kunguni masta
Senior Member
- Sep 10, 2016
- 142
- 179
Wataelewa tu.Kuchangia viongozi ni utamaduni wetu, sasa tunamchangia Lissu gari, na hata Mwalimu Nyerere pia alichangiwa fedha na wananchi ili aende Umoja wa Mataifa kupigania uhuru wa Tanganyika.
Kuchangia kiongozi ni upendo walio nao wananchi, na ndio namna yao ya kuuelezea, sasa wananchi watamuhongaje kiongozi wao?
Ni utamaduni umeanza tangu enzi za Mwalimu