View attachment 137867
Samahan ikiwa nimekosea jukwaa,but nia yangu ni kuzungumza na marafiki.
lakin samahan pia kwa nitakaemkwaza kwa thread yangu,japo nafaham wapo watakaochukia tuu,no matter what u do
Ok,kuna watu wamekuwa wakihoji ni ipi haswa kazi yangu,japo wapio wanaokejeli kuwa najipendekeza
,etc bila shaka plofile imejieleza
so nitapunguza maswali ya namna hiyo..na hapa sizungumzi na wale
ambao kaz yao ni kukejeli ama kuchukia tu watu pasipo sababu..
nazungumza na marafiki ambao kweli walitaka kufaham majukumu yangu ni yepi.
na kuhusu mimi kuwa napost kuhusu Dai sizani kama ni vibaya..
me ni mtu wa karibu,nafamu info mapema kwa nini nisishare kwa fans?? na huwez niambia
nipost kuhusu msanii flan ama flan,nikaaacha kupost habari kuhusu\mtu anaenilipa mshahara
na isitoshe the more anafanikiwa,ndivyo
tuanaochangia mafanikio .tunafanikiwa pia.
Mwisho,wapo wanonibeza humu,wanabeza kaz yangu,etc...let me tell you....nimefanya kaz nae kwa mda mlefU sasa
ni yeye anaefaham umhimu wa kaz yangu,ni yeye anefahm ubora na ufanisi wa kazi yangu..
Ni msani mkubwa mwenye pesa,kaz zangu zingekuwa mbovu ama ufanis wangu ungekuwa siyo
angeshatafuta mwingine ,mda wowote na kwa pesa yoyote..lakin mfaham pia mbali na kufanya nae,nina manage social networks za celeb wengine kadhaa ikiwemo teentz.com ya Bdozen..na kuna
wengi wanaonitaka nifanye nao kazi
so badala ya kukalia majungu kwa kuumizwa na mafanikio ya mtu...
Hebu tufanyeni kaz kwa bidii..
Ahsanteni,endeleeni kunisoma kwa taarifa exclusivu za Dai
na kuna project kubwa inakuja kati ya Dai na msanii mkubwa Africa,soon nitawajuza
mda mwafaka ukiwadia
Usiku mwema....