Kwa marafiki mnaohoji kazi yangu

Kwa marafiki mnaohoji kazi yangu

na hiyo 5K unaishia kuiota tu.labda ujitengenezee skendo kwenye magazeti ya udaku kama wafanyavo baadhi ya masupastaa wa bongo.LOL
 
na hiyo 5K unaishia kuiota tu.labda ujitengenezee skendo kwenye magazeti ya udaku kama wafanyavo baadhi ya masupastaa wa bongo.LOL

HUYU JAMAA ANANIBOA KISHENZI jf nzima hana cha kuzungumza zaidi ya upunga halafu anajisifu madada na vidume vya humu tunamshobokea huyu si mseng-e
 
ukiulizwa nimekukosea nn Mr. Verossa utajibu??na kwa nn thread unazifungua kama zinakuboa?
 
Last edited by a moderator:
ana ubavu wakati mahost wote tunawajua wa teentz na g5

Kwani ukikaa kimya utachekwa kulikon kujifanya mjuaji??
watu kama nyie huwa hamkosekani si mbaya nikuelimishe
teentz.com niya Bdozen na imedizainiwa na G5,.mimi ndie host ninaeisimamia
unachobisha ni kipi sasa??? Mr. Verossa
 
Last edited by a moderator:
Ah kisula wewe mie nakufaham toka mwanza ukiwa pale ccm mkoa eh unafanya shughul zako,kp it up mkaka!
 
Ah kisula wewe mie nakufaham toka mwanza ukiwa pale ccm mkoa eh unafanya shughul zako,kp it up mkaka!

Nafurahi kukutana na watu wanaonifaham...na umenikumbusha mabli san ndugu...
kipind hicho sifahamiana na celeb yeyote.. kukutana na Dai waz dream kwangu
umenikumbusha nilikotoka ndugu.this week nitakuja Mwanza kwa mda ..kwan pale ulikuwa unafanya ishu gani
coz nilikuwa nakutana na watu wengi sana
charty
 
Last edited by a moderator:
ukiulizwa nimekukosea nn Mr. Verossa utajibu??na kwa nn thread unazifungua kama zinakuboa?

sku zote huwezi kupendwa na kila mtu. Wapo watakao kuchukia vilevile wapo watakao kupenda........... Lakin wakat mwingne jaribu kujiuliza kwann walio wenge wanakucrash? Na point yao ni ipi ktk crushment zao? Ukipata jibu jaribu kurekekebisha. Kila mtu anamapungufu yake. pia kuna chuki binafsi. Lakin swali la kujiuliza ni kuwa humu jamvin hatufahamian chuki itoke wapi wakat hatufahamian?? Kaka mm nmegundua kitu kimoja, kinachowaudhi watu ni ile hali ya kueleza maisha yako yalivyo pamoja na mafanikio yako inakuwa kama unajipaisha. Ukiona hvyo jaribu ku cool
 
Last edited by a moderator:
Nafurahi kukutana na watu wanaonifaham...na umenikumbusha mabli san ndugu...
kipind hicho sifahamiana na celeb yeyote.. kukutana na Dai waz dream kwangu
umenikumbusha nilikotoka ndugu.this week nitakuja Mwanza kwa mda ..kwan pale ulikuwa unafanya ishu gani
coz nilikuwa nakutana na watu wengi sana
charty

unakumbuka yule mtu aliyekupokea pale ktuon mkuyun ulipokua umemfuata mdada mmoja kwenye ile nyumba opposite na shoken bar?kwa wale wanafunz wa chuo?
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kua na boss mwenye pesaa siku ukifanya kazi hata kwa Dewj sijui utaringaje au kwa bwana machache
 
KEH! KEH! KEH! KEH!
KEEEEEH! KEHEEEEEEEEEEE!!!!

Ebu nicheke mie kwa loud speaker!
 
View attachment 137867
Samahan ikiwa nimekosea jukwaa,but nia yangu ni kuzungumza na marafiki.
lakin samahan pia kwa nitakaemkwaza kwa thread yangu,japo nafaham wapo watakaochukia tuu,no matter what u do
Ok,kuna watu wamekuwa wakihoji ni ipi haswa kazi yangu,japo wapio wanaokejeli kuwa najipendekeza
,etc bila shaka plofile imejieleza
so nitapunguza maswali ya namna hiyo..na hapa sizungumzi na wale
ambao kaz yao ni kukejeli ama kuchukia tu watu pasipo sababu..
nazungumza na marafiki ambao kweli walitaka kufaham majukumu yangu ni yepi.


na kuhusu mimi kuwa napost kuhusu Dai sizani kama ni vibaya..
me ni mtu wa karibu,nafamu info mapema kwa nini nisishare kwa fans?? na huwez niambia
nipost kuhusu msanii flan ama flan,nikaaacha kupost habari kuhusu\mtu anaenilipa mshahara
na isitoshe the more anafanikiwa,ndivyo
tuanaochangia mafanikio .tunafanikiwa pia.


Mwisho,wapo wanonibeza humu,wanabeza kaz yangu,etc...let me tell you....nimefanya kaz nae kwa mda mlefU sasa
ni yeye anaefaham umhimu wa kaz yangu,ni yeye anefahm ubora na ufanisi wa kazi yangu..
Ni msani mkubwa mwenye pesa,kaz zangu zingekuwa mbovu ama ufanis wangu ungekuwa siyo
angeshatafuta mwingine ,mda wowote na kwa pesa yoyote..lakin mfaham pia mbali na kufanya nae,nina manage social networks za celeb wengine kadhaa ikiwemo teentz.com ya Bdozen..na kuna
wengi wanaonitaka nifanye nao kazi
so badala ya kukalia majungu kwa kuumizwa na mafanikio ya mtu...
Hebu tufanyeni kaz kwa bidii..


Ahsanteni,endeleeni kunisoma kwa taarifa exclusivu za Dai
na kuna project kubwa inakuja kati ya Dai na msanii mkubwa Africa,soon nitawajuza
mda mwafaka ukiwadia
Usiku mwema....​

niwe muwazi HEVERN ON DESERT tokea umejiunga JF sijawahi ona umeposti thread ya maana au coment
 
christine ibrahim huwa nikisoma coments zako zid yangu
nakuona n aina ya wale wadada walokwisha kata ringi..full stress za maisha
madada mzuri mwenye mda na kaz zake hawez pata time ya kuwa naq chuki chuki za hivyo

Hapo mkuu umekosea huyo mdada anajielewa mbaya sana wala hajakata ringi,wala sioni kibaya alicho coment
 
Last edited by a moderator:
Kamanda pga kazi pia muwe mna mkumbuka na Mungu,changamoto zpo usijal komaa.
 
Usijali mwaya hongera sana chapa kazi achana na chuki zao binafsi hao
 
Back
Top Bottom