Ndugu watanzania wenzangu, Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.
Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, CHADEMA imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mhe. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa...
Kelele za Ndege, Makinikia, unajua aliyesababisha? hv unajua kilichotokea nyamongo? Kalumwa? wakati wachimbaji wadogo walipofukiwa shimoni chini ya uongozi wa CCM? Au ulikuwa Bado upo kwenye korodani za mzee wako?
Wewe jiulize mpaka Ndege zinakamatwa?Makinikia yanasafirlishwa nje,aliyeingia mikataba ya kuruhusu huu wizi ni nani?
Kwa taarifa yako tumeanza kuibiwa tangu 1995, Tundu Lisu alikuwa Bado shule!
Mavibaraka yapo CCM, Majizi yote yaliyotajwa kwenye EPA,escrow,Richmond,Ngereje,tibaijuka,Chenge(zee la vijisenti)yote ni ya ccm!
Vibaraka wapo ccm,kwa miaka 60!mmesimamia uporaji wa Mali ya umma,wakati wa Kikwete,mliuza twiga uarabuni,huyu mzalendo wenu uchwara si alikuwa waziri!?alifanya nini?
Hv unajua ni watz wangapi walizikwa migodini,/kupigwa risasi kwa amri ya serikali yenu?