Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.

Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana!

Screenshot_2024-05-19-14-35-07-1.png

Kama umeguswa na unyama aliotendewa Tundu Lissu waweza kuchangia kupitia utaratibu huu hapa chini

Screenshot_2024-05-19-16-44-47-1.png
 
Hatujui mpaka sasa ikumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.

Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana!

View attachment 2993927
Wachungaji pia hupata pesa kwa waumini maskini!
Wajinga ndiyo waliwao.
 
Wachungaji pia hupata pesa kwa waumini maskini!
Punguza UONGO wanajiua siku hizi sababu ya madeni, msongo wa mawazo na vifo vya wafadhili wao, huo Muda wa kutoa Mafuta, Maji, Uvumba na ManeMane bure kwa watu masikini watautoa wapi?
 
Inshallah tulenge kwenye kumpa gari kama lile wlilolipiga risasi.
Hatujui mpaka sasa ikumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.

Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana!

View attachment 2993927
h
 
Watesi wake wanateseka mnoooo! Konyo zao
 
Hatujui mpaka sasa ikumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.

Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana!

View attachment 2993927
Hii ni another scheme za kuwakamua wanachama wenu bila kujijua. Mlianza na Join The Chain na sasa hivi mumetumia kisingizio cha Makamu Mwenyekiti wenu. Anyway usimuamshe aliyelala
 
Hatujui mpaka sasa ikumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.

Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana!

View attachment 2993927
Mbona CCM wanaumia sn kumchangia Lissu?
 
Back
Top Bottom