ...achaneni na lissu, jaribu Sasa kumpigia magoti kuomba maridhiano na lissu ..mwaka huu ccm jaribuni kuwa wapole maana mpk muda huu chadema tumechukua nchi bado tu kutangazwa ...jiandaeni kisaikolojia kwa hilo na jiwe tumemtwisha gogo tuone atajitua vp
Ndugu watanzania wenzangu,
Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.
Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, Chadema imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mh. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa beberu. Kwenye uchaguzi huu, naona mbengu nyingine kabisa, ambayo imepandwa kwenye udogo wa beberu, inatiliwa mbolea na beberu, na inamwagiliwa maji na beberu. Aidha, tangu Mh. Tundu Lissu arejee kutoka ughaibuni, nyendo zake zimekuwa za jeuri jeuri, kutoatoa vitisho kwa serikali, kumbe jeuri hii ilikuwa na mkono wa beberu nyuma yake. Na hii medhihirika baada ya kusambaa kwa barua ya wale mabeberu (Amsterdam et al,). Kwa kitendo hiki, nidhahiri Mh. Tundu Lissu ni 100% kibaraka.
Kwa ninavyoona, Mh. Tundu Lissu anajua kabisa hatashinda kwenye uchaguzi, na haitakuja kutokea kuwa raisi wa nchi hii kwa sababu ya mazingira ambayo amejitengenezea mwenyewe. Kwenye uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu, ataleta amsha amsha tu na hawezi kufikia hata nusu ya Mh. Lowasa.
Kwa msiojua, Tanzania ni moja ya nchi pendwa sana na Mungu, tuna rekodi ya kuvushwa katika changamoto nyingi sana: tulishuhudia kelele za kukamatwa kwa ndege, klele za makinikia, kelele za Korona n.k., katika yote haya Mungu alitusaidia tukavuka. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi, hakuna cha kibaraka, mtoto wake na kibaraka, beberu au mtoto wake na beberu ambaye atafanikiwa kuingia kwenye Ikulu ya Magogoni na Chamwino. Tunataka Ikulu yetu ikaliwe na raisi ambaye ataweka mbele mslahi ya taifa hili, na tutaomba kwa Mungu mchana na usiku ili jambo hili litimie. Mimi nina imani kubwa sana Mh. Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi huu, na ataongoza tena kwa miaka 5.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu
Siyo kibaraka tu ni psychiatric case!
Msikilize kwa makini utagundua ana matatizo ya akili. Amejawa na hasira na akili yake imekuwa blurred na kushindwa kuuona ukweli kwa mapana na uhalisia. Kutokana na hili hana utulivu wa akili na utulivu wa "emotions".
Kuna post moja ya mtaalam wa "magonjwa ya akili" nafikiri ni mtanzania anayeshangaza Canada iliwekwa hapa jamvini yenye maelezo ya kitaalam kwa nini TL ana matatizo ya akili. Anayeweza kuifukua hiyo post afanye(kama bado haijafutwa).
Hujui muulize Lissu
Mnalialia nini? Hivi msingempiga marisasi yale angeenda kukaa Kenya au Belgium?Ndugu watanzania wenzangu,
Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.
Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, Chadema imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mh. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa beberu. Kwenye uchaguzi huu, naona mbengu nyingine kabisa, ambayo imepandwa kwenye udogo wa beberu, inatiliwa mbolea na beberu, na inamwagiliwa maji na beberu. Aidha, tangu Mh. Tundu Lissu arejee kutoka ughaibuni, nyendo zake zimekuwa za jeuri jeuri, kutoatoa vitisho kwa serikali, kumbe jeuri hii ilikuwa na mkono wa beberu nyuma yake. Na hii medhihirika baada ya kusambaa kwa barua ya wale mabeberu (Amsterdam et al,). Kwa kitendo hiki, nidhahiri Mh. Tundu Lissu ni 100% kibaraka.
Kwa ninavyoona, Mh. Tundu Lissu anajua kabisa hatashinda kwenye uchaguzi, na haitakuja kutokea kuwa raisi wa nchi hii kwa sababu ya mazingira ambayo amejitengenezea mwenyewe. Kwenye uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu, ataleta amsha amsha tu na hawezi kufikia hata nusu ya Mh. Lowasa.
Kwa msiojua, Tanzania ni moja ya nchi pendwa sana na Mungu, tuna rekodi ya kuvushwa katika changamoto nyingi sana: tulishuhudia kelele za kukamatwa kwa ndege, klele za makinikia, kelele za Korona n.k., katika yote haya Mungu alitusaidia tukavuka. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi, hakuna cha kibaraka, mtoto wake na kibaraka, beberu au mtoto wake na beberu ambaye atafanikiwa kuingia kwenye Ikulu ya Magogoni na Chamwino. Tunataka Ikulu yetu ikaliwe na raisi ambaye ataweka mbele mslahi ya taifa hili, na tutaomba kwa Mungu mchana na usiku ili jambo hili litimie. Mimi nina imani kubwa sana Mh. Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi huu, na ataongoza tena kwa miaka 5.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu
Tundu Lissu ni kibaraka kweli na wa hali ya juu kwa ukibaraka lakini hataweza kuingia Ikulu...Ndugu watanzania wenzangu,

Watanzania wa wapi? Sema wewe na danga lako!Kwa sasa watanzania wote tumeshafahamu Lissu ni kibaraka wa mabeberu.
Ni Nani alimpiga risasi?! Je pengine chadema inahusika kwa Hilo?? Kama watu wanaamua kuchoma ofisi zao wenyewe kwanini wasifanye kitendo hicho...watu wamelewa na kudondoka halafu wanasingizia wameumizwa Sana huoni kuwa huo ni uchuro? Lissu will never be the president of this country...yeye mwenyewe knows hawezi kushinda yaani hata asilimia 10 ya kura hatapata...isipokuwa Yuko hapa kwa mission maalum na ambayo nayo inafikia ukingoni...Bado ile ya kuhamasisha watu waingie mitaani na ambayo nayo itafeli kwani hakuna mtu atakayeingia mtaani baada ya matokeo kutangazwa...Mnalialia nini? Hivi msingempiga marisasi yale angeenda kukaa Kenya au Belgium?
Basi kama ni kibaraka mmemtengeneza wenyewe acha awanyoonshe mpaka mkome na jiwe lenu lirudi kwao burudi.
"Watanzania mnataka"??Ndugu watanzania wenzangu,
Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.
Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, Chadema imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mh. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa beberu. Kwenye uchaguzi huu, naona mbengu nyingine kabisa, ambayo imepandwa kwenye udogo wa beberu, inatiliwa mbolea na beberu, na inamwagiliwa maji na beberu. Aidha, tangu Mh. Tundu Lissu arejee kutoka ughaibuni, nyendo zake zimekuwa za jeuri jeuri, kutoatoa vitisho kwa serikali, kumbe jeuri hii ilikuwa na mkono wa beberu nyuma yake. Na hii medhihirika baada ya kusambaa kwa barua ya wale mabeberu (Amsterdam et al,). Kwa kitendo hiki, nidhahiri Mh. Tundu Lissu ni 100% kibaraka.
Kwa ninavyoona, Mh. Tundu Lissu anajua kabisa hatashinda kwenye uchaguzi, na haitakuja kutokea kuwa raisi wa nchi hii kwa sababu ya mazingira ambayo amejitengenezea mwenyewe. Kwenye uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu, ataleta amsha amsha tu na hawezi kufikia hata nusu ya Mh. Lowasa.
Kwa msiojua, Tanzania ni moja ya nchi pendwa sana na Mungu, tuna rekodi ya kuvushwa katika changamoto nyingi sana: tulishuhudia kelele za kukamatwa kwa ndege, klele za makinikia, kelele za Korona n.k., katika yote haya Mungu alitusaidia tukavuka. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi, hakuna cha kibaraka, mtoto wake na kibaraka, beberu au mtoto wake na beberu ambaye atafanikiwa kuingia kwenye Ikulu ya Magogoni na Chamwino. Tunataka Ikulu yetu ikaliwe na raisi ambaye ataweka mbele mslahi ya taifa hili, na tutaomba kwa Mungu mchana na usiku ili jambo hili litimie. Mimi nina imani kubwa sana Mh. Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi huu, na ataongoza tena kwa miaka 5.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu
Mbona tangu 2015 tuna kibaraka wa Kagame na haujaanzisha uzi?Ndugu watanzania wenzangu,