Uchaguzi 2020 Kwa mara ya kwanza watanzania tunashuhudia Chama cha Siasa chenye mgombea Urais 100% Kibaraka

Uchaguzi 2020 Kwa mara ya kwanza watanzania tunashuhudia Chama cha Siasa chenye mgombea Urais 100% Kibaraka

Siasa za mitandaoni bwana. Lkn viwanjani kwenye kampeni naona kweupe
 
Kelele za Ndege,Makinikia,unajua aliyesababisha?hv unajua kilichotokea nyamongo?Kalumwa?wakati wachimbaji wadogo walipofukiwa shimoni chini ya uongozi wa CCM?au ulikuwa Bado upo kwenye korodani za mzee wako?...
Mkuu, kumbuka kipindi kile jpm hakuwa na meno sana ila angalia kila wizara aliyokuwa anapelekwa, alifanya vizuri. Angalia kazi kubwa anayofanya sasa, naamini unaijua vizuri mkuu. Tumpe tena 5 yrs atakuwa mzuri zaidi.
 
Binti Kejuu, hivi umeolewa??Kwa nini usiende kumpa penzi mmeo badala ya kupoteza muda hapa jamvini?
Mkuu, uzi wangu umejaa ukweli mno chief, ila ndo hivo utaupuzia, utanipa majibu impacts yake baada ya uchaguzi
 
Wrong Historical-created mindset, isingekuwa hawa jamaa Africa tungekuwa mbali sana. Tatizo kukosa kujiamini mkuu, but tunaweza tukiwa na win win strategy.

Mkuu wakati unasema hayo kuna dada mtaani ananunua wigi laki tano ili awe na nywele kama mzungu ndio ajione kapendeza...

Kujiamini kunaanzia chini.. So win win situation utawekaje na mtu ambaye unaamini amekuzidi kila kitu
 
Tundu Lissu ndio mtu sahihi wa kukaa kwenye ikulu yetu!
Mwenye akili hawezi kuyumbishwa na propaganda uchwara za mabeberu! Ukiona mtu anashabikia issue mfu ya mabeberu, jaribu kuchunguza uwezo wake wa kufikiri..
 
Back
Top Bottom