Uchaguzi 2020 Kwa mara ya kwanza watanzania tunashuhudia Chama cha Siasa chenye mgombea Urais 100% Kibaraka

Safari hii mtakufa kwa kutengeneza mada za kijinga baada ya kutoka kuvuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba na kukariri ujinga wake, swali kwako wewe mbumbumbu juha zuzu, huko Ulaya Tundu alikwenda mwenyewe? Kama siyo wewe na Bashite kwenda Dodoma kumpiga risasi Tundu lisu angekuwa kilema leo? Una imani magufuli anaenda kushinda kwa kishindo iweje anamfanyia Lisu hizo figisu figisu?
Chacha wangwe? Who knows km siyo an orchestrated move ndani ya cdm?
 
Mtahangaika sana pumbavu nani aliwaambia mteue mgombea asiyejua Kiingereza..

Yan kutokujua kwenu Kiingereza na kutoijua dunia ndo mnawaona wengine vibaraka, ebo!😀

Si ni PhD holders nyie au mliiba research ya mtu? hovyo kweli yan, hamwoni hata aibu Kilaza wenu kujiita dokta, hovyo kabisa!
WHAT AN IDIOT, LOSER! Kujua kiingereza ndo iwe sifa ya mgombea URAIS?? Nakuhakikishia mtu wako Lisu hatoboi hata nusu ya kiingereza changu. But I'm not necessarily a good leader.
 
Kwa taarifa yako tu ni kwamba, huyo umuitae kibaraka ni among the Top Patriots ws nchi hii. Katafute kazi aliyoifanyia Lissu nchi hii tena zile kazi zinazogusa raia moja kwa moja.

Hizo habari za kusimuliwa uwe unashirikiana na kichwa chako kuzichuja, inaelekea umeanza kumjua Lissu kupitia propaganda akiwa amelazwa ubelgiji.
Who cares! Hatakiwi kuwa Rais wa nchi hii. Full stop.
 
Ndugu watanzania wenzangu, Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.

Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, CHADEMA imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mhe. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa beberu. Kwenye uchaguzi huu, naona mbengu nyingine kabisa, ambayo imepandwa kwenye udogo wa beberu, inatiliwa mbolea na beberu, na inamwagiliwa maji na beberu. Aidha, tangu Mhe. Tundu Lissu arejee kutoka ughaibuni, nyendo zake zimekuwa za jeuri jeuri, kutoatoa vitisho kwa serikali, kumbe jeuri hii ilikuwa na mkono wa beberu nyuma yake. Na hii medhihirika baada ya kusambaa kwa barua ya wale mabeberu (Amsterdam et al,). Kwa kitendo hiki, nidhahiri Mh. Tundu Lissu ni 100% kibaraka.

Kwa ninavyoona, Mhe. Tundu Lissu anajua kabisa hatashinda kwenye uchaguzi, na haitakuja kutokea kuwa raisi wa nchi hii kwa sababu ya mazingira ambayo amejitengenezea mwenyewe. Kwenye uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu, ataleta amsha amsha tu na hawezi kufikia hata nusu ya Mh. Lowasa.

Kwa msiojua, Tanzania ni moja ya nchi pendwa sana na Mungu, tuna rekodi ya kuvushwa katika changamoto nyingi sana: tulishuhudia kelele za kukamatwa kwa ndege, klele za makinikia, kelele za Korona n.k., katika yote haya Mungu alitusaidia tukavuka. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi, hakuna cha kibaraka, mtoto wake na kibaraka, beberu au mtoto wake na beberu ambaye atafanikiwa kuingia kwenye Ikulu ya Magogoni na Chamwino. Tunataka Ikulu yetu ikaliwe na raisi ambaye ataweka mbele mslahi ya taifa hili, na tutaomba kwa Mungu mchana na usiku ili jambo hili litimie. Mimi nina imani kubwa sana Mh. Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi huu, na ataongoza tena kwa miaka 5.

Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu
Mungu yupi huyo uliyemuelezea hapa, nisaidie.
 
Kama kutokujua kiingereza vizuri ndo uzalendo na kuongea kiingereza vizuri ndo ukibaraka basi elimu nchi hii haisadii wananchi!
 
Bora kibaraka kuliko kijana anayewaza kama mzee...
 
". Tunataka Ikulu yetu ikaliwe na raisi ambaye ataweka mbele mslahi ya taifa hili, na tutaomba kwa Mungu mchana na usiku ili jambo hili litimie"
Mwisho wa kunukuu.

Mkuu, ungeishia hapo alafu usubiri Mungu ajibu maombi yako. Mungu ndie anajua ukweli Kati ya Tundu Lissu vs Magufuli ni nani mwenye haki ya kuiongoza Tanzania baada ya uchaguzi huu kupita

Asante kwa majibu murua kabisa! Tupo katika kipindi ambacho hatupaswi kuongozwa na ushabiki bali maslahi mapana ya taifa letu. Hatuhitaji kuchagua kiongozi atakayepokea mwongozo toka Washington DC au London, bali atakayejikita katika kuzitatua changamoto zinazolikabili taifa kwa kutumia raslimali tulizo nazo. Tuongozwe na hekima na kuvumiliana ili tuvuke na tuendelee tukiwa wamoja kama taifa. Tusiweke ufahamu/akili zetu rehani ili kukidhi kiu ya wanasiasa.
 
Ndugu watanzania wenzangu, Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.

Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, CHADEMA imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mhe. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa beberu. Kwenye uchaguzi huu, naona mbengu nyingine kabisa, ambayo imepandwa kwenye udogo wa beberu, inatiliwa mbolea na beberu, na inamwagiliwa maji na beberu. Aidha, tangu Mhe. Tundu Lissu arejee kutoka ughaibuni, nyendo zake zimekuwa za jeuri jeuri, kutoatoa vitisho kwa serikali, kumbe jeuri hii ilikuwa na mkono wa beberu nyuma yake. Na hii medhihirika baada ya kusambaa kwa barua ya wale mabeberu (Amsterdam et al,). Kwa kitendo hiki, nidhahiri Mh. Tundu Lissu ni 100% kibaraka.

Kwa ninavyoona, Mhe. Tundu Lissu anajua kabisa hatashinda kwenye uchaguzi, na haitakuja kutokea kuwa raisi wa nchi hii kwa sababu ya mazingira ambayo amejitengenezea mwenyewe. Kwenye uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu, ataleta amsha amsha tu na hawezi kufikia hata nusu ya Mh. Lowasa.

Kwa msiojua, Tanzania ni moja ya nchi pendwa sana na Mungu, tuna rekodi ya kuvushwa katika changamoto nyingi sana: tulishuhudia kelele za kukamatwa kwa ndege, klele za makinikia, kelele za Korona n.k., katika yote haya Mungu alitusaidia tukavuka. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi, hakuna cha kibaraka, mtoto wake na kibaraka, beberu au mtoto wake na beberu ambaye atafanikiwa kuingia kwenye Ikulu ya Magogoni na Chamwino. Tunataka Ikulu yetu ikaliwe na raisi ambaye ataweka mbele mslahi ya taifa hili, na tutaomba kwa Mungu mchana na usiku ili jambo hili litimie. Mimi nina imani kubwa sana Mh. Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi huu, na ataongoza tena kwa miaka 5.

Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu
Vibaraka ni yule chizi fresh,anaongoza wabunge wajinga na wapumbavu,kazi yao ni kumsifia tu hawawezi hata kumkosoa,ccm awamu hii wote ni wanawake tupu,mnamuogopa meko kuliko wake zenu shubaaamitt
 
Ndugu watanzania wenzangu, Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.

Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, CHADEMA imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mhe. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa beberu. Kwenye uchaguzi huu, naona mbengu nyingine kabisa, ambayo imepandwa kwenye udogo wa beberu, inatiliwa mbolea na beberu, na inamwagiliwa maji na beberu. Aidha, tangu Mhe. Tundu Lissu arejee kutoka ughaibuni, nyendo zake zimekuwa za jeuri jeuri, kutoatoa vitisho kwa serikali, kumbe jeuri hii ilikuwa na mkono wa beberu nyuma yake. Na hii medhihirika baada ya kusambaa kwa barua ya wale mabeberu (Amsterdam et al,). Kwa kitendo hiki, nidhahiri Mh. Tundu Lissu ni 100% kibaraka.

Kwa ninavyoona, Mhe. Tundu Lissu anajua kabisa hatashinda kwenye uchaguzi, na haitakuja kutokea kuwa raisi wa nchi hii kwa sababu ya mazingira ambayo amejitengenezea mwenyewe. Kwenye uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu, ataleta amsha amsha tu na hawezi kufikia hata nusu ya Mh. Lowasa.

Kwa msiojua, Tanzania ni moja ya nchi pendwa sana na Mungu, tuna rekodi ya kuvushwa katika changamoto nyingi sana: tulishuhudia kelele za kukamatwa kwa ndege, klele za makinikia, kelele za Korona n.k., katika yote haya Mungu alitusaidia tukavuka. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi, hakuna cha kibaraka, mtoto wake na kibaraka, beberu au mtoto wake na beberu ambaye atafanikiwa kuingia kwenye Ikulu ya Magogoni na Chamwino. Tunataka Ikulu yetu ikaliwe na raisi ambaye ataweka mbele mslahi ya taifa hili, na tutaomba kwa Mungu mchana na usiku ili jambo hili litimie. Mimi nina imani kubwa sana Mh. Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi huu, na ataongoza tena kwa miaka 5.

Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu

Kumbe ni suala la imani na si uhasilia.Naona sentensi yako ya mwisho umeiweka vizuri sana.Una imani,ila huna UHAKIKA.Imani hujengwa,hivyo umejenga IMANI na Mgombea wako kama vile watu wengine walivyojenga IMANI na mgombea wao(ambaye unampiga vijembe sasa).
 
Mtahangaika sana pumbavu nani aliwaambia mteue mgombea asiyejua Kiingereza..

Yan kutokujua kwenu Kiingereza na kutoijua dunia ndo mnawaona wengine vibaraka, ebo![emoji3]

Si ni PhD holders nyie au mliiba research ya mtu? hovyo kweli yan, hamwoni hata aibu Kilaza wenu kujiita dokta, hovyo kabisa!
Kaambieni haka ka amsterdam kibaraka wake watz hawamtaki
 
Endelea kujinyea mkuu ...si mlisema akija atakamatiwa airport?? Vp alikamatwa?? Mkasema akigombea chama chake hakiwezi kumteua, vp hakuteuliwa na chama chake?? Mkasema akipitishwa na chama chake Tume haiwezi kumpitisha , vp hajateuliwa?? Bado tu mnaendelea kujifanya hamnazo??

Lissu anashinda Kama ambavyo ameshinda toka huko ...achaneni na lissu, jaribu Sasa kumpigia magoti kuomba maridhiano na lissu ..mwaka huu ccm jaribuni kuwa wapole maana mpk muda huu chadema tumechukua nchi bado tu kutangazwa ...jiandaeni kisaikolojia kwa hilo na jiwe tumemtwisha gogo tuone atajitua vp
Tutamchinja kwenye sanduku la kura ili akamtumikie vizuri yule beberu wake amsterdam
 
Ndugu watanzania wenzangu, Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.

Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, CHADEMA imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mhe. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa beberu. Kwenye uchaguzi huu, naona mbengu nyingine kabisa, ambayo imepandwa kwenye udogo wa beberu, inatiliwa mbolea na beberu, na inamwagiliwa maji na beberu. Aidha, tangu Mhe. Tundu Lissu arejee kutoka ughaibuni, nyendo zake zimekuwa za jeuri jeuri, kutoatoa vitisho kwa serikali, kumbe jeuri hii ilikuwa na mkono wa beberu nyuma yake. Na hii medhihirika baada ya kusambaa kwa barua ya wale mabeberu (Amsterdam et al,). Kwa kitendo hiki, nidhahiri Mh. Tundu Lissu ni 100% kibaraka.

Kwa ninavyoona, Mhe. Tundu Lissu anajua kabisa hatashinda kwenye uchaguzi, na haitakuja kutokea kuwa raisi wa nchi hii kwa sababu ya mazingira ambayo amejitengenezea mwenyewe. Kwenye uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu, ataleta amsha amsha tu na hawezi kufikia hata nusu ya Mh. Lowasa.

Kwa msiojua, Tanzania ni moja ya nchi pendwa sana na Mungu, tuna rekodi ya kuvushwa katika changamoto nyingi sana: tulishuhudia kelele za kukamatwa kwa ndege, klele za makinikia, kelele za Korona n.k., katika yote haya Mungu alitusaidia tukavuka. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi, hakuna cha kibaraka, mtoto wake na kibaraka, beberu au mtoto wake na beberu ambaye atafanikiwa kuingia kwenye Ikulu ya Magogoni na Chamwino. Tunataka Ikulu yetu ikaliwe na raisi ambaye ataweka mbele mslahi ya taifa hili, na tutaomba kwa Mungu mchana na usiku ili jambo hili litimie. Mimi nina imani kubwa sana Mh. Magufuli anaenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi huu, na ataongoza tena kwa miaka 5.

Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu
Wazee mmekamatwa pabaya sijui mlijipanga kama 2015 mkajua yule mzee asiejua kuongea masikini ya Mungu hiki chuma hadi kampeni zikiisha kama kuna atakaebakiwa hata na boxer tu basi atakuwa mwanaume😂😂😂😂
 
Tutavuka salama, Na Beberu ataaibika Kwa kichapo cha wananchi Watanzania watakavyomkataa Beberu na mtoto wao
Watanzania wananchi wa wapi unawasemea ? au watanzania wa gheto kwa cyprian Musiba?Maana watanzania wenye Akili timamu hawapo na CCM hawataki kuisikia CCM kabsa
 
Na wewe unawasemea Watanzania wa wapi, labda waliooshikiwa akili na M/kiti Fulani ambaye Chama na wanachama wa hicho Chama anajinufaisha Kwa biashara zake na wasiseme chochote
 
Ndio tatizo lenu wafuasi wa Ccm ,Ccm wote sio Watanzania wote kuweni na akili japo kiduchu
Katibu mkuu wa CCM kwao Rwanda, mtukufu mwenyekiti wa CCM kwao Burundi, makamu mwenyekiti wa CCM kwao malawi
 
Mtahangaika sana pumbavu nani aliwaambia mteue mgombea asiyejua Kiingereza..

Yan kutokujua kwenu Kiingereza na kutoijua dunia ndo mnawaona wengine vibaraka, ebo!😀

Si ni PhD holders nyie au mliiba research ya mtu? hovyo kweli yan, hamwoni hata aibu Kilaza wenu kujiita dokta, hovyo kabisa!
Ukoloni mambo leo!
 
Back
Top Bottom