Uchaguzi 2020 Kwa mara ya kwanza watanzania tunashuhudia Chama cha Siasa chenye mgombea Urais 100% Kibaraka

Neno "Beberu" na falsafa za nabeberu ni silaha zilizokuwa zinatumiwa zamani na Wajamaa kuwapumbaza watu ili wachukie mabepari na siasa yao. Ujamaa ulikufa na sasa tupo kwenye ubepari tupende au tusipende...
Huo mtazamo wako mkuu, ila Mh. Tl bado sana, utaniambia chief, ndiyo maana hata mbowe hana confidence kama kipindi cha Mh. Lowasa
 
Kwa mujibu wa akili za ki-ccm ccm hayo makampuni uliyo yataja wamiliki/waratibu wake wanaitwa wadau wa maendeleo. Na wale waliopo makwao huko lakini wanasimamia elimu yetu, afya zetu n.k hao wanaitwa wahisani. Lakini wale wanaopingana na ubabe wa ccm kiutawala ndio wanaoitwa mabeberu.
 
Mkuu, Magu katufungua macho na ameonyesha watz tunaweza tukuamua kuwa serious. For the first time tumejitegemea kwenye uchaguzi, what if Magu was to takeover after mwl. Nyerere? Just asking.
 
Kwa sasa watanzania wote tumeshafahamu Lissu ni kibaraka wa mabeberu.
ngosha kimombo kingekuwa kinapanda vzr huu msemo wa mabeberu wala usingekuwepo kbs awamu hii, naelewa ni LAZIMA wasaka vyeo mdansi kulingana na biti la mkuu!.
 
mkuu kuwa mkweli, ikiwa utasema TL anamatatizo ya akili na Jiwe yeye utamuweka kundi gani?!.
 
Mkuu, Magu katufungua macho na ameonyesha watz tunaweza tukuamua kuwa serious. For the first time tumejitegemea kwenye uchaguzi, what if Magu was to takeover after mwl. Nyerere? Just asking.
"Magu katufungua macho na ameonyesha watz tunaweza tukuamua kuwa serious".
Hilo mbona halina mjadala kiongozi, kila mtu anajua namna magu alivyo na uthubutu. Lakini ni lazima uelewe tatizo lake ni nini? Tatizo ni kwamba hana sifa za uongozi, bali ana sifa za kiutawala na hili ndio linamuharibia yale mazuri anayo yafanya.

Nchi hii inaongozwa na katiba na sheria. Mkoloni (mzungu) aliimarisha sana mambo ya kiuchumi, na alipoondoka alituachia hayo yote lakini kutokana na mifumo mibaya ambayo tulirithi kwao, tumepoteza kila kitu na leo hii ndio tunaanza tena upya tena kwa usaidizi wa huyo huyo mkoloni (mzungu).

Lakini pamoja na hayo babu zetu walimkataa mkoloni (mzungu) kutokana na mfumo wa kiutawala, wakajiwekea mfumo wa kiuongozi. Lakini leo hii ukiangalia mfumo uliopo ni wa kiutawala si wa kiuongozi.

"what if Magu was to takeover after mwl. Nyerere?"
Ingekuwa hatari zaidi, kwa namna nilivyoona muhula wake wa kwanza madarakani namna alivyoivuruga nchi.
 
Kuna chama fulani la wazee ni likibaraka la Uchina,kazi karibu zote za ujenzi wa majengo na barabara wanwapa bwana zao Wachina,mali asili zetu nk wanapewa hao vibwana wao yaani ilifika mahala hadi wakamsimamisha balozi wa hiyo nchi awapigie kampeni washinde,viongozi ubwabwa wa dizaini hii ni mzigo na hasara sana kwenye hii nchi.

Mara mia kua kua kibaraka wa wazungu au USA tutapata maendeleo na ustawi wa jamii kuliko kuwa kibaraka wa Uchina,Vibaraka wote wa USA na West wameendelea sijui nyie vibaraka wa China mko kwenye hali gani
 
"Magu katufungua macho na ameonyesha watz tunaweza tukuamua kuwa serious".
Hilo mbona halina mjadala kiongozi, kila mtu anajua namna magu alivyo na uthubutu. Lakini ni lazima uelewe tatizo lake ni nini?...
Huyo Nyerer mwenyewe alikua kibaraka mwenye akili wa West ndio maana alidumu kwenye madaraka na walimuokoa kwenye mapinduzi kadhaa sasa nyie maccm vibaraka wa China mnatusaidia nini zaidi ya ukatili? Si bora kuongozwa na kibaraka wa West tutapata ustawi na kuendelea kuliko ccm kibaraka wa China?
 
huyu anayedhaminiw na mabeberu. Mungu hataruhusu hilo kamwe
 
Mchina ni shida!! Tumeona wameingia adi kwenye ngoma za wasukuma, halafu wametusambazia simu za aina ya Techno tuzitumie kwa wingi ikiwemo kuwapiga picha wakicheza ngoma za kisukuma n.k. Lakini ndani ya simu hizo kuna programu hatari sana. Yaani kwa kuitumia simu hiyo ya Techno unajisajili katika huduma yakulipia bila wewe mwenyewe kujuwa, na malipo wanakata kwenye bando, utashangaa ukiweka bando asubuhi adi jioni limekata kumbe hela imekwenda China. Magu amejua kutuingiza mkenge kwenye suala zima la kukataa mabeberu na kumkumbatia mchina.
 
Pigania huo huo mlo wako mmoja kwa siku beberu haliepukiki
 
Binti Kejuu, hivi umeolewa? Kwa nini usiende kumpa penzi mmeo badala ya kupoteza muda hapa jamvini?
 
Ndugu watanzania wenzangu, Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.

Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, CHADEMA imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mhe. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa...
Kelele za Ndege, Makinikia, unajua aliyesababisha? hv unajua kilichotokea nyamongo? Kalumwa? wakati wachimbaji wadogo walipofukiwa shimoni chini ya uongozi wa CCM? Au ulikuwa Bado upo kwenye korodani za mzee wako?

Wewe jiulize mpaka Ndege zinakamatwa?Makinikia yanasafirlishwa nje,aliyeingia mikataba ya kuruhusu huu wizi ni nani?
Kwa taarifa yako tumeanza kuibiwa tangu 1995, Tundu Lisu alikuwa Bado shule!

Mavibaraka yapo CCM, Majizi yote yaliyotajwa kwenye EPA,escrow,Richmond,Ngereje,tibaijuka,Chenge(zee la vijisenti)yote ni ya ccm!
Vibaraka wapo ccm,kwa miaka 60!mmesimamia uporaji wa Mali ya umma,wakati wa Kikwete,mliuza twiga uarabuni,huyu mzalendo wenu uchwara si alikuwa waziri!?alifanya nini?

Hv unajua ni watz wangapi walizikwa migodini,/kupigwa risasi kwa amri ya serikali yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…