Kwa Mara ya Mwisho nimeamua kuwa support CHADEMA, Watanzania wenzangu 2025 ni Mwaka wa kujisahihisha "say NO to CCM"

Mnapompongeza sa100 Kwa kuruhusu mikutano aliyoifungia Kwa miaka 2 ambayo haikuwahi kukatazwa na KATIBA.

Ni kweli, maana alikuwa anafanya uvunjifu wa katiba. Anapongezwa maana siasa bila unafiki haziendi. Kwani umechukia?
 
Katiba mpya ilikwamishwa na Magufuli?Hivi umeanza kufuatilia siasa 2015?

Alipoingia madarakani alikuta tuko kwenye hatua ya kura ya maoni, akasema hakuahidi katiba mpya. Kwako ww uliyeanza kufuatilia siasa kabla ya 2015, mchakato ulikwamia wapi?
 
ni kweli
 
CHADEMA SIO CHAMA CHAKO
 
HATUKUELEWI kabisaaa, tunaishi na MARIDHIAN0. SSH for Presidency 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…