Uchaguzi 2020 Kwa mara ya kwanza watanzania tunashuhudia Chama cha Siasa chenye mgombea Urais 100% Kibaraka

Ndugu watanzania wenzangu,
Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.

Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, Chadema imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mh. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa beberu. Kwenye uchaguzi huu, naona mbengu nyingine kabisa, ambayo imepandwa kwenye udogo wa beberu, inatiliwa mbolea na beberu, na inamwagiliwa maji na beberu. Aidha, tangu Mh. Tundu Lissu arejee kutoka ughaibuni, nyendo zake zimekuwa za jeuri jeuri, kutoatoa vitisho kwa serikali, kumbe jeuri hii ilikuwa na mkono wa beberu nyuma yake. Na hii medhihirika baada ya kusambaa kwa barua ya wale mabeberu (Amsterdam et al,). Kwa kitendo hiki, nidhahiri Mh. Tundu Lissu ni 100% kibaraka.

Kwa ninavyoona, Mh. Tundu Lissu anajua kabisa hatashinda kwenye uchaguzi, na haitakuja kutokea kuwa raisi wa nchi hii kwa sababu ya mazingira ambayo amejitengenezea mwenyewe. Kwenye uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu, ataleta amsha amsha tu na hawezi kufikia hata nusu ya Mh. Lowasa.

Kwa msiojua, Tanzania ni moja ya nchi pendwa sana na Mungu, tuna rekodi ya kuvushwa katika changamoto nyingi sana: tulishuhudia kelele za kukamatwa kwa ndege, klele za makinikia, kelele za Korona n.k., katika yote haya Mungu alitusaidia tukavuka. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi, hakuna cha kibaraka, mtoto wake na kibaraka, beberu au mtoto wake na beberu ambaye atafanikiwa kuingia kwenye Ikulu ya Magogoni na Chamwino. Tunataka Ikulu yetu ikaliwe na raisi ambaye ataweka mbele mslahi ya taifa hili, na tutaomba kwa Mungu mchana na usiku ili jambo hili litimie. Mimi nina imani kubwa sana Mh. Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi huu, na ataongoza tena kwa miaka 5.

Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu
Asante kibaraka!! Umesomeka
 
Mabeberu ni wakina Nani? Tuanzie hapo
 
Pingamizi hili ungepeleka NEC huku umekosea njia hautafaidika.
 
Safari hii mtakufa kwa kutengeneza mada za kijinga baada ya kutoka kuvuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba na kukariri ujinga wake, swali kwako wewe mbumbumbu juha zuzu, huko Ulaya Tundu alikwenda mwenyewe? Kama siyo wewe na Bashite kwenda Dodoma kumpiga risasi Tundu lisu angekuwa kilema leo? Una imani magufuli anaenda kushinda kwa kishindo iweje anamfanyia Lisu hizo figisu figisu?
Lissu kafanyiwa Figisu gani? Toka amekuja hapa Tz tokea kwa hao mabeberu waliokuwa wanamtunza anafanya makosa tu wanamchekea. Alizusha uongo kuna njama za kumuua kwa sumu, unadhani sio kosa?
 
Ndugu watanzania wenzangu,
Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.

Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, Chadema imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mh. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa beberu. Kwenye uchaguzi huu, naona mbengu nyingine kabisa, ambayo imepandwa kwenye udogo wa beberu, inatiliwa mbolea na beberu, na inamwagiliwa maji na beberu. Aidha, tangu Mh. Tundu Lissu arejee kutoka ughaibuni, nyendo zake zimekuwa za jeuri jeuri, kutoatoa vitisho kwa serikali, kumbe jeuri hii ilikuwa na mkono wa beberu nyuma yake. Na hii medhihirika baada ya kusambaa kwa barua ya wale mabeberu (Amsterdam et al,). Kwa kitendo hiki, nidhahiri Mh. Tundu Lissu ni 100% kibaraka.

Kwa ninavyoona, Mh. Tundu Lissu anajua kabisa hatashinda kwenye uchaguzi, na haitakuja kutokea kuwa raisi wa nchi hii kwa sababu ya mazingira ambayo amejitengenezea mwenyewe. Kwenye uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu, ataleta amsha amsha tu na hawezi kufikia hata nusu ya Mh. Lowasa.

Kwa msiojua, Tanzania ni moja ya nchi pendwa sana na Mungu, tuna rekodi ya kuvushwa katika changamoto nyingi sana: tulishuhudia kelele za kukamatwa kwa ndege, klele za makinikia, kelele za Korona n.k., katika yote haya Mungu alitusaidia tukavuka. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi, hakuna cha kibaraka, mtoto wake na kibaraka, beberu au mtoto wake na beberu ambaye atafanikiwa kuingia kwenye Ikulu ya Magogoni na Chamwino. Tunataka Ikulu yetu ikaliwe na raisi ambaye ataweka mbele mslahi ya taifa hili, na tutaomba kwa Mungu mchana na usiku ili jambo hili litimie. Mimi nina imani kubwa sana Mh. Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi huu, na ataongoza tena kwa miaka 5.

Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu
Hii ni kauli ya kibaguzi, inatakiwa kupuuzwa

Mabeberu Ni watu gani au umekariri
 
Kule Zimbabwe Kuna hali ngumu sana ya Maisha
Hali isiyovumilika..
Hali inayotisha kabisa..
Watu wanakufa na wenye fursa wanakimbia Nchi yao
Huko Kuna UPINZANI wenye nguvu kuliko TANZANIA, kati ya ZANU-PF na MDC
Njia pekee inayowabakisha ZANU-PF madarakani ni baada ya kuona MDC Ina elements za UKIBARAKA. Wananchi wamegoma kuwapa MDC chini ya Morgan Tsvangirai, KIBARAKA, japo kwa hakika walimchoka Mugabe, na alipotaka kumuachia mkewe amrithi, Wananchi waligoma wakaungwa mkono na Jeshi. Wakamtoa Mugabe wakampa Munangagwa.
Kwa TANZANIA Lissu kaanza vibaya sana, na commoners wanamuona kama KIBARAKA, hivyo hawatompa kamwe.
Bado JPM ataonekana kwa wengi Kama SHUJAA na Lissu ni KIBARAKA tu.

Hii ndio karata kubwa ya JPM dhidi ya LISSU kwa sasa
 
Tuache unazi wa vyama tuseme kweli huyu Lisu kama ingekuwa wakati ule wa Harakati za Ukombozi Kusini mwa Afrika na maneno yake ya kusema anasaidiwa na Wanasheria wazungu walah tungekuwa tushampiga mawe kama kibaka tu mtaani. Mi sielewi hata vipi Chadema wanamruhusu anazungumza hadharani hayo!!! Yooote fanya lakini kutegemea mikono ya wazungu kukusaidia kupata Uraisi hilo ni uhaini mbaya sana. Sio siri Lisu kibaraka...
 
Huyu kijana kaja humu kwa kazi maalum, mpuuzeni tuu.
 
Nyingi wana Lumumba Mmezoe kuishi bila kubila ya kutumia ubongo
 
Tz ya sasa kila mtu ni kibaraka isipokuwa TL tu. Wewe uliyeandika hii post ni kibaraka ila ni kibaraka unaenufaika na mfumo huu inawezekana hata watoto wako ushawaamnukiza ukibarama wako.

Makazini wamejazana vibaraka, masokoni kumejaa vibaraka tupu. Hata kwenye familia wamejazana vibaraka.
Vyuoni ndo usiseme imejaa mivibaraka kibao.
Mashuleni walimu duh wako wengi pamoja na shida zao lakini mibibaraka kibao!

Hakuna wa kubadili hali hii zaidi ya TL ambaye sio kibaraka!
 
Ndugu watanzania wenzangu, Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.

Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, CHADEMA imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mhe. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa beberu. Kwenye uchaguzi huu, naona mbengu nyingine kabisa, ambayo imepandwa kwenye udogo wa beberu, inatiliwa mbolea na beberu, na inamwagiliwa maji na beberu. Aidha, tangu Mhe. Tundu Lissu arejee kutoka ughaibuni, nyendo zake zimekuwa za jeuri jeuri, kutoatoa vitisho kwa serikali, kumbe jeuri hii ilikuwa na mkono wa beberu nyuma yake. Na hii medhihirika baada ya kusambaa kwa barua ya wale mabeberu (Amsterdam et al,). Kwa kitendo hiki, nidhahiri Mh. Tundu Lissu ni 100% kibaraka.

Kwa ninavyoona, Mhe. Tundu Lissu anajua kabisa hatashinda kwenye uchaguzi, na haitakuja kutokea kuwa raisi wa nchi hii kwa sababu ya mazingira ambayo amejitengenezea mwenyewe. Kwenye uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu, ataleta amsha amsha tu na hawezi kufikia hata nusu ya Mh. Lowasa.

Kwa msiojua, Tanzania ni moja ya nchi pendwa sana na Mungu, tuna rekodi ya kuvushwa katika changamoto nyingi sana: tulishuhudia kelele za kukamatwa kwa ndege, klele za makinikia, kelele za Korona n.k., katika yote haya Mungu alitusaidia tukavuka. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi, hakuna cha kibaraka, mtoto wake na kibaraka, beberu au mtoto wake na beberu ambaye atafanikiwa kuingia kwenye Ikulu ya Magogoni na Chamwino. Tunataka Ikulu yetu ikaliwe na raisi ambaye ataweka mbele mslahi ya taifa hili, na tutaomba kwa Mungu mchana na usiku ili jambo hili litimie. Mimi nina imani kubwa sana Mh. Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi huu, na ataongoza tena kwa miaka 5.

Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu
Yote uliyosema ni sahihi kabisa. Lissu ni mhombea kibaraka, lakini HAWEZI kufua dafu mbele ya JIWE!
 
Duuu yaaani kutafakari umaskini tulioletewa na hawa madhalim ccm hautaki unakuja na huo ushuzi wako.
 
Namimi nina imani na Lissu ambaye atashinda mchana kweupee na Mungu tunamuomba tangu alipompnya na yale madhira yaliyo mpata yule aliyetuma wale watu apate laana yeye watoto wake pamoja na wajukuu zake. Ila jana nilikuwa naona mgombea mmoja wakati anarudisha fomu zinamdondoka hadi sakafuni anahangaika kuokota nikajuwa hizo huwa ni ishara nzuri kuwa hofu imeshamuingia ya kutosha sasa hivi hata ukimuangalia usoni amekosa amani kabisa maana anafahamu kuwa hawezi kushinda na hana lakufanya. Katika hali ya kawaida inakuwaje fomu zinadondoka mara mbilimbili jamani. Mungu wetu ni wa upendo sana.
Chief, Magu anashida very very very soon! Tutaleteana nyuzi hapa, tuombe uzima
 
Na bado hamjanena kwa lugha, Lisu atawatoa makamasi kama yote.

Vipi asili ya jiwe unaifahamu vizuri atokako?
Hana impact yule. We utaona, angalia record zote za Magu vs tl. huwa tl anachemka hatari.
 
Back
Top Bottom